Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Punguza chuki dhidi ya Rashford.

Kacheza kama main striker mechi Mbili tuu.

Bado ana umri mdogo( 21). Anachoitaji ni good coaching.
Tayari kashaonesha anaweza ni swala la improvement tuu.
Sijawahi mchukia mtu.

Wajibu wake ni kutupa magoli thats it.

Suala la miaka halimpi sababu ya kutotupa magoli CR7 kwa umri wa miaka 21 alishakuwa hot kuliko Rashy.
 
Sterling mwenyew alkua garas t nyuma uko saiz anafanyaj

Hapa umebugi! Sterling hakuwahi kuwa Garasa alipokuwa Liverpool! Alikuwa Winger moja matata sana.

Hata kuuzwa kwake aliuzwa kwa £50m kwa kipindi hicho! Kwa Soko la leo kwa uwezo uleule aliokuwa nao basi angeliuzwa zaidi ya £80m.

Mchezaji aliyeuzwa £50m misimu 5 iliyopita hawezi kuwa Garasa Mkuu.

Bali Liverpool ya kipindi hicho ndiyo iliyomrudisha Nyuma.
 
Mkuu msimu huu Rashy si main striker, fuatilia

Main striker ni Tony Martial, lakini kwa namna wanavyocheza amepewa ruhusa ya kuingia kati, sometime ku interchange na mwenzake

Na kwa mfumo wa mwaka huu atatupia magoli mengi kuliko misimu ya nyuma ambayo alikuwa ni mtu wa pembeni (tupo hapa, tuombe uzima)

Nakubaliana na watu kwamba Rashy sio clinical kama walivyo ma striker tunaowafahamu duniani, lakini ana uwezo wa kukupa goli kati ya 15-25. Kitu ninachokataa mimi ni kumfananisha Rashy na huyo mtoto kwa kutumia record za nyuma za Rashy
Msimu huu ni main striker. Mwenzake ana goli 7 tayari. Yeye anajiangusha kupata penalt. Hovyo sana.
 
Mimi ni moja kati watu ninaolaumu OGS kumuuza Lukaku bila kuleta mbadala kwa kuwa naamini Rashy na Tony sio world class strikers ambao magoli yao yanaweza kukushindia ligi

Hiyo haiondoi ukweli kuwa Rashy si mbovu kama mnavyotaka kutuaminisha

You sound like a mid table team fan.

Man Utd ni club kubwa sana.

Kuwa na striker anayekupa magoli 10 tena ya penalti ni wa kutupwa huko.

Angalia striking force ya Liverpool, Barca, Madrid, Juventus, PSG.

Halafu anagalia hiyo takataka unayoitetea eti sio mbaya sana.

Rashford ni mchezaji wa hovyo, sema Ole hajielewi na kuwaendekeza Waingereza.
 
Hapa umebugi! Sterling hakuwahi kuwa Garasa alipokuwa Liverpool! Alikuwa Winger moja matata sana.

Hata kuuzwa kwake aliuzwa kwa £50m kwa kipindi hicho! Kwa Soko la leo kwa uwezo uleule aliokuwa nao basi angeliuzwa zaidi ya £80m.

Mchezaji aliyeuzwa £50m misimu 5 iliyopita hawezi kuwa Garasa Mkuu.

Bali Liverpool ya kipindi hicho ndiyo iliyomrudisha Nyuma.
Sasa hivi angeuzwa £100m kama sane
 
Punguza chuki dhidi ya Rashford.

Kacheza kama main striker mechi Mbili tuu.

Bado ana umri mdogo( 21). Anachoitaji ni good coaching.
Tayari kashaonesha anaweza ni swala la improvement tuu.
CR7 akiwa na umri huu tayari alikuwa anakimbiza... Rashid mpka afikishe 25/26 ndo atafunga goli tatu/nne..
 
Moja ya wachezaji tutakaojutia kuwapata na haikuwa ngumu kuwapata ni Joao Felix. Kwa huyo dogo, hakuna cha Mbape, Mesi, Ronaldo wala Neyma et al. AM watamuuza kwa hela ndefu sana. Dogo yupo smart balaah
 
Kusema kweli huwa nikimwangalia dogo anavyocheza naumia sana why man united hawakumchukua yule dogo

Misimu miwili ijayo AM watarudisha ubabe wao tena UEFA

Back
Top Bottom