Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Tumeshacheza mechi 4 kati ya 38 tayari Man City wameshatuzidi point 5 ,Kama Liverpool akishinda atakuwa ametuzidi pointi 7,Imagine baada ya mechi 38 tutakuwa tumezidiwa pointi ngapi ?
Update :Tumecheza mechi 6 kati ya 38 tumeshinda mechi 2 draw mechi 2 tumefungwa mechi 2
Tumefunga magoli 8 na tumefungwa magoli 6 na tuna point 8
Liverpool ameshatuacha point 10 ,Man City ametuacha point 5
 
After 7 games hakuna kilichobadilika so far
 
Brother bado hamjakutana na Arsenal, Man City, Liverpool,Spurs na vitimu vingi vidogo vidogo ambao wote lazima wanawafunga
 
Brother bado hamjakutana na Arsenal, Man City, Liverpool,Spurs na vitimu vingi vidogo vidogo ambao wote lazima wanawafunga
inasikitisha sana lakini mechi ngumu zaidi kiupande wetu itakuwa dhidi ya liverpool na manchester city.
kiukweli hatukuwa na sababu ya kupoteza points 10 mechi sita za mwanzo.
 
Ngolo kante
Jorginho
Willian
Alonso
Cesar
Kovacic
Pedro
Christensen
Zouma
Hawa ni watoto ?
Christensen, Emerson walicheza dakika ngapi uwanjani?

Weka hapa listi ya wachezaji majeruhi maana hata huyo Ng'olo Kante hajawa fiti kiviiile sababu hakuna mchezaji awezaye toka majeruhi akawa vizuri 100% sawa na mchezaji ambaye hakuwa majeruhi na alikuwa akicheza mara kwa mara kama Rashid Makame
 
Leo kajivunja
 
Manchester United ina matatizo mengi sana kuanzia kwa top management hadi kwa wachezaji but our manager anazidi kuifanya timu yetu iwe dhaifu zaidi,kukubali kuwaondoa senior players bila kufanya replacement ni kosa kubwa sana hakuna ambaye hajui mchakamchaka wa EPL nilisema hii timu kuna 3 key players wakikosekana hali itakuwa mbaya sana
Poor formation,poor tactical,poor team selection,poor substitution.Game karibia zote msimu huu timu inacheza mechi iishe hakuna creativity kwenye midfield mpaka wale wachezaji tuliowaona msaada wanaanza kuonekana magarasa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…