Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

20190929_212634_rmscr-1.jpg

Kwa mujibu wa jarida la Tuttosport la Italia Imeripotiwa kuwa sasa Pogba anataka kitita cha Euro laki sita kwa wiki ili aendelee kubaki Manchester United. Awali alipoweka wazi niayake ya kuondoka uongozi wa Man U haukuwa tayari kumuachia.
 
Uyo lacca ata Geroud anamweka benchi timu ya taifa ..amna kitu minguvu tu..Rashid akitulia vizuri kuna goli mbili clear kabisa ..ukichek bek ni luiz, papaston cjui..

Kila la kheri man united

Hata benzema pia anawekwa bench na giroud ingawa kule madrid anaanza na giroud pale madrid hata kikosi cha pili hana nafasi, Icardi anakaa benchi kwa Higuain na pia nyinyi mumemchukua Pulisic aliyekuwa anasugua kwa Sancho na mnasema ni mkali hahahahaso mm siwezi shangaa ukisema hayo
 
Hii timu yetu ikipata wachezaji hata wanne tu kwenye maeneo muhimu nadhani tutaimarika sana..

De Gea
Bissaka Tuanzebe Maguire Shaw
Fred Ndidi FabianRuiz
XXX XXX James

Hizo nafasi mbili za straika na winger wa kulia napo tukipata watu sahihi tutatisha sana..Kirusi Pogba nampiga bei mapema namvuta Fabian Ruiz wa Napoli na mtu mzima Ndidi wa Leicester

Uwezo wa kocha tukiwa tumeukeep constant..
 
Wewe ndio unageuza Habari, hoja ni huyo Magazeti kuwepo, na nimekupa mfano kwamba aliwahi kuwepo na mkapigwa

Acha kuchekesha watu mchezaji gani ambaye hajawahi kupoteza mechi duniani,huyo pele tu na amepoteza game nyingi tu akiwa uwanjani......ila kwa sasa Lacca ni hatari kwako ....
 
Hata benzema pia anawekwa bench na giroud ingawa kule madrid anaanza na giroud pale madrid hata kikosi cha pili hana nafasi, Icardi anakaa benchi kwa Higuain na pia nyinyi mumemchukua Pulisic aliyekuwa anasugua kwa Sancho na mnasema ni mkali hahahahaso mm siwezi shangaa ukisema hayo
Lini Benzema kawekwa benchi na Giroud tuache masikhara kwenye issue serious, Futa Benzema mengine upo sahihi
 
Mchezaji hayupo hata National team

Hatari my foot
Acha kuchekesha watu mchezaji gani ambaye hajawahi kupoteza mechi duniani,huyo pele tu na amepoteza game nyingi tu akiwa uwanjani......ila kwa sasa Lacca ni hatari kwako ....
 
Back
Top Bottom