Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Majibu tutayapata atakapokwenda timu nyingine. Maana hata lukaku mlikuwa mnasema mbovu, ila saiv mmebadilisha lugha mnasema serie A nyepesi.
Mkuu sina hakika kama kuna mtu aliwahi kusema Lukaku ni mbovu, 98% ya watu tuliokuwa na tatizo na Lukaku ni ile 'first touch' yake tu. Na sidhani kama hilo limebadilika hadi leo.
 
Manchester wamefungwa gori nne tu mpaka sasa, yenyewe na liverpool ndio wamefungana kwa kuwa timu zilizofungwa magori machache mpaka hatua hii.

Maana yake ni kwamba, Man U sasa ni more defending kuliko wakati wa mourniho wala van-dagaa hasa ukiangalia idadi chache sana ya magori kulinganisha na washindani wake.

yale maneno ya attack attack kutoka kwa OGS yamepotea. Ole ni fraud.
 
Mkuu Lukaku sio mbovu kama wengi wanavyotaka tuamini

Kumbuka Lukaku anatoka Toffees anakuja United, akiwa na goli 25

Akaanza msimu pale United akiwa na goli 16, hapa inabidi nikukumbushe timu nzima ili underperform sio Rom tu

Msimu wa mwisho amefunga goli 12. Hapa aliandamwa na majeruhi, lakini pia hakuaminiwa na kocha aliyepokea mikoba ya Jose achilia mbali mashabiki hawakum shaw love kabisa

Siku zote nimekuwa nikiwaambia watu, mbona Rom wa Ubelgiji anatupia magoli kama hana akili nzuri, mbona Rom aliyekuwa Westbrom na Everton alikuwa hatari, kwani alivyokuja United ndio tunamdharau? Sasa ameenda Inter anaendelea kuonesha kwamba yeye ni clinical kuliko hao akina Rashy na Tony.
Hapana mkuu msimu wa kwanza wa Lukaku tulikuwa na point 81, timu haiku under perform na tulikuwa na wafungaji wengi Sana, even Lingard alipiga mpira mwingi Sana ule msimu, Martial na Rashford wote walikuwa wanatupia wanapokezana kushoto, ilikuja kuharibika timu mwishoni alivyokuja Sanchez.
 
Manchester wamefungwa gori nne tu mpaka sasa, yenyewe na liverpool ndio wamefungana kwa kuwa timu zilizofungwa magori machache mpaka hatua hii.

Maana yake ni kwamba, Man U sasa ni more defending kuliko wakati wa mourniho wala van-dagaa hasa ukiangalia idadi chache sana ya magori kulinganisha na washindani wake.

yale maneno ya attack attack kutoka kwa OGS yamepotea. Ole ni fraud.
Mkuu umeonge Mambo mawili tofauti, sababu Sasa Hivi tuna defense nzuri haimaanishi eti kipindi Cha lvg defense ilikuwa mbovu. Partnership ya Smalling na Blind ilikuwa nzuri tu na mpaka msimu unaisha tulifungana na Spurs kwa kufungwa magoli machache, wote tulifungwa 35.

Msimamo huu.
Screenshot_20190922-131453__01.jpg
 
Paul Scholes anatajwa kuwa miongoni mwa viungo bora kuwahi kuchezea ligi ya malkia,kila mtu anamtolea mfano kama kiungo bora kwa kuwa kipindi chote ambacho amekuwa mchezaji,na amekamilika idara zote. Anakaba,anashambulia,anapandisha timu kwa wakati na hakuwa na maneno mengi uwanjani (inasemekana ni mtu wa aibu sana) Hakuwa na madoido ya kupiga chenga na tobo sana ila first touch zake zilikuwa na uwezo wa kubadili upepo wakati wowote.

De bruyne kwa namna nyingine anauchezaji unaoendana na wa scholes kwa kiasi kikubwa. Kiujumla wanaendana mambo mengi sana ndani na nje ya uwanja. Tena kwa uchezaji wa city hii ya guardiola,jamaa anatoa assist nyingi kuliko scholes.

Ukirudi kwa kiungo wa Manchester united Paul Pogba,ubora wake umekuwa katika kushambulia zaidi,ana msaada mdogo katika kuzuia,anachezea sana mpira hadi wapinzani wanajipanga vizuri kuzuia,kupiga chenga zisizo na maana,ubora wake unategemeana siku na siku,achilia mbali tabia yake isiyoridhisha kama taswira kwa wenzake.

Huwa napata wakati mgumu sana kukubaliana na mashabiki wanaosemea kuwa pogba ni bora kuliko de bruyne wakati huo huo wakimtukuza scholes kuwa ni kiungo bora kabisa ndani ya EPL,kigezo chao huwa ni nini haswa? De bruyne ni copy na paste ya scholes anayekubalika kwa kazi yake lakini wakati huo huo wanaona pogba ni zaidi ya huyu de bruyne!

Inawezekana tumetofautiana katika kuangalia ubora wa mchezaji lakini ubora wa pogba unapimwa kwa vigezo vipi hasa? Hoja ya kujifichia ni watu wanaowazunguka katika timu zao,lakini hiyo haimaanishi mchezaji kupoteza mipira katika mazingira rahisi kabisa,kutokukimbia uwanjani na kadhalika. Hata alipokuwa juventus na timu ya taifa,pogba amekuwa katika kiwango cha kawaida kabisa na huwezi kumlinganisha na de bruyne.
Mimi ni shabiki wa kutupwa wa Manchester united lakini ninapenda wachezaji wazuri bila kujali wanacheza timu gani.

Wakati wa utawala wa mourinho pale Trafford, Scholes aliwahi kusema kuwa "the problem of Manchester united is first Paul pogba and then mourinho",watu hawakumuelewa.
 
Mkuu umeonge Mambo mawili tofauti, sababu Sasa Hivi tuna defense nzuri haimaanishi eti kipindi Cha lvg defense ilikuwa mbovu. Partnership ya Smalling na Blind ilikuwa nzuri tu na mpaka msimu unaisha tulifungana na Spurs kwa kufungwa magoli machache, wote tulifungwa 35.

Msimamo huu.
View attachment 1213477
Chief.
Sijasema Man U ya sasa ina defense line imara zaidi, nimesema, au niweke msisitizo, the whole team is more defensive.
it does better in defending than attacking that is why they have a couple of few goals, they think defending than attacking.
 
Paul Scholes anatajwa kuwa miongoni mwa viungo bora kuwahi kuchezea ligi ya malkia,kila mtu anamtolea mfano kama kiungo bora kwa kuwa kipindi chote ambacho amekuwa mchezaji,na amekamilika idara zote. Anakaba,anashambulia,anapandisha timu kwa wakati na hakuwa na maneno mengi uwanjani (inasemekana ni mtu wa aibu sana) Hakuwa na madoido ya kupiga chenga na tobo sana ila first touch zake zilikuwa na uwezo wa kubadili upepo wakati wowote.

De bruyne kwa namna nyingine anauchezaji unaoendana na wa scholes kwa kiasi kikubwa. Kiujumla wanaendana mambo mengi sana ndani na nje ya uwanja. Tena kwa uchezaji wa city hii ya guardiola,jamaa anatoa assist nyingi kuliko scholes.

Ukirudi kwa kiungo wa Manchester united Paul Pogba,ubora wake umekuwa katika kushambulia zaidi,ana msaada mdogo katika kuzuia,anachezea sana mpira hadi wapinzani wanajipanga vizuri kuzuia,kupiga chenga zisizo na maana,ubora wake unategemeana siku na siku,achilia mbali tabia yake isiyoridhisha kama taswira kwa wenzake.

Huwa napata wakati mgumu sana kukubaliana na mashabiki wanaosemea kuwa pogba ni bora kuliko de bruyne wakati huo huo wakimtukuza scholes kuwa ni kiungo bora kabisa ndani ya EPL,kigezo chao huwa ni nini haswa? De bruyne ni copy na paste ya scholes anayekubalika kwa kazi yake lakini wakati huo huo wanaona pogba ni zaidi ya huyu de bruyne!

Inawezekana tumetofautiana katika kuangalia ubora wa mchezaji lakini ubora wa pogba unapimwa kwa vigezo vipi hasa? Hoja ya kujifichia ni watu wanaowazunguka katika timu zao,lakini hiyo haimaanishi mchezaji kupoteza mipira katika mazingira rahisi kabisa,kutokukimbia uwanjani na kadhalika. Hata alipokuwa juventus na timu ya taifa,pogba amekuwa katika kiwango cha kawaida kabisa na huwezi kumlinganisha na de bruyne.
Mimi ni shabiki wa kutupwa wa Manchester united lakini ninapenda wachezaji wazuri bila kujali wanacheza timu gani.

Wakati wa utawala wa mourinho pale Trafford, Scholes aliwahi kusema kuwa "the problem of Manchester united is first Paul pogba and then mourinho",watu hawakumuelewa.
 
Mpira hauko ivyo ndugu..
Kwani Chelsea ni Nu Casto?
Tukutane baada ya Dakika tisini.
Ndo utajua Abraham na Mount walipenyaje..
Kila la kheri Chelsea

👏👏👏👏👏👏

Hata hivyo inaonyesha kuwa ninaweza nisiicheki mechi.
 
Paul Scholes anatajwa kuwa miongoni mwa viungo bora kuwahi kuchezea ligi ya malkia,kila mtu anamtolea mfano kama kiungo bora kwa kuwa kipindi chote ambacho amekuwa mchezaji,na amekamilika idara zote. Anakaba,anashambulia,anapandisha timu kwa wakati na hakuwa na maneno mengi uwanjani (inasemekana ni mtu wa aibu sana) Hakuwa na madoido ya kupiga chenga na tobo sana ila first touch zake zilikuwa na uwezo wa kubadili upepo wakati wowote.

De bruyne kwa namna nyingine anauchezaji unaoendana na wa scholes kwa kiasi kikubwa. Kiujumla wanaendana mambo mengi sana ndani na nje ya uwanja. Tena kwa uchezaji wa city hii ya guardiola,jamaa anatoa assist nyingi kuliko scholes.

Ukirudi kwa kiungo wa Manchester united Paul Pogba,ubora wake umekuwa katika kushambulia zaidi,ana msaada mdogo katika kuzuia,anachezea sana mpira hadi wapinzani wanajipanga vizuri kuzuia,kupiga chenga zisizo na maana,ubora wake unategemeana siku na siku,achilia mbali tabia yake isiyoridhisha kama taswira kwa wenzake.

Huwa napata wakati mgumu sana kukubaliana na mashabiki wanaosemea kuwa pogba ni bora kuliko de bruyne wakati huo huo wakimtukuza scholes kuwa ni kiungo bora kabisa ndani ya EPL,kigezo chao huwa ni nini haswa? De bruyne ni copy na paste ya scholes anayekubalika kwa kazi yake lakini wakati huo huo wanaona pogba ni zaidi ya huyu de bruyne!

Inawezekana tumetofautiana katika kuangalia ubora wa mchezaji lakini ubora wa pogba unapimwa kwa vigezo vipi hasa? Hoja ya kujifichia ni watu wanaowazunguka katika timu zao,lakini hiyo haimaanishi mchezaji kupoteza mipira katika mazingira rahisi kabisa,kutokukimbia uwanjani na kadhalika. Hata alipokuwa juventus na timu ya taifa,pogba amekuwa katika kiwango cha kawaida kabisa na huwezi kumlinganisha na de bruyne.
Mimi ni shabiki wa kutupwa wa Manchester united lakini ninapenda wachezaji wazuri bila kujali wanacheza timu gani.

Wakati wa utawala wa mourinho pale Trafford, Scholes aliwahi kusema kuwa "the problem of Manchester united is first Paul pogba and then mourinho",watu hawakumuelewa.
Mkuu de bruyne sio copy and paste ya Scholes bwana, wanafanana baadhi ya Mambo Ila vitu vingi hawafanani. De bruyne Ni mshambuliaji zaidi, Scholes aliwahi kuchezeshwa mbele Kama 8 ama 10 Ila kwa kipindi kifupi zaidi muda mwingi amecheza katikati ama nyuma zaidi.

Na Scholes sifa yake kubwa sio kufunga ama kutoa assist Bali Ni kusoma mchezo na ku render midfield wapinzani useless. Ndio maana Kati ya midfield Bora zaidi kupata kutokea duniani Zidane kila akihojiwa anasema hajawahi cheza na mpinzani mzuri Kushinda Scholes hata Xavi anasema muingereza Bora zaidi kucheza nae against Ni Scholes.

Owen alimuelezea vizuri De bruyne, kwamba Ni Kama Hybrid ya Scholes na David Beckham.
 
Chief.
Sijasema Man U ya sasa ina defense line imara zaidi, nimesema, au niweke msisitizo, the whole team is more defensive.
it does better in defending than attacking that is why they have a couple of few goals, they think defending than attacking.
Nimesoma vibaya mkuu, Ila timu inashambulia na nafasi zinatengenezwa, tunazichezea tu. Na hatujawahi kutofunga mechi toka msimu uanze na tumekosa penalty za kutosha.
 
Mkuu de bruyne sio copy and paste ya Scholes bwana, wanafanana baadhi ya Mambo Ila vitu vingi hawafanani. De bruyne Ni mshambuliaji zaidi, Scholes aliwahi kuchezeshwa mbele Kama 8 ama 10 Ila kwa kipindi kifupi zaidi muda mwingi amecheza katikati ama nyuma zaidi.

Na Scholes sifa yake kubwa sio kufunga ama kutoa assist Bali Ni kusoma mchezo na ku render midfield wapinzani useless. Ndio maana Kati ya midfield Bora zaidi kupata kutokea duniani Zidane kila akihojiwa anasema hajawahi cheza na mpinzani mzuri Kushinda Scholes hata Xavi anasema muingereza Bora zaidi kucheza nae against Ni Scholes.

Owen alimuelezea vizuri De bruyne, kwamba Ni Kama Hybrid ya Scholes na David Beckham.
Asante sana chief kwa ufafanuzi wako,ingawa point yangu ilikuwa kuangalia uhalisia wa mijadala inayoibuka humu mara kwa mara ikilenga kuonyesha nani zaidi kati ya Paul pogba na de bruyne.
 
Mkuu pogba ana attributes nzuri Kushinda de bruyne Ila tatizo lake la uvivu, kutojituma, decision making na kutokuwa makini vinamfanya awe mchezaji wa msimu, mechi anazingua na mechi nyengine anacheza vizuri. De bruyne ana consistent zaidi na anakitumia vizuri kipaje chake.

Sema De bruyne hajawahi kuwemo kikosi Cha Dunia, Ila pogba amewahi Mara 1.
 
Nadhani kuingia kwenye kikosi cha FIFA cha dunia wana vigezo vyao kama hatua ambayo nchi au klabu imefikia katika mashindano flani makubwa pamoja na performance ya mchezaji binafsi. Ni kama balon d or,wachezaji wengi wanaochaguliwa,timu zao (klabu au taifa) huwa zimecheza fainali za mashindano makubwa. Kwa kesi ya labile ni kipindi ufaransa anachukua ndoo pale kwa putin. Na yeye nyota yake iliwaka vizuri kipindi kile. Chief,nakuelewa sana linapokuja suala la pogba.
 
Aliingia 2015 wakati yupo juve.
 
Epl 20 champion league 3 Europa 1 championship 2 fa 12 league cup 5 inter continental cup 1 community shield 21 uefa super cup 1 fifa club world cup 1 uefa cup winners 1 international champions cup 1
20+3+1+2+12+5+1+21+1+1+1+1=69
Jumla n 69 mkuu vkomb alivyo wah bba af nme attach na picha izo Apo au ingia fotmob utapata taarfa zoteView attachment 1213464View attachment 1213465View attachment 1213466View attachment 1213468View attachment 1213469View attachment 1213470

Nawewe bhana:
Sasa haya ndiyo Makombe gani?

1) Championship
2) Intercontinental Cup
3) International Champions cup

Tena umeshafika 69

Kwahiyo na Arsenal waesabu Emirates Cup katika idadi ya Makombe yao?

Haya bhana Nainua mikono juu!

I REST MY CASE
 
Hii ndio point ya msingi

Kulipaswa kuwa na mbadala ambaye ni upgrade ya Lukaku
Sasa waliopo saiv ninani atakupa goli 20?
Tunapomtetea lukaku tunamaanisha kwamba kama mtu anamuuza lukaku basi asajiri striker mwenye uwezo mkubwa zaidi ya uwezo wa lukanyavu.
Sasa kocha wenu kamtoa lukaku kwa kumtegemea rashford, does it make sense?
 
Back
Top Bottom