Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Naamini tutasonga mbele zaidi
Screenshot_2019-09-14-19-08-07.jpeg
 
Kuna mechi tumecheza vizuri na hatukupata point 3 na mechi tumecheza vibaya tumepata point 3. Ushindi muhimu Sana huu hasa kuongeza morali ya wachezaji. Tumeshaingia top 4.
Top four mumeudhuria tu ..bado hamjaingia[emoji3][emoji3][emoji3]
 
Top four mumeudhuria tu ..bado hamjaingia[emoji3][emoji3][emoji3]

Leo nimeikubali Chelsea mko poa.hasa hamna mabishoo.

Ila Man U sijui nini kinatokea kwa wachezaji wa mbele kama Rashford yaani tungepata Mbili dakika za lala salama ule mpira ulienda mbele Rashford yuko nao ila anaslow ananyang'anywa.

Anyway nashukuru kiungo kilitulia na naona ole aliacha ujinga akaingiza Tuanzebe kuliko kawaida yake ya kutoa mtu muhimu na kuingiza katoto kaforward.
 
Wale waliokuwa Wanam compare Mctominay na Ndidi
-leo Dogo ana 100% tackle success
-31/38 pass completed
-4/6 take ons
-7 ball recoveries
-2 interception.

Dogo ndio amekuwa man of the match.
Haha Tominay kwa kukaba yuko vizuri sema kiungo cha juu na striking force bado zina makengeza
 
Kipele kimepata mkunaji naona Leo.
Mwenye namba England ni nani wakati huyo Tammy anawekwa bench na Rashidi.
Tammy anakuja taratibu mkuu..

Rashid ana goli ngap mpaka sasa?[emoji23][emoji23]

Kila la kheri Chelsea[emoji170][emoji170][emoji170]
 
Back
Top Bottom