Belo
JF-Expert Member
- Jun 11, 2007
- 12,913
- 10,263
Tueleze timu kubwa inavyombeba ,Hata Messi sio bora kwa sababu anabebwa na Barcelona akiwa Argentina wanafungwa??KDB anabebwa na team kwa kiwango kikubwa , work rate yake ni kubwa ila hawezi kumfikia Pogba
KDB alikuwa player of the season Bundesliga kabla hajasajiliwa na Man City na tangu amekuja EPL ameendelea ku-improve jinsi miaka inavyokwenda
