Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Spurs alipotea katikati
Waligawana vipindi

Spurs walitawala kipindi cha kwanza, Arsenal walitawala kipindi cha pili

Ila kwa hulka ya binadamu, tutakumbuka yaliyotokea kipindi cha pili zaidi
 
DEAL DONE | Parma have signed Man Utd defender Matteo Darmian for £1.4M on a four year contract
️ #ManUtdView attachment 1195711
Muwe wavumilivu ,hata sisi tunapitisha fagio la nguvu , na kuuza kwa hasara , ila soon tunaleta quality ,

Mashabik wenye roho ngumu inabid mfurahie hii safisha safisha maana mmeililia sana,

Kuna dirisha kazi yake itakuwa kuleta watu tu tena upgrades ,
 
Amefeli Chelsea na Manchester, Any question?
Kwani De Bruyne na Salah walifeli Chelsea? Na kama walifeli Chelsea, nini kimetokea baadae

Lukaku at Chelsea naweza kufananisha situation yao na akina Salah

Pale United wote tunafahamu, kwa sababu zisizoeleka karibu kila mchezaji kwa miaka ya karibuni amekuwa aki underperfom. Na ili kuweka kumbu kumbu vizuri, msimu wa kwanza pale United kwa Lukaku haukuwa mbaya

Pale Westbrom na Everton mbona aling'ara akiwa EPL, ile haikuwa Seria A

Seria A pia atang'aa, tusije tafuta kisingizio eti kwa kuwa ligi yao ni nyepesi

Na kama tutasema ligi ya Seria A ni nyepesi ndio maana anag'ara, basi tuseme pia ni nyepesi ndio maana Salah aling'ara, ndio maana Pogba aling'ara, ndio maana Pirlo, Maldin n.k waling'ara
 
Serie A ni ligi ambayo beki wanakaba sana, it's not an open play style league. Striker anaefunga sana Serie A naamini akija EPL au akaenda La Liga lazima ang'are zaidi
 
Kukaba sio main role ya Lingard sasa mnapomsifia kwa kuhangaika mpira ukipotea inamaana Lingard ni Box to Box Mid au? Forward hatumii nguvu nyingi kukaba
Barca wamekuwa ni wakabaji sana ktk miaka mingi sana walokuwa tishio duniani. Na wwlikuwa nanteam work ya hatari. Huwezi kuwa na teamwork kama ikifanyika kama unavyosema wewe
 
Hivi mnaosema Pogba hapo Man U hachezi vizuri kwa sababu hachezi kwenye namba yake mnamaanisha nini? Kuna tofauti gani hapo anapocheza na akiwa France? Huyo mchezaji ana utoto mwingi sana. Hapo Man U walikosea ktk dirisha kuu. Wangemuuza huyo halafu wakaleta watu wanaocheza kazi pevu. Naamini wangemuuza halafu wakaleta Savic na Bruno Fernandez pasingetosha hapo kati. Ila kwa sasa tutegemee utoto na majivuno ya huyo kijana mweusi kama sisi yatatukomesha hadi mwisho Wa msimu. Kocha anakwambia anasajili na kubakisha wachezaji wenye kupigania timu, sasa sijui tunaona tofauti ktk work rate ya pogba!? Binafsi namchukulia ni mchezaji asiyejituma,asiyejali, anaye/atayeigharimu timu na mjivuni.
 
Kama akina Ronaldo na Messi ni 90‰ ya uchezaji

Akina Hazard na Neymar ni 80% ya uchezaji

Akina De Bruyne, Silva Bernardo, Sterling, Mane ni 75%

Pogba ni 60%

Ni average player anayepambwa na visigino viwili vitatu anavyopiga uwanjani
Yaani pogba anafanya makosa kumi halafu watu watu wanataka tuwe tunafuta makosa yake kwa jema moja au mawili!? Yeye nani hata asikosolewe. Kwangu Mimi huyo mchezaji siyo complete midfielder
 
Si quality CF yule!
 
Mwanitesaaaaaaaaaaaaaa
mimi nilisema mna miaka 15 kuanzia sasa ya mateso makali na kumwaga damu......na hapo badooooo......na mtakupukutika mnajifanyaga mpo wengi sana humu duniani mashabiki wa united.....Na nafasi za timu nzuri zimeshajaa...kaeni kwenye tabu mpaka akili itakapowakaa sawa......
Manyumbuuuuuuuuuuu
 
Man U waliwafungaje Chelsea ? Mbona tusiendelee na ile kasi tuliyomfunga nayo Chelsea ?.mimi naamini tutawafunga Leicester city 3 kwa 1 ,tunarudi kwa form ,
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…