Bukayo jr
JF-Expert Member
- Mar 24, 2011
- 2,782
- 1,647
Kwa matokeo haya leo hawataonekana kabisa mtaa huu...wameususa.
Sasa huo si ndo U glory Hunter?
Kwa matokeo haya leo hawataonekana kabisa mtaa huu...wameususa.
Mpira umeisha wameshinda kwa mara ya kwanza toka 1989 yule kijana anaitwa Mtotowamjini hatokuwa na cha kutusumbua
Wikiendi naona inaenda fresh kwa upande wako.Yuwapieeee...
Yuapi mamake harus aje apa tuangaike nae...
Refa leo Canteen kwao ataulizwa na Ma refa wenzake ni kwanini kavunja sheria za ma Refa hajatoa Penalt kwa Shinji Kagawa United player? Msamaha ataopewa Ofisi ya ma Refa ni kutompa Yellow Shinji Kagawa.
T'Ham has rescued my day.... Wangesema sana hawa Manure!!!!
Na kwenu pia hoi leo, khe khe..kweli ADUI mwombee NJAA! Bado tupo strong Manure!!
Na kwenu pia hoi leo, khe khe..kweli ADUI mwombee NJAA! Bado tupo strong Manure!!
Habari za asubuhi bandugu??!
Did u know, "CHELSEA was the only London club that didnt lose this wikend"?
![]()
Hodi hodi BJ upo? Vipi Eqlllpyz atatoka lini hospitali?
![]()
Hii saa mbovu nini?
![]()
Jamani huyu katoka wapi tena ... ...
![]()
Kila mechi mnacheza vizuri tu J*** Is .... ataokoa jahazi
Khe khe khe khe khe keh khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee