Leo mkifungwa msirudi Manchester maana nasikia Judas ie. jeshi la kukodiwa anawatoa sana mwaka huu ... ... khe khe khe khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee
Huyu refa anastahili kufungiwa kabisa kuchezesha mechi yoyote ile EPL, kama sikosei ndiye huyu huyu aliyeibeba MANU dhidi ya Liverpool...ameharibu kabisa mchezo ambao ulikuwa mzuri sana kabla ya kuanza upendeleo wake wa dhahiri....ni vigumu mno kushina ukiwa na wachezaji 9 kiwanjani dhidi ya timu yenye wachezaji 12
sio huyu....huyu refa alichezesha game tulilofungwa na man city goli 6 old trafford.. na evans alipewa kadi nyekundu...
Anatoka Mata, anaingia Betrano, Chelsea
another 3 points in the bag
BRING ON ARSENAL.....we want to top the league by saturday afternoon next weekend
Shukrani..lakini baadhi ya marefa kwa kweli wanatia shaka kubwa katika maamuzi yao ambayo pia yanaharibu kabisa mtiririko wa mchezo.
nakubaliana na wewe...kama leo game la everton vs liverpool goli la suarez lilikua ni legitimate goal dakika ya mwisho lakini linesman akatoa offside wakati hakua offside suarez so liverpool wamenyimwa 3points leo....