OllaChuga Oc
JF-Expert Member
- Jul 4, 2016
- 21,933
- 25,245
Drogba kaanzia kucheza mpira uko kwao Ivory coast tena mchanganj uko ..uyu rashid ni mpira wa academy kabisa ..hamna kijapi mule..Drogba alikuwa na kipaji?
Drogba kaanzia kucheza mpira uko kwao Ivory coast tena mchanganj uko ..uyu rashid ni mpira wa academy kabisa ..hamna kijapi mule..Drogba alikuwa na kipaji?
Zizzou angewafaa sana ..tatizo pale madirid kuna wazee wengi na washabeba kila kitu ..Hata mimi sijawahi kumkubali
Na mechi ya jana ni muendelezo wa matokeo mbovu na ametumia £300m+


Europa League wazee tunaiangalia wapi??
Dstv naona hawaonyeshi..hii kweli futuhi
Mobdro Bt Sport
Mimi nasubiri link hapa
Nadhani king'amuzi cha star times wataonesha
Ngoja waje wenye uhakika hapa waseme neno
Zidane hana mbinu yoyote ya ukocha, alitembelea zali la akina CR7Zizzou angewafaa sana ..tatizo pale madirid kuna wazee wengi na washabeba kila kitu ..
Mobdro Bt Sport
Yah download iyo appNa download app au inakuaje mkuu
Ina maana unataka kuniambia post za juu yako hapo hujaona jibu lilitoka!Mwenye kujua game ya leo inaoneshwa wapi please
Mwenye kujua game ya leo inaoneshwa wapi please
Football Matches Live Stream - TOTAL SPORTEK
On this page you find live streaming links of all Football matches to be played today around Europe. From All top 5 major leagues to cup competitions.www.totalsportek.com
FUTUHIIIII ... ndio, ni FUTUHII!!
Europa League wazee tunaiangalia wapi??
Dstv naona hawaonyeshi..hii kweli futuhi