Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Kuna wakati mashabiki tunawalaumu makocha (kwa haki) na kuna wakati kuna jambo wao wanalijua sisi hatulijui, kwa hiyo kumlaumu Unai kwa upangaji wa kikosi na kunasibisha matokeo mnayopata si sahihi. Mfano nani angekuelewa miezi 2 iliyopita ungeitaja hiyo midfield unayotaka (uwepo wa Guendouzi)

Kwenye hii game naona mashabiki wa Arsenal wanajiamini sana kiukweli kuliko uhalisia. Hivi ukiacha mbele pale, kuna sehemu Gunners mna uwezo kutuzidi? May be kutokuwepo kwa Pogba kidogo kunawapa kutuzidi lakini OGS akimuamini Fred, halafu Mc Terminator acheze kama kawaida akae na Matic (ndio aliyepo) sidhani kama mid ya Xhaka (captain lazima acheze), Guendouzi na whoever be it Ceballaous/Torreira wataizidi mid ya United

Sehemu pekee Arsenal mliyotuzidi ni mbele. Na kitu pekee kinachonipa wasiwasi kwa upande wa United ni upande wa kutengeneza na kufunga magoli, Japo tumekuwa tukipata magoli iwe kwa penati au vyovyote, na dhidi ya timu kubwa tuna uwezo wa kupata magoli kuliko dhidi ya timu ndogo zinazopaki, sababu nilishazitaja.

Upande wa beki yenu hali mbaya, sitashangaa kuona matuta yakipatikana. Ukiacha Brighton and Hove Albion ni Arsenal tu ndio wamesharuhusu penati 5 golini kwao mpaka sasa

Nikiwa natambua ubora wa Arsenal pale mbele, pia natambua kuimarika kwa United upande wa ulinzi

History speak. Arsenal ana miaka zaidi ya 15 hajashinda mechi ya ligi pale OT

Pia katika miaka ya hivi karibuni Arsenal imeshindwa kupata matokeo mazuri pale OT hata United wakiwa wanachechemea.

Nakumbuka ule mwaka wa Van Gaal, debut ya Rashford, ile siku United alikuwa ana kikosi kibovu sana lakini Arsenal alipigwa. Msimu uliopita chini ya Jose, United akiwa kwenye kiwango kibovu na kila mtu akiamini United atapigwa, lakini Arsenal wakashindwa kupata matokeo waliyotegemea.

Wewe umesema 50/50. Mimi naona 60/50. Labda nipo biased lakini nina sababu zinazofanya niamini hivyo
Mkuu Mc cane ushindi wenu kesho unategemea sana upumbavu wa emery maana tayari beki zetu zimerudi

Na kama kiungo akipanga vzr sioni mkitoboa ila kama atakuja na approach ile ile kama ya Liverpool basi mtatupiga kirahisi maana mpaka sasa emery hajui kuzicheza mechi kubwa

Hivi hapa atajifanya ana mipango buku kesho anakuja na utumbo ,ila akipanga kiungo vzr ceballos Gunduz lt11 , Mechi itakuwa ngumu sana kwenu.

By the way, man u siwabezi kama wengi wanavyoichukulia ,

Mechi ni 50/50
 
Kuna wakati mashabiki tunawalaumu makocha (kwa haki) na kuna wakati kuna jambo wao wanalijua sisi hatulijui, kwa hiyo kumlaumu Unai kwa upangaji wa kikosi na kunasibisha matokeo mnayopata si sahihi. Mfano nani angekuelewa miezi 2 iliyopita ungeitaja hiyo midfield unayotaka (uwepo wa Guendouzi)

Kwenye hii game naona mashabiki wa Arsenal wanajiamini sana kiukweli kuliko uhalisia. Hivi ukiacha mbele pale, kuna sehemu Gunners mna uwezo kutuzidi? May be kutokuwepo kwa Pogba kidogo kunawapa kutuzidi lakini OGS akimuamini Fred, halafu Mc Terminator acheze kama kawaida akae na Matic (ndio aliyepo) sidhani kama mid ya Xhaka (captain lazima acheze), Guendouzi na whoever be it Ceballaous/Torreira wataizidi mid ya United

Sehemu pekee Arsenal mliyotuzidi ni mbele. Na kitu pekee kinachonipa wasiwasi kwa upande wa United ni upande wa kutengeneza na kufunga magoli, Japo tumekuwa tukipata magoli iwe kwa penati au vyovyote, na dhidi ya timu kubwa tuna uwezo wa kupata magoli kuliko dhidi ya timu ndogo zinazopaki, sababu nilishazitaja.

Upande wa beki yenu hali mbaya, sitashangaa kuona matuta yakipatikana. Ukiacha Brighton and Hove Albion ni Arsenal tu ndio wamesharuhusu penati 5 golini kwao mpaka sasa

Nikiwa natambua ubora wa Arsenal pale mbele, pia natambua kuimarika kwa United upande wa ulinzi

History speak. Arsenal ana miaka zaidi ya 15 hajashinda mechi ya ligi pale OT

Pia katika miaka ya hivi karibuni Arsenal imeshindwa kupata matokeo mazuri pale OT hata United wakiwa wanachechemea.

Nakumbuka ule mwaka wa Van Gaal, debut ya Rashford, ile siku United alikuwa ana kikosi kibovu sana lakini Arsenal alipigwa. Msimu uliopita chini ya Jose, United akiwa kwenye kiwango kibovu na kila mtu akiamini United atapigwa, lakini Arsenal wakashindwa kupata matokeo waliyotegemea.

Wewe umesema 50/50. Mimi naona 60/50. Labda nipo biased lakini nina sababu zinazofanya niamini hivyo
Mkuu midfield ya Arsenal sio kama unavyoichukulia , ni emery ndio analalamikiwa worldwide kuipanga ovyo,

Iwapo tutaanza na hata Xhaka gunduz ceballos bado sion mkituzidi sana

Hata beki ni kweli INA errors kibao nikutokana na emery kupanga ovyo DM. Habari njema nikuwa Tayari kesho mmoja kati ya luiz na sokratis atampisha Holding, ambaye amerejea , na namba 2 amerejea chambers ,

Na hata LB karejea bwana mdogo KT, hivo kama emery atapanga vzr kama mashabik wanavyomwambia , naona mkisumbuka sana

Mech zenu anayetusumbuaga ni pogba tu pale kati,

Mm bado mech naipa 50/50 maana simuamin emery kwenye upangaji

Baada ya line up nitapunguza au kuongeza %
 
Kwa sasa game yoyote kwa United ni ngumu, hata dhidi ya Newcastle.... Ni siri iliyo wazi kuwa United hawapo kwenye good form na wana wachezaji majeruhi ambao ni muhimu

Lakini ni kosa kubwa kuidharau United itakapokuwa inacheza na timu kubwa (top six) kwani hizi timu zinafunguka na kuacha nafasi inayoweza kuruhusu game ya United/OGS (counter attacking football)

Kuna watu wanajiuliza Chelsea walipigwaje na United hii, nashindwa kuelewa wanashindwaje kupata majibu

United ina creative players wachache na inacheza zaidi counter attacking football. Aina hii ya mchezo inawatesa sana wanapokutana na timu ndogo zinazocheza "kwa ku pack bus" kwa kuwa wanashindwa kutengeneza nafasi na kufunga magoli

Tatizo la United la kuwa na washambuliaji butu halijaisha, tatizo la kuwa na majeruhi bado lipo, tatizo la United kuwa na kiwango kibaya bado lipo lakini watu wanafanya makosa sana kuidharau United mbele ya Gunners wenye washambuliaji wazuri, midfield ya kawaida na beki isiyoridhisha.

Kuna watu watasubiri kesho tufungwe halafu waje wa quote huu Uzi, ninawaambia NO PROBLEM, ninawasubiri. Lakini kuweka kumbukumbu sawa Sijasema United ana 100% ya kushinda, ila ninampa asilimia kubwa ya kushinda
Pep siku zote huwa anafunguka lakini humfungi kwa counters
 
hapa tukipigwa na arsenal kesho tunashuka chini zaidi.alafu tunaenda kwa newkesto na ugenini tulivyo tia maji tukibahatisha sana ni droo.then liverpool hawa hapa
mpk hapo tupo relegation zone na kutoka na huyu mmasai mwenzangu itakua kaz nyingineView attachment 1218413
Kesho arsenal mnawapiga mkuu ..uhakika wa kushinda upo tena mkubwa tu
 
Kwanini watu mnadhani kuifunga Arsenal kesho ni maajabu?

Wao wenyewe hawapo kwenye kiwango kizuri

Wao sio City au Liverpool kwa sasa, kwanini kuwafunga iwe maajabu?

After all they are Arsenal dhidi ya United, tena Old Trafford
Tuko pamoja mkuu kesho tunapeleka kilio na majonzi kule emirates.

Kila la kheri Man united
 
Kwa sasa game yoyote kwa United ni ngumu, hata dhidi ya Newcastle.... Ni siri iliyo wazi kuwa United hawapo kwenye good form na wana wachezaji majeruhi ambao ni muhimu

Lakini ni kosa kubwa kuidharau United itakapokuwa inacheza na timu kubwa (top six) kwani hizi timu zinafunguka na kuacha nafasi inayoweza kuruhusu game ya United/OGS (counter attacking football)

Kuna watu wanajiuliza Chelsea walipigwaje na United hii, nashindwa kuelewa wanashindwaje kupata majibu

United ina creative players wachache na inacheza zaidi counter attacking football. Aina hii ya mchezo inawatesa sana wanapokutana na timu ndogo zinazocheza "kwa ku pack bus" kwa kuwa wanashindwa kutengeneza nafasi na kufunga magoli

Tatizo la United la kuwa na washambuliaji butu halijaisha, tatizo la kuwa na majeruhi bado lipo, tatizo la United kuwa na kiwango kibaya bado lipo lakini watu wanafanya makosa sana kuidharau United mbele ya Gunners wenye washambuliaji wazuri, midfield ya kawaida na beki isiyoridhisha.

Kuna watu watasubiri kesho tufungwe halafu waje wa quote huu Uzi, ninawaambia NO PROBLEM, ninawasubiri. Lakini kuweka kumbukumbu sawa Sijasema United ana 100% ya kushinda, ila ninampa asilimia kubwa ya kushinda
Apana mkuu hii man united mbona ina vijana machachari tu .. Rashford pale ..kuna lingard, achilia mbali jemsi kuna uyo magwaya, Bissaka uku dah, kipa bora kabisa kuwahi kutokea De Gea + tuko OT tena aaagh hii Arsenal watapitia wapi? Laccazete ayupo uyo auba kazi anayo ..yan kesho Man united ikishinda goli chache sana labda ni mbili ..

Kila la kheri Man united
 
Average kushinda Rashford na Lingard?kiukweli ni kwamba hata kama ni average lakini wewe huna striker wa kumfananisha na LACA kwa maana hiyo ni hatari kwako
Uyo lacca ata Geroud anamweka benchi timu ya taifa ..amna kitu minguvu tu..Rashid akitulia vizuri kuna goli mbili clear kabisa ..ukichek bek ni luiz, papaston cjui..

Kila la kheri man united
 
Tammy ameachwa mbali sana na EDDY NKETIAH
Yani anayeibeba arsenal ni Auba ..sasa kesho Magwaya atalala naye ata kivuli chake akitapata nafasi...

Naiona arsenal ikistrugle sana kesho..

Kila la kheri man united
 
Back
Top Bottom