cosmonaut
JF-Expert Member
- Apr 12, 2015
- 1,392
- 2,770
Me nimeacha kungalia mechi kabsa,hata humu uzini napita kimya kimya bahati nzuri nashukuru nmewezaga kujizui kuwa shabiki andazi wakutambia/kukashifu watu timu yangu ikishinda I gladly receiving the same favourAsante mkuu,hili liteam linaniliza kila siku!!ubaya hata siwezi kuacha kufatilia

Daniel James


