Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Petr Cech anafanya kazi ya ziada. Mashambulizi yanapungua kasi
 
Ivanovic wa Chelsea anatolewa kwa kadi nyekundu. Kamsukuma mchezaji wa man
 
Anatoka Cleverey wa Man U, anaingia Chicharito
 
Torres anatolewa kwa kadi nyekundu. Hapa nilipo jamaa wanataka kupigana. Wamemaindi
 
Anatoka Mata, anaingia Betrano, Chelsea
 
Kwa mara nyingine tena refa anawabeba MANU kwa maamuzi ya kustaajabisha sana. Duh!!!!

BAK naona unatuwakilisha hapa mambo leo yalikuwa makubwa naona wanaeka goli hapa Manyu ... ...Serena kamwaga radhi huko kwenye Tennis na Roger kabanguliwa , namwona Fungie analalamika sana khe khe khe keh kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee
 
Chicharito anapachika goli la tatu. Man U 3-2 Chelsea
 
Kweli Belo, mpira umepooza sn. Refa kauharibu kbs
 
Last edited by a moderator:
SAF alishtuka akamtoa Rooney maana hutu refa hafai
 
urehehere, ni raha pia utamu uku cdm anafanya kweli uku man u anaua, uku yanga mbuyu tuite anatupagawisha, jamani raha duniani
 
Back
Top Bottom