Manchester United (Red Devils) | Special Thread


Kweli mkuu
 
Ole akiendelea kuaminiwa atatufelisha vibaya sana, hamna kocha hapa.

Timu inacheza kilevi,wachezaji wazito hadi vichwani.
Timu zote zilizobadilisha makocha wanacheza vizuri.

Leo hii mnaambiwa mnasuka kikosi.

Man Utd ni timu ya kusuka kikosi kweli?

Umeuona mpira alocheza Chelsea jana?

Kocha ameingia juzi tu.
 
Kuna wakati midfield hata ikifanya vibaya striking inakuokoa.

Angalia uchafu wa Rashford. Anakosa goli 7 anapata moja.

Forward yako Lingard unategemea nini??
 
Gharama alioiingiza Ole ni mara mia wangempa hela Morinho alete aina ya wachezaji anaowataka.

Mou alichukua UCL akiwa na Porto wachezaji wakiwa wa aina anayotaka yeye.

Amekuletea Lukaku, anataka sajili wengine unamtimua unamleta Ole anayecheka na Rashford.
 
Mechi ya 6 Man Utd imeshapitwa point 10 na anayeongoza ligi.

Ikifika mechi ya 20 tutakuwa tumepitwa point 30.
 

Hii interview imeonesha jinsi Ole anavyomlegezea Rashford.
 

Then kaibuka Zidane kakuta Mou ameshatengeneza Timu yeye akafaidi Matunda bila ya Jasho! Sasahivi Timu inamtokea puani
 
Yawezekana tunawalaumu kina Rashford bila kuangalia pia kiungo chetu cha ushambuliaji kikoje.

Tunatengeneza nafasi za kufunga magoli chache sana kiasi kwamba clear chance zimekuwa za kubahatisha tu
Mechi ya Astana Rashford alipoteza nafasi za wazi 5 ambazo clinical finisher yeyote angefunga hata 4 au 3.
 
4 2 3 1 ya Ole imefeli ahamie kwenye 4 3 3 au hata 3 5 2
Ole sikio la kufa.

Formation imemshinda bado anaitumia.

Rashford kimeo bado anamtumia.

Kikosi kilikuwa dhaifu ila hajajiangaisha kuleta wachezaji.

Anadhani anacheza na watoto.
 
Niliwaambia Rashford akifikisha goli 20 za EPL msimu huu siingii tena kwenye huu uzi.

Msimamo wangu upo palepale.
 
Jana tu ulijinasibu wewe sio mtu wa mipasho

Mimi sina kawaida hiyo lakini kuna mjamaa hapa alikuja kusumbua sana kule Home baada ya sisi kudonolewa na Napoli, Sasa namimi ninajifariji hapa kidogo.

Anyway sikusudii Mipasho bali hizi picha nimezikuta sehemu na nimezipenda sana nimeamua kuja kushare na wadau hapa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…