Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Sasa Conte ataweza ?
 
Hawa jamaa uingereza unawapofusha sana, ndio maana pamoja na ujinga wote anaofanya Rashford hawezi kusemwa. Muone huyu.
 
√Lingard sio mchezaji mbaya sana kihivyo kama wadau mnavyomuongelea..Pia anapaswa asiwe everyday starting material kwenye 1st eleven yetu..kuna aina ya mfumo unamsuit sana huyu jamaa,,hasa quick transition..ila sasa timu nyingi tunazokutana nazo recently zinakaa nyuma na kwa aina hii ya mchezo Lingard hawezi kuonekana hata kidogo..So huyu ni strategic player kama mdau mmoja alivyosema hapo juu.

Kuna goli alifunga Vs Arsenal jingine Vs Southampom kama sijakosea mnaweza kutumia kama reference..jamaa anauwezo wa kudrible fasta kuelekea goli la wapinzani

√Mtu anaposema mchezaji anakuwa hatari asipokuwa na mpira naamini anaongelea jinsi anavyoviposition,movement zake uwanjani n.k..mfano mchezaji anaweza kukimbilia upande fulani akatengeneza space kwa wachezaji wengine kuwa katika nafasi nzuri ya kufunga..Pia ukabaji na mambo mengine

√Yote kwa Yote,Uongozi ndo wakulaumiwa kwa kushindwa kununua no 10 proper ambaye ni mfungaji mzuri na mtengeneza nafasi mzuri.
 
Hawa jamaa uingereza unawapofusha sana, ndio maana pamoja na ujinga wote anaofanya Rashford hawezi kusemwa. Muone huyu.View attachment 1222516
Hayo maneno mkuu aliyasema kabla ya world cup, na unless hujui kilichotokea world cup Ni kwamba Jesse kaisaidia Sana Uingereza mpaka kufika nusu, yeye na Maguire. Na pia alishinda tuzo ya Goli Bora la michuano na Hyundai.
 
Ole anaweza kuwa amesajili wachezaji wazuri lakini hii haiondoi ukweli kwamba OGS sio kocha mzuri na hata akipewa muda na wachezaji wazuri tactical ni mbovu na hakuna dalili ya kujenga timu wala kushinda chochote as alivyokuwa anapewa nafasi

1.So far amefundisha timu almost mwaka mmoja alipaswa kuyafahamu matatizo ya msingi na kuyafanyia kazi but timu inazidi kuwa mbovu zaidi

2.Players kama Martial,Lingard,Rashford sio wazuri lakini walicheza vizuri zaidi kwenye era ya LVG & Mourinho enzi hizi za OGS wanazidi kuwa mizigo siku zinavyozidi kwenda.

3.United ime-improve hasa kwenye defence kwa kununua wachezaji wazuri (individual) na sio mbinu au mfumo wa kocha

4.Players wanaumia mara kwa mara kutokana na poor decision ya kocha kuwachezesha wakiwa hawako fit (last season game vs Liverpool),Baada ya game ya Arsenal amekiri alikosea kumchezesha Pogba kwenye mechi ya Rochdale sababu hakuwa fit
 
Issue ya Majeruhi Ni more than kocha, niambie mkuu kocha gani wa man U baada ya Fergie ambaye Hana janga la Majeruhi, Hilo Ni tatizo kubwa linalohusiana na structure ya Timu kuliko kocha. Fergie alikuwa na jopo la makocha 24, Sasa Hivi benchi la ufundi Ni Dogo Sana.

Unasema United ime improve defense sababu ya uwezo individual na sio kocha, je hao wachezaji wamenunuliwa na Nani? Hivi watu walikuwa hata wanamtaka AWB? Ole ametuaminisha Ni mzuri na Kuna watu walikuwa Hadi wanaponda Bei yake humu Ila Nani Sasa Hivi anaweza pinga usajili wake? Wangapi wakisema anunuliwe yule beki wa psg? Wangapi walisema anunuliwe wa Norwich?

Pia mkuu napingana na wewe kwamba martial na Rashford wamecheza vizuri zaidi enzi za Mou na lvg nakupa stats.
-kwa Mara ya kwanza Rashford amefikisha double digits goals kwenye ligi Ni msimu uliopita chini ya ole hajawahi fikia hio figure chini ya Mou Wala LVG amefunga goli 10 vs 7 ambazo ndio nyingi zaidi chini ya Mou.
-kwa Mara ya kwanza Rashford amefikisha assist 6 kwenye ligi ambazo hajawahi fikisha nyingi zaidi Ni 5 msimu wa Mou.

So niambie wewe mkuu, goli 10 na assist 6 ndani ya nusu msimu wa ole ndio Bora zaidi kwa Rashford kuliko misimu yote unaanzaje kusema kacheza vizuri zaidi misimu iliopita?

Tuje martial.
Martial chini ya Mou hajawahi fikisha goli 10 Ila chini ya ole amefikisha na chini ya LVG ana goli 11 hivyo lvg alimtumia vizuri zaidi martial kuliko wote na Ole Ni wa Pili, Ila ukiangalia zaidi msimu uliopita ole hajafundisha wote Ni impressive maana amefikisha goli zaidi ya za Mou kwa muda machache zaidi.

Na hata ukiangalia martial msimu huu amecheza mechi 3 tu lakini ana goli 2 na assist 1 tayari inamaana Ni average contribution 1 kwa kila mechi, huwezi kuwa serious ukasema martial anacheza vibaya zaidi chini ya ole.
 
#TBT
Jesse Lingadinho
 

Attachments

  • IMG_20191003_132526.png
    115.9 KB · Views: 14
Mkuu mbona mbishi sana ,mtu ambaye hana mpira anaassist vipi?ushaambiwa ni "HATARI AKIWA HANA MPIRA" labda hiyo sentensi hapo ulikuwa hujaielewa vema..
Si angechezeshwa beki wa kushoto au kiungo wa chini kama kukaba ndio sifa yake kuu. Hivi timu isiyokuwa na wachezaji wabunifu unamuwekaje namba 10 mwenye sifa kuu ya kukaba badala ya kufanya kazi yake ya msingi?
 
even Crystal Palace
 
hata Zidane alijifunza kidhungu na sijui waliishia wapi katika madarasa yao.

na ubaya wetu sisi mashabiki mtu akijifunza kingereza tu basi anataka kazi United.
 
Samahan wakuu, hv mnaatarifa kuwa tunatengeneza timu, na according to Woodward tupo kwenye right track with the right manager,

Kuwa below ten sio tatizo, after three years of rehearsal ndo tutaanza ku keep in mind about United epl standing...
 
Samahan wakuu, hv mnaatarifa kuwa tunatengeneza timu, na according to Woodward tupo kwenye right track with the right manager,

Kuwa below ten sio tatizo, after three years of rehearsal ndo tutaanza ku keep in mind about United epl standing...
Hatuhitaji kauli ya ed kuthibitisha ukweli wa tunachokiona kwa macho yetu kuwa ni kweli. Au ndio mambo ya jicho la 3 ili kuona uchanya wa united hii inayojengwa?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…