Glazers first priority ni fedha, msimu huu kama United anakosa Champions League fedha za Adidas zinapungua
Moyes alipewa 7 years contract na licha ya kukingiwa kifua na SAF but matokeo yalivyokuwa mabovu hakumaliza hata msimu mmoja
OGS ni baby face so hata akikasirika/akiwa na wasiwasi sura yake haibadiliki yuko hivyo
OGS amefanya risk kubwa sana kuanza season akiwa na kikosi kidogo na ukizingatia tactical hayuko vizuri
Hili suala kwa kiasi kikubwa litajibiwa na muda
Ni kweli kwamba Glazers wanaangaalia mshiko kwanza, lakini kama wamekubali wazo la kujenga mafanikio badala ya kutaka kununua mafanikio watampa muda zaidi OGS
Moyes ilikuwa ni mwanzoni. Lakini kwa sasa wameona fukuza fukuza is not working hivyo wanalazimika kutumia approach nyingine kwenye kuendesha timu
Kuna mambo mengi wamekubali kubadili pale United ndio maana naamini hata kwenye ku deal na makocha watabadili approach,
Angalia tunavyosajili kwa sasa, angalia clearing ya deadwoods inavyofanyika, angalia reshafle ya academy (akina Quinton Fortune wameletwa na wanasajili watoto wadogo lakini kwa hela ndefu mfano dogo Mejibri £8million n.k).
Pia angalia integration ya watoto wa academy kwenye timu ya wakubwa. Kundi kubwa kuingizwa timu ya wakubwa kwa wakati mmoja si jambo la kawaida, kwa sasa kuna Chongy, Gomes, Greenwood, Jimy Garner, Tuanzebe karudishwa nyumbani n.k.Kuna vitu vimebadilika.
Lakini ingekuwa ni kutaka mafanikio ya haraka na OGS anajua hana muda wa kuvumiliwa nakuhakikishia asingeruhusu akina Sanchez, Lukaku waondoke. Na asingekubali/angelalamika hadharani kutotolewa hela ya usajili