Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Leo nimeikubali Chelsea mko poa.hasa hamna mabishoo.

Ila Man U sijui nini kinatokea kwa wachezaji wa mbele kama Rashford yaani tungepata Mbili dakika za lala salama ule mpira ulienda mbele Rashford yuko nao ila anaslow ananyang'anywa.

Anyway nashukuru kiungo kilitulia na naona ole aliacha ujinga akaingiza Tuanzebe kuliko kawaida yake ya kutoa mtu muhimu na kuingiza katoto kaforward.
Kumtumia James kama winger ya kulia inazidi kuonesha jinsi Ole asivyojua kumtumia.

Analazimisha acheze namba asiyoimudu vizuri.
 
Kumtumia James kama winger ya kulia inazidi kuonesha jinsi Ole asivyojua kumtumia.

Analazimisha acheze namba asiyoimudu vizuri.
mkuu anachokifanya OGS kwa daniel james itakuwa ni faida kubwa sana kwa huyo dogo hapo mbeleni kama atakuwa serious, zile zama tulizowashuhuhudia wachezaji mfano wa ryan giggs, david beckham wanacheza upande mmoja tu maisha yao yote kisoka zimeshapitwa na wakati.

ronaldo anatumia mguu wa kulia lakini alipokuwa real madrid alikuwa anatokea upande wa kushoto.
lionel messi anatumia mguu wa kushoto kwa ufasaha lakini barcelona anatokea upande wa kulia.
gareth bale anatumia mguu wa kushoto lakini anacheza namba 7
mifano ipo mingi sana brother.

kuna mechi anaweza kukutana na mlinzi hodari atakayemfanya atamani abadilishe upande mwenyewe bila ya maombi ya kocha.
 
Kwenye hili nina muelewa OGS lakini wakati huo huo simuelewi

Wote tunamtaka DJ atokee kushoto maana ndio anakuwa na impact zaidi kuliko akitokea kuli (hapa simuelewi)

Analazimika kumchezesha upande wa kulia kwa sababu hana option nyingine (yaani mawinga wote wa United ni wazuri kutokea kushoto, hapa namuelewa kwamba hana option)

Kwanini asingetumia dirisha la usajili kupata kupata winger wa kulia? (hapa simuelewi).
Kumtumia James kama winger ya kulia inazidi kuonesha jinsi Ole asivyojua kumtumia.

Analazimisha acheze namba asiyoimudu vizuri.
 
Hopefully atapewa nafasi alhamisi..
yap, confidence inajengwa ndani ya uwanja na si jukwaani.

tahit chong alianza ovyo mechi ya jana lakini baadae akaonyesha mabadiliko.

kwa umbile lake lilivyo laiti kama tahit angelikuwa midfield box to box mfano wa yaya toure angelikuwa ni asset muhimu sana kwetu hapo mbeleni.

amepewa kipaji cha soka lakini amenyimwa ukakamavu
 
Back
Top Bottom