Yeye kwenye kila mechi anaona positive tu. Yaani anaishi kwenye fairy tales. HAKUNA TIMU HATA MOJA INAYOOGOPA KUCHEZA NA MUFC, wanatamani mechi 38 zote wawe wanacheza na MUFC tu!Kwa iyo aseno nao wakitufunga atasema anaona positive
Jamaa kiazi sana
Jaman nyie si ndo mlisema mnataka vijana wadogo wenye morale, mkawauza Lukaku, herera na mkamtupia virago sanchez, na mkasema mnataka kutengeneza timu ya miaka mitatu without any 👑....leo hii mmegeuka tena duuh![]()
Man Utd news: Gary Neville says 'you can't win anything with kids' & claims Red Devils need six new signings | Goal.com Tanzania
Manchester United were once told that “you don’t win anything with kids”, and Gary Neville believes the club’s class of 2019-20 will prove that to be the case.www.goal.com
Yule kwenye karatasi, huyu yeye kwenye Medias... Anasifia ujinga tu. Anyways wacha Klopp na Pep wachukue makombe MUFC tunajenga timu. May be baada ya miaka 20 tukiendelea na OGS huenda tukawa tunagombea nafasi ya nne.Hahahaha umenikumbusha babu sari Chelsea, timu ifungwe au ishinde yeye yuko bize anaandika kwenye kikaratasi. Sasa alikuwa anaandika nini ambacho hakifanyii kazi kila siku.
Yani kwa Club Record Revenue hii Glazer's Family waliyopiga!!! Jiandaeni kwa Maumivu lakini hakuna Mfanya Biashara atakayekubali kumfukuza Ed hata siku moja.
Jamaa anacheza Europa lakini anaiingizia Timu mihela ya kufa Mtu halafu afukuzwe kwasababu tu ya kelele za Mashabiki!!!
Maumivu yanakuja
marcus rashford
amecheza nusu msimu chini ya louis van gaal
amecheza misimu mitatu chini ya jose mourinho
anaelekea kucheza msimu mmoja chini ya ole gunnar solskjaer.
lakini bado tunaambiwa jamaa ni mtoto kwa sababu ya umri wake.
Sikuwa nampenda huyu jamaa lakini bora yeye Ole ameprove failure kabisa huyo lampard hajasajili timu inafungwa lakini inaonekana kuna mpira inacheza kiasi chake unavutia ila Hii timu ya masai ole hovyo kabisa.
Hana mbinu za kubadili mchezo mfumo anaanza nao mpaka mechi inaisha ni huo huo habadiliki na hapo mshafungwa. Yani hii timi ingekua demu nishapiga chini![]()

Hahahaha club iuzwe kwa waarabu wenye hamu ya makombe kuliko mapato.
Hizi ishu za replacement zinaanzaga hiv hiv kidg kidg hadi zinatimia...someone the door will be open soon..Manchester United are lining up potential replacements for Ole Gunnar Solskjær according to Italian media
JUZI NILISEMA ARSENAL WANASUBIR NINI KUMTIMUA UNAI EMERY, WANATAKA MPAKA , ALEGLI AELEKEE OT
naona yanaenda kutimiaView attachment 1215153
Itapendeza sana kama tukimpata huyu. Ni kweli timu inajengwa lakini ni vizuri ikajengwa chini ya kocha mwenye uzoefu. Ole timu yake inacheza flat hamna badiliko mwanzo mwisho, akitangulia kufungwa ndio mchezo umeisha. |