Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Pogba anajiangusha mwenyewe

Pogba afananishwe na akina siguirson wa Everton labda
Watu wanaomlinganisha Pogba na KDB huwa wanaamini hata Pogba angekuwa hapo alipo KDB naye angetisha kama KDB. Wanaamini Pogba anaangushwa na aina ya wachezaji waliomzunguka
 
Pogba anajiangusha mwenyewe

Pogba afananishwe na akina siguirson wa Everton labda
Hata hao wanamkomalia asiondoke ni kwasababu za kibiashara tu ila sio kwa ubora ndani ya uwanja. Na huo mpunga mrefu anaohitaji watampa.
 
Alexis Sanchez in the Premier League for Man United:

3 goals in 1,925 minutes played.

Alexis Sanchez in the Serie A for Inter:

2 goals in 40 minutes played.

Wow
Kafunga goli 1 moja bwana then akapewa red. Kuna mchezaji inter anaitwa sensi naye amefunga ukiwa hujasoma vizuri unaweza jua Ni sanchez
 
Some people feel sorry for this man
A%2B%20Gallery_17.jpeg
 
hapa tukipigwa na arsenal kesho tunashuka chini zaidi.alafu tunaenda kwa newkesto na ugenini tulivyo tia maji tukibahatisha sana ni droo.then liverpool hawa hapa
mpk hapo tupo relegation zone na kutoka na huyu mmasai mwenzangu itakua kaz nyingine
IMG_20190929_064441.jpeg
 
Kafunga goli 1 moja bwana then akapewa red. Kuna mchezaji inter anaitwa sensi naye amefunga ukiwa hujasoma vizuri unaweza jua Ni sanchez
Awali ilionekana la Sanchez, baadae wamelikataa wamempa sensi
Japo Sanchez kapost akijitanabaisha kafunga mawili
 
WE KNEW LIVERPOOL WON AGAIN" - GUARDIOLA ADMITS MAN CITY CANNOT DROP MANY POINTS IN TITLE RACE:

Pep Guardiola admitted the thought of losing more ground on Liverpool played on his mind as Manchester City dug deep to claim a 3-1 win at Everton.

The reigning champions headed into Saturday's Premier League clash at Goodison Park eight points behind Liverpool, who beat Sheffield United 1-0 in the day's early kick-off.

Dominic Calvert-Lewin cancelled out Gabriel Jesus' opener before half-time, but Riyad Mahrez caught out Jordan Pickford from a free-kick 71 minutes in and Raheem Sterling made sure of the points.

With the gap at the top back to five points after seven matches, Guardiola acknowledged the pressure is on his side to keep pace with last term's runners-up.

"We knew Liverpool won again and the gap was eight points, so big," Guardiola said at his post-match news conference.

"So, we won three points and it's five [points] in September, with a lot of points to play for.

"We know which team we're playing right now - they are seven victories in a row, champions of Europe and playing good football.

"This is our rival and we know we can't drop too many points because last season they lost just one game.

"The season is long, we have to keep going and be there, maybe we can push them a little bit more and try to make the third Premier League in a row."

Ederson produced a couple of impressive second-half stops to help City on their way to a fourth win on the bounce in all competitions, much to the delight of Guardiola.

[https://pbs]

Premier League

@premierleague

And after all that, here's how we stand... #PL

[https://pbs]

3,855

9:43 PM - Sep 28, 2019

Twitter Ads info and privacy

925 people are talking about this

"He saved two incredible chances at 2-1 and it was a good game of football," he added.

"We were absolutely outstanding. At Goodison Park it's always difficult - we started incredibly well as usual, we created chances and scored.

"After that we had a lot of problems to control out left side with Gylfi Sigurdsson, they had one more player there, we had a lot of problems.

"In the second half, except set-pieces and conceding free-kicks and long balls we played good."

Everton winger Theo Walcott was taken from the field on a stretcher in the opening stages of the match after blocking Sterling's cross with his face.

Walcott was taken to hospital but Marco Silva confirmed after the game that the 30-year-old had been discharged.

"He's already in our dressing room," Silva told reporters. "He's okay, he's taking his shower and will go home to rest.

"He had a scan [at the hospital]. Up to now everything is okay. We're just waiting to speak more to the doctor."

Screenshot_20190929-080131.jpeg
 
Mm mpaka kesho naamini Sanchez bado ni hatari sana

Basi kuna mambo yalisababisha afeli hapo OT

MAANA kule Chile bado anafanya vzr

Leo Conte kaanza kumtumia dk 20 & 22 anaweka goli 2
Conte ni kocha mzoefu sio sawa na sosha huwez ukatoa players lundo kwa mkopo na kuuza wakat kuna mashindano zaidi ya manner sijui alikuwa anafikiria nini huyu mzungu kichaa
 
Mm mpaka kesho naamini Sanchez bado ni hatari sana

Basi kuna mambo yalisababisha afeli hapo OT

MAANA kule Chile bado anafanya vzr

Leo Conte kaanza kumtumia dk 20 & 22 anaweka goli 2
Sanchez anafanya vizuri akiwa nje ya United.

Vilevile Romelu Lukaku na Paul Pogba..

Go figure.
 
Kwanini watu mnadhani kuifunga Arsenal kesho ni maajabu?

Wao wenyewe hawapo kwenye kiwango kizuri

Wao sio City au Liverpool kwa sasa, kwanini kuwafunga iwe maajabu?

After all they are Arsenal dhidi ya United, tena Old Trafford
Vipi zinazo fata baada ya arsenal(hii sina uhakika kama tutashinda)
 
Kwanini watu mnadhani kuifunga Arsenal kesho ni maajabu?

Wao wenyewe hawapo kwenye kiwango kizuri

Wao sio City au Liverpool kwa sasa, kwanini kuwafunga iwe maajabu?

After all they are Arsenal dhidi ya United, tena Old Trafford
Mkuu waishi kwa mazoea sana. Ngoja kesho uone.
 
Back
Top Bottom