Hiyo ndo inaitwa Team Work....
Jamaa wakitulia wanaweza kurudisha goli zote 2 kama hawatoruhusu goli lingine...ila refa naye anaanza kuleta za kuleta, anaweza kuuharibu mchezo.
Bak hiyo ngumu sana .... .... .... .... huyu ni refa wa Manyu .... ..... ...
![]()
Reffing hell: Ryan Babel tweeted a mock-up
of Howard Webb in a United shirt
Bak hiyo ngumu sana .... .... .... .... huyu ni refa wa Manyu .... ..... ...
![]()
Reffing hell: Ryan Babel tweeted a mock-up
of Howard Webb in a United shirt
...Mkuu Wacha1...Namjua huyu maamuzi yake mengi huwa yamejaa utata. Baada ya HT atawaminya sana Newcastle ili kuhakikisha hawapati nafasi ya angalau kutoa sare.
Goli mbili zote za Kona??? Nice....
Duh!!! Refa kafuta goli la wazi kabisa la Newcastle!!!
N'Castle hawana Bahati kabisa.....
Duh!!! Refa kafuta goli la wazi kabisa la Newcastle!!!