Charlie chaplin
JF-Expert Member
- Jan 26, 2014
- 336
- 314
Game ya Arsenal na spur imenifanya niwaze timu yangu sana. Yaani sisi msimu huu ndugu yetu ni Chelsea tu maana wote hatujielewi tunafanyaje nn uwanjani.
Pata picha tukikutana na Arsenal au Spurs na hao viungo wao tutapona kweli bado city na liver si tutapigwa hadi tuchakae.
OGS unafanya kazi nzuri ila kuna makosa ambayo yatamtafuna msimu huu wote na pengine yataweza sababisha kibarua chake kuota nyasi kwann Lukaku na Herrera hawajawa replaced hii zaidi ya dhambi na ukatili ametufanyia ss wapenzi wa Mpira na united fans kwa ujumla.