Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Mkuu kusema Ed alizingua si sawa, maana hata juzi OGS amesema walikuwepo ma striker lakini hakukuwa na right ones. Sasa hapo maana yake hela ipo ila shida na benchi la ufundi kutoa go ahead ya usajili. Pia OGS amewahi kusema hela ilikuwepo summer ila wachezaji waliokuwa sokoni hawakuwa sahihi.

Ed ana mapungufu yake kwenye mambo mengi, mfano kutotaka tu kuleta DoF lakini kwenye kuruhusu Rom kuondoka na kutoleta mbadala huo msalaba ni kwa OGS

Kinachonistua mimi ni kwamba, je January tutapata striker "sahihi" au creative midfielder "sahihi"? Maana kama summer ya miezi 3 tulioshindwa kupata wachezaji wanaofit profile ya United/OGS je mwezi 1 wa January itawezekana?

Je next summer tutapata wachezaji sahihi? Wachezaji sahihi ni akina nani? Longstaff? Declan Rice?
Striker na creative midfield, nilikwambia mkuu Hivi Ni viporo vya dirisha liliopita Woodward alizingua.
 
Mkuu kusema Ed alizingua si sawa, maana hata juzi OGS amesema walikuwepo ma striker lakini hakukuwa na right ones. Sasa hapo maana yake hela ipo ila shida na benchi la ufundi kutoa go ahead ya usajili. Pia OGS amewahi kusema hela ilikuwepo summer ila wachezaji waliokuwa sokoni hawakuwa sahihi.

Ed ana mapungufu yake kwenye mambo mengi, mfano kutotaka tu kuleta DoF lakini kwenye kuruhusu Rom kuondoka na kutoleta mbadala huo msalaba ni kwa OGS

Kinachonistua mimi ni kwamba, je January tutapata striker "sahihi" au creative midfielder "sahihi"? Maana kama summer ya miezi 3 tulioshindwa kupata wachezaji wanaofit profile ya United/OGS je mwezi 1 wa January itawezekana?

Je next summer tutapata wachezaji sahihi? Wachezaji sahihi ni akina nani? Longstaff? Declan Rice?
Mkuu huwa ole siku zote yupo Positive kwenye press conference zake hawezi kusema tofauti na hivyo,

Na unamtoa vipi Ed kwenye hizo lawama? Tujikumbushe kidogo
-ame negotiate kuhusu Maguire kuja Man UTD toka mwezi wa 6 Hadi wa nane na hajapunguziwa hata senti 1 Hela Ile ile waliotaja mwanzo ndio tuliyomnunua 80m
-Ame negotiate uuzwaji wa Lukaku mpaka dirisha linafungwa inter wakaja kutoa Hela Ile ile €65

Ukumbuke Ed msimu huu alikuwa ana negotiate deal moja baada ya jengine alikuwa hanegotiate wachezaji wengi kwa mpigo, Lukaku anauzwa tarehe 8 na dirisha linafungwa tarehe 9.

Kulikuwa na tetesi kibao za Ben yedder, Dembele, mandzukic etc lakini hawakuja kutokana na muda, na tunajua Nani alichelewesha huo muda.
 
Badala ya kumchukua Fabian Ruiz kwanini usimnunue Marco Verrati na Sergej Millinkovic Savic
Hii timu yetu ikipata wachezaji hata wanne tu kwenye maeneo muhimu nadhani tutaimarika sana..

De Gea
Bissaka Tuanzebe Maguire Shaw
Fred Ndidi FabianRuiz
XXX XXX James

Hizo nafasi mbili za straika na winger wa kulia napo tukipata watu sahihi tutatisha sana..Kirusi Pogba nampiga bei mapema namvuta Fabian Ruiz wa Napoli na mtu mzima Ndidi wa Leicester

Uwezo wa kocha tukiwa tumeukeep constant..
 
IMG_6336.JPG
 
Lini Benzema kawekwa benchi na Giroud tuache masikhara kwenye issue serious, Futa Benzema mengine upo sahihi
Kwani Lacca anawekwa benchi au haitwi kabisa na badala yake anaitwa OG?

Sasa kwa maana ya huyo jamaa hapo kwa kuwa OG anaitwa LACCA anaachwa ndio inampa jeuri ya kusema OG ni bora kuliko LACCA na ndio maana nikampa mfano kuwa hata KB pia anaachwa anachukuliwa OG,MAURO anaachwa anachukuliwa HIGUAIN, na kali ya mwaka ni pale anapochukuliwa KOURT ZOUMA na LAPORTE anaachwa na wanacheza ligi moja na sote mashahidi ukija katika kipengele cha kuwacompare hawa mabwana.....hahahahahahaha

Hiyo ndio football
 
Mchezaji hayupo hata National team

Hatari my foot
Kwa maana yako ili uwe mzuri uitwe NT?

HAHAHAH jitathmini bro,kuna wengine hawaitwi sababu ya chuki tu na mambo mengine mengi ila selection ya NT ingekuwa inafanywa na VAR hizo takataka zako usingeziona.....

LAPORTE mbovu? Acha kuweweseka wewe
 
Back
Top Bottom