Hivi niulize huyu Papis Demba Cisse mbona amekuwa flop siku hizi maana january mpaka mei alifunga magoli 13 kwenye mechi 13 za EPL whats wrong???
Hongereni Wakuu BJ & Co kwa ushindi mnono
BUBU ee bado mapema bana.... Bado kuna Quarter an hr to play asee
Hongereni Wakuu BJ & Co kwa ushindi mnono
BUBU ee bado mapema bana.... Bado kuna Quarter an hr to play asee
game limeisha kwani?
Lile goli la Cleverly zuri sana.... ile ndo huwa wanaita "BANANA CHOP" Safi kabisa...
...Sio kwa MANU Mkuu....wakishakutungua 3-0 basi ni kujitahidi tu wasiondoke na kapu la magoli...lakini hilo la kurudi sahau kabisa Mkuu.