Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

mshambuliaji chaguo la tatu arsenal ana magoli mengi kuliko mshambuliaji tegemezi wa man utd rashford
FB_IMG_1570183123988.jpeg
 
Mbona unatapatapa mkuu,tumefika kwa Jitu mwitu msitu saa ngapi? Si tunamzungumzia James hapa.

Kwanza nyie Pepe si mnalipa mia mia mpaka hela itimie? Kama vipi amueni kugoma,msilipe tena.
Hiyo kulipa mia mia ndio naisikia kwako ,ni kama zile story za Arsenal ina bajeti ya £45m
 
mshambuliaji chaguo la tatu arsenal ana magoli mengi kuliko mshambuliaji tegemezi wa man utd rashfordView attachment 1223368
Martinelli on his trials with United: "Between 2015 & 2017 I went there 4 times & trained on average about 15 days. I saw all the professionals. I asked to take a picture with Evra, Fellaini & other guys. Pogba knew I was Brazilian & asked if everything was fine & where I played"
IMG_20191004_002622.jpeg
 
Kumfananisha NICO PEPE na kajemsi ni MATUMIZI MABAYA YA AKILI...katika PEPE 1 kuna jemsi 100.
Sikujua kama nikimtaja kipepe unaumia hivi.

Tumetoa pesa ndogo sana kununua mchezaji bora mara 100 kumzidi pepe wenu mliyeuziwa kwa mapesa kibao. Kwani pepe amepiga mashuti mangapi hadi sasa na ana goli ngapi?
 
Mzee umekula maharage ya wapi. James anajitambua uwanjani na yuko focused, sio kama pepe anakimbia kimbia bila sanduku la posta, anarukaruka kama kuku amekatwa kichwa.

Miguu haina nguvu ya kupiga mashuti pale hamna mchezaji wa maana ni kanyaboya
Ila pulisica ndio mchezaji?
 
Mzee umekula maharage ya wapi. James anajitambua uwanjani na yuko focused, sio kama pepe anakimbia kimbia bila sanduku la posta, anarukaruka kama kuku amekatwa kichwa.

Miguu haina nguvu ya kupiga mashuti pale hamna mchezaji wa maana ni kanyaboya
tulimuona james jana alivyopiga hatrick
 
Eti ndio aliingia kuokoa jahazi,unabaki unacheka tu ingawa roho inauma.
Ole angekuwa muungwana aachie ngazi,huoni anachokikusudia kwenye kikosi chake huyu bwege,
Huyu ole kila akilala anaota rashford amefunga hat trick ndio maana anaendelea kumuamini
 
Back
Top Bottom