Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Hapana ryan giggz is still useful coz of his experience so we still need him as much as we still need scholes
bt coz of their age they wont be able to play week in week out. Look at thierry henry the way hez playin in america. Am sure arsenal could use his experience especially in big games.
 
Sikubaliani na wewe,umeona game alizocheza Giggs msimu huu? Paul Scholes still anaweza kucheza hata misimu 4 bado yuko kwenye form na anaijua timu vizuri.Giggs hawezi kukaba,hatengenezi nafasi wala hafungi kumbuka huko nyuma alikuwa anacheza winger,defence yetu ni mbovu so inahitaji viungo wa kuwalinda
 
Fergie akatafute hata mvuvi yoyote spain anaweza kumudu kiungo pale!,angalia kuna kiungo yupo Real Sociadad anaitwa Xabier Prieto,akija England lazima atakuwa gumzo,kama Cazorla sasa nae anapata jina si ajabu ukasikia msimu ujao Captain emirates.
 
Wenyeji nawasalimu.. nimepaki gari hapo nje! ... nikiwa kama jirani mwema naomba mnikaribishe .. thread hii leo inahusika sana tu!

BA!:lol:
 
Sikubaliani na wewe,umeona game alizocheza Giggs msimu huu? Paul Scholes still anaweza kucheza hata misimu 4 bado yuko kwenye form na anaijua timu vizuri.Giggs hawezi kukaba,hatengenezi nafasi wala hafungi kumbuka huko nyuma alikuwa anacheza winger,defence yetu ni mbovu so inahitaji viungo wa kuwalinda

Hold fire, Wacha fujo mkuu Manyu the best team of all time .... .... khe khe khe khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee

We huoni bahasha zinavyotembea kama njugu vile utaona leo lazima kuwe na penalty tu ya kuwabeba .... .... ... Namuona Evra yupo mbele na kipa wenu yupo nyuma yake angalia soka la mpunga chacha ... .. phew!
 
Aisee Manyu wote wanachungulia tu .... .. rudini jamani mtabebwa kama kawaida yenu si mliona yule mwamuzi aliyewakatalia extra time amekuwa demoted ... ... khe khe khe khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee

New castle 0 - 1 Manyu
 
...Ngome ya MANU kama haitatulia basi akina Cisse na Ba wataitesa sana na si ajabu kuibuka na 3 points.
 
Chacha huyo Wellbeck naye ni forward .... .... goli la wazi kabisa hilo ... .... atajuta .... ..
 
2 mtungi leo New castle watakoma ... .... ..... .... sasa BJ and co watakuja hapa nyie chubirini tu ... ..... .. tunasubiri magoli ya Judas na Wine.

Mbona yule Giroud anakosa kila siku

Jana hukumuona .... .... .. Wacha ngebe ... ....
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Haya wale wanaosema one man team,leo ni zamu ya mabeki
 
BJ & Co watazuka sasa hivi ila bado wana wasiwasi jamaa wanaweza kurudi lol!

2 mtungi leo New castle watakoma ... .... ..... .... sasa BJ and co watakuja hapa nyie chubirini tu ... ..... .. tunasubiri magoli ya Judas na Wine.

Jana hukumuona .... .... ..
 
Wacha Judas atakuja kufunga hat-trick yake hapo Imirati
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom