Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Kitendo cha Mason (striker wetu hatari aliyepo) kutokuwepo kwenye line up (hata sub) kunanifanya nijiulize maswali mengi

Fred nadhani alipaswa kuanza. Labda kocha ameona game itakuwa physical ndio maana
Kitendo cha kuwepo Rashford kwenye Line-up najua kuna watu wameshaanza kununa 😀
 
Iyo no. 10 tuna hesabu kama amnapo mtu
255762595052_status_6de9f45d015a42e4a2a31a9efd160f36.jpeg
 
Kitendo cha Mason (striker wetu hatari aliyepo) kutokuwepo kwenye line up (hata sub) kunanifanya nijiulize maswali mengi

Fred nadhani alipaswa kuanza. Labda kocha ameona game itakuwa physical ndio maana
Kuna sehemu nimesoma Mason ana tonsilitis,
 
Kitendo cha Mason (striker wetu hatari aliyepo) kutokuwepo kwenye line up (hata sub) kunanifanya nijiulize maswali mengi

Fred nadhani alipaswa kuanza. Labda kocha ameona game itakuwa physical ndio maana
City Aguero akifanya ujinga Pep anamkemea na hapo anakuwa na presha ya kuwekwa bench maana kuna Jesus nje. Kwetu Rashford anarukaruka na bado anapata nafasi na hana presha😂😂

MUFC ya Ole hii, ni bahati tu tunatembelea.
 
Nikimuonaga perreira huwa nakosa amani kabisa yaani sijui kicha wetu anaamini vipi dogo mzur zaidi ya fred huyu huu u academy utamkost hata kama perreira atafanya poa ila si sawa na fred
 
Bora Pereira Mkuu

Mimi nilitaka aanze Ferd na si Matic
Nikimuonaga perreira huwa nakosa amani kabisa yaani sijui kicha wetu anaamini vipi dogo mzur zaidi ya fred huyu huu u academy utamkost hata kama perreira atafanya poa ila si sawa na fred
 
Manchester wamefungwa gori nne tu mpaka sasa, yenyewe na liverpool ndio wamefungana kwa kuwa timu zilizofungwa magori machache mpaka hatua hii.

Maana yake ni kwamba, Man U sasa ni more defending kuliko wakati wa mourniho wala van-dagaa hasa ukiangalia idadi chache sana ya magori kulinganisha na washindani wake.

yale maneno ya attack attack kutoka kwa OGS yamepotea. Ole ni fraud.
Chief analysis mbona km biased. Kufungwa goli goli kunaweza kuwa na taswira 2 au zaidi; Mosi, timu inacheza defensively, Pili, defense ya timu ni nzuri. Ukitaka kujua wanacheza defensively, angalia rate ambayo timu mpira umechezewa kwenye half yake
 
Ni kama vile wachezaji wetu wamefungwa vyuma miguuni na kwenye akili zao.

Mpira unatoka anasubiriwa Bissaka atoke katikati ya uwanja akarushe.
 
Back
Top Bottom