Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Utetezi wa Lingard unaniacha mdomo wazi hahahahah
Yan ukisikia wa2 wanavomtetea Lingard unabak unacheka tu.. Ww kama hata Gareth Southgate kamuacha kwny kikosi..hapo ww huelew nn.. Ss kama ni mkabaj mzr si akawe beki.. Ww no10 huna unacho Saidia team si kawe beki basi kama anajua kukaba
 
Yan ukisikia wa2 wanavomtetea Lingard unabak unacheka tu.. Ww kama hata Gareth Southgate kamuacha kwny kikosi..hapo ww huelew nn.. Ss kama ni mkabaj mzr si akawe beki.. Ww no10 huna unacho Saidia team si kawe beki basi kama anajua kukaba
Mkuu acha kulialia na mchezaji m1 m1, kikosi kizima ni kibovu. Vumilieni tu, hamna namna.
 
Next summer kama si january ni zamu ya pogba kuondoka. Maana hawezi kuvumilia kinachoendelea hapo klabuni kwenu. Morali yote imeisha kabisa.

Vumilieni tu ndugu zetu, kama vp mje reds kwa mkopo
 
Dk 90 timu inakosa hata Shot on target .

Eeeh! Halafu kocha na macho kama paka aliamini tiba ya United ni kumtoa Lukaku na kuacha hawa vikojozi.

Usenge wa Arsenal na Liverpool ulianza hivi hivi hadi tuje kurudi kwenye nafasi yetu ya zamani itachukua miaka mingi na kwa gharama kubwa.
Liverpool imeingiaje hapo mkuu
 
Mkuu acha kulialia na mchezaji m1 m1, kikosi kizima ni kibovu. Vumilieni tu, hamna namna.
Kwnz ntake radhi siwez kua mshabik wa Man United maana kwa hii team ningepata presha.. Team nzm ni mbovu kwn nan hajui ilo? .. Tuko hapa kuwafariji hawa ndg zetu.. Hawana team wamebaki na wao kuongea tu historia kama liver na Arsenal.. Kipind ndo hicho hicho wanacho pitia na itawachukua mda sna
 
Kwa litimu hili Newcastle hakuachi salama, hata ningekua ndo mm siwezi kubali kuacha points 3 kwa timu bovu kama hili. Natamani kila wiki tungekuwa tunacheza na City maana nna hakika tungeshuka daraja. Kinachowatisha wapinzani labda ni jina tu na lenyewe washaanza kulizoea maana wachezaji hakuna tofauti na Salford City. Juzi Wycombe kampiga Rochdale 3 Admin wao Twitter anatamba tu wao ni bora kuliko United baada ya ule mdroo pale OT
 
Yule Rashford kapata ile Free-kick ya dakika za mwisho sasa alivyopiga unajiuliza huyu dogo kichwani anawadudu Funza yaani kabutua kama uwanja upo miles away na Alipo yeye

Hovyo sana Hii Timu
Eti ndio aliingia kuokoa jahazi,unabaki unacheka tu ingawa roho inauma.
Ole angekuwa muungwana aachie ngazi,huoni anachokikusudia kwenye kikosi chake huyu bwege,
 
MANCHESTER UNITED failed to have a single short on target for the first time in their history in the Europa league.
 
Back
Top Bottom