OllaChuga Oc
JF-Expert Member
- Jul 4, 2016
- 21,933
- 25,245
Kula watu walifika hatua ya kumfananisha Rudger na vitu vya ajabu kama uyo Lindelof...Haya sasa Lindelof huyo hapo, Rudiger vs Lindelof? Jibu unalo
Kula watu walifika hatua ya kumfananisha Rudger na vitu vya ajabu kama uyo Lindelof...Haya sasa Lindelof huyo hapo, Rudiger vs Lindelof? Jibu unalo
Tatizo sub za Lampard zinazingua.Ni kweli nyie sio Man United
Ndio maana mnasawazishiwa goli 2 na timu iliyopanda daraja, tena mkiwa nyumbani![]()



Sasa mkuu Zouma akitulia vizuri Magwaya mbona atasugua tu benchi.
Kila la kheri Chelsea![]()
Mpaka atulie Maguire ameshastaafu anachambua zake mpira kama Rio. |
Dah , unafurahishaSasa mimi nimedraw na Sheffield wewe utamfunga?
Dakika chache alizocheza ana shot on target lakini rash dakika 90 sidhani kama anayo.Ni kweli anachelewa sana kufanya kufanya sub
Kama sub ya Pereira ilibidi ifanyike kipindi cha pili kilipoanza
Greenwood akipewa muda mrefu uwanjani, ni mkali kuliko Rashford
Kitu kinachomwangusha Ole kwa sasa ni yeye kuendelea kuishi kama former Manchester united player na siyo Manchester united manager.Style of play inaonekana
Signing policy, nadhani hata usajili unaona hatujakosea
Akipata Misimu kadhaa ya kusaini wachezaji wake, bila kukurupuka kama tulivyokuwa tunafanya huko nyuma
Kuna kitu kitaonekana, baada ya muda
Japo kitu ambacho atakikosa kwa mashabiki walio wengi ni huo muda
Nilisema na mtu jana.
Ila huyu mtoto James kama hii timu ikifunguka na ikawa inacheza kwa kutanua uwanja halafu akawa anapenyezewa mipasi ya kukimbiza,mabeki watachezea umeme sana.
Hofu yangu ni kwamba kwa hivi tunavyocheza tutampotezea muda huyu dogo.
No hafai Ryan Fraser wa Bournemouth ndiyo typical playerJames Maddison ndiye aina ya mtu tunaemuhitaji pale United kwa sasa
Mpaka huo muda ufike ushashuka daraja.Style of play inaonekana
Signing policy, nadhani hata usajili unaona hatujakosea
Akipata Misimu kadhaa ya kusaini wachezaji wake, bila kukurupuka kama tulivyokuwa tunafanya huko nyuma
Kuna kitu kitaonekana, baada ya muda
Japo kitu ambacho atakikosa kwa mashabiki walio wengi ni huo muda
Na comment zenu zipungue humu mpaka huo muda ufikeWenzio wajanja tutarudi baada ya kupita misimu miwili kutoka sasa.....
Kuna wale wachezaji wanakuokoa hata kama mnacheza mpira mbovu.Sidhani mkuu
Nadhani huyu jamaa atapewa muda zaidi ya makocha wote waliopita baada ya SAF
Hiyo style ya kufukuza fukuza imeshafeli
Lakini pia nikimcheki jamaa anaonekana hana wasiwasi, atakuwa amehakikishiwa kupewa muda ajenge timu
Unless akaribie kuishusha timu daraja jambo ambalo haliwezi kutokea
Malizia sasa,...... Kila la heri ChelseaTatizo sub za Lampard zinazingua.
Halafu bado anajifunza![]()


1 Daley Blind
2 Mikhtaryan
3 Fellain
4 Herera
5 Zlatan Ibrahimovic
6 Marcos Rojo
7 Morgan.Shenanderleen
Huoni kuwa Mourinho alikuwa na kikosi kizuri kuliko Ole ?
Na comment zenu zipungue humu mpaka huo muda ufike
Hahahhaha Leo hajamalizia .....Malizia sasa,...... Kila la heri Chelsea![]()
huyu Fraser si winga? kama ndio hatufai kwa sasa, mara nyingi namuonaga akutokea kushoto na United ina Martial, James, Rashford ni wazuri wakitokea kushoto.No hafai Ryan Fraser wa Bournemouth ndiyo typical player
Amepanic, akasahauHahahhaha Leo hajamalizia .....

