Chief-Mkwawa
Platinum Member
- May 25, 2011
- 32,060
- 43,477
UTD 2 Liverpool 0 mechi za wadada, futeni futeni machozi kidogo.
Its better akitumia ipi
4-3-3 |
UTD 2 Liverpool 0 mechi za wadada, futeni futeni machozi kidogo.
Kweli hiki kifuta jasho. Nimeona Honda ametuma maombi ya kuichezea MUFC bila malipo yoyote. Kwa aina ya wachezaji tulionao huyu si anatufaa kabisa😂😂 pia mambo ya Ole ya DNA huyu si ndio mwenyewe kabisa? |
Mkuu issue Ni kwamba Ed anataka yes Man, wamemu Approach van de sir Aje awe Dof wetu na akatutolea nje, sababu Ni ile ile anataka Uhuru akija football matters zote aachiwe yeye kitu ambacho Ed hataki.Mkuu vitu vingine unaongea kama una uhakika lakini huna uhakika
Kauli ya hivi karibuni iliyotolewa na Ed kuhusu DOF/SD/Technical Director ni hiyo hapo chini, sasa wewe hizo story zako sijui umezitoa wapi
Sasa anavyosema United wana review structure ya football side kwa uelewa wako ndio anamaanisha United isahau mambo ya DOF? View attachment 1217903View attachment 1217904
Pogba ndio huyo ameumia, Tegemea Fred na Mc tominay, huna midfield za 4-3-3. Sema wakicheza Fred na Mc tominay tunaweza cheza na 10 asiekaba Kama Mata na Gomez.
4-3-3
Kashajisahaulisha huyo achana nae akija kustuka anakuta yaliyomkuta Norwich city pale Ettihad yamemkuta yeye jumatatu....Usikariri mkuu kwan last season ulitokaje?
Kweli hiki kifuta jasho.
Nimeona Honda ametuma maombi ya kuichezea MUFC bila malipo yoyote. Kwa aina ya wachezaji tulionao huyu si anatufaa kabisapia mambo ya Ole ya DNA huyu si ndio mwenyewe kabisa?
Umri wake
Kama Ashley Young. |
Sanchez 2 goals in 20 mins
Huyu ni mchezaji niliamini sana angepewa nafasi msimu huu angetusaidia. Kesho mkitufunga tunateremka chini vibaya sana.😂😂 |
Wee endeleza tu mkuuHahaha watu walimind hadi nikajisikia vibaya imebidi niache.



Hahaha mbona una khasira na hii timu mkuuHata wacheze game gani hawatoki hao
Nyinyi jipigieni tu mzee tena myazabue kwel kwel









Mm mpaka kesho naamini Sanchez bado ni hatari sana
Huyu ni mchezaji niliamini sana angepewa nafasi msimu huu angetusaidia.
Kesho mkitufunga tunateremka chini vibaya sana.
Ebwana kwa kukosa kosa Tammy na Rashford wote ni walewale.Wee endeleza tu mkuu![]()
Sanchez 2 goals in 20 mins
Halafu kuna watu wanafananisha De Bruyne na kirusi Pogba
Watu wanaomlinganisha Pogba na KDB huwa wanaamini hata Pogba angekuwa hapo alipo KDB naye angetisha kama KDB. Wanaamini Pogba anaangushwa na aina ya wachezaji waliomzunguka😂😂 | |
Inashangaza sanaHalafu kuna watu wanafananisha De Bruyne na kirusi Pogba