Chief-Mkwawa
Platinum Member
- May 25, 2011
- 32,226
- 44,221
Kwanza mshahara wa Sanchez sio mkubwa Kama unavyoripotiwa. anapata hizo Hela nyingi ikiwa hio wiki Kuna Uefa na akacheza (25% bonus toka mshahara), na pia akicheza mechi 2 kwa wiki (75K appearence). Ila akikaa benchi bila kucheza mshahara wake Ni chini ya 300K, ndio maana de Gea moja ya masharti ya kubaki man UTD alitaka awe highest paid player, na mkataba mpya Ni 300K ama 350K.Sanchez kaondoka lakini bado anakunja zaidi ya pauni 250k uku inter wakikubali kulipa 150k ivyo mkataba wake wa mkopo ukiisha atarudi tena kumalizia miaka yake miwili uku akiendelea kukunja zile zile pauni 400k(zaidi ya Tsh billion 1.1) kwa wiki..
Uyu Sanchez sisi Man united tulipigwa[emoji23][emoji23][emoji23]
Hatujapata majeruhi tupo hivi tukiyapata itakuwaje? Sijui.
Na Ed atafanya hivyo ili abaki msafi.
Mimi sioni Ole akitoboa kabisa kwa hii timu.
Labda tusubiri kuona Fred anarudi katika hali gani,bado timu ni kisanga.
Tuko vizuri nyuma tu,na ikitokea AWB anapata majeruhi tunarudi kuleee.
Thanks.Klabu zilipiga kura zikataka dirisha litafungwa kabla ligi haijaanza
Ole at the wheelKwanza mshahara wa Sanchez sio mkubwa Kama unavyoripotiwa. anapata hizo Hela nyingi ikiwa hio wiki Kuna Uefa na akacheza (25% bonus toka mshahara), na pia akicheza mechi 2 kwa wiki (75K appearence). Ila akikaa benchi bila kucheza mshahara wake Ni chini ya 300K, ndio maana de Gea moja ya masharti ya kubaki man UTD alitaka awe highest paid player, na mkataba mpya Ni 300K ama 350K.
Pili inter wanalipa zaidi kuliko sisi, man UTD watalipa 6M ya mshahara wake na inter watalipa 10m.
Tatu hakuna clause kwenye huo mkopo hivyo akimaliza mkopo wake hata Kama atacheza vizuri sisi tutakuwa na advantage ya kutaja transfer fee tunayoitaka.
Man United:Tuendelee kujikumbusha View attachment 1191824
Sio wanne tu, Chelsea haina quality players wakupambana hata na Everton, Leicester , wolves , achilia big 6, Ollachuga anajifariji tu, ila hakawii kujipiga Ban ,Hawazidi wa'4 hao wengine ni level ya DANIEL JAMES wetu.
Yaani Chelsea kupigwa 4-0 na hao akina Rashid we hukuona mtakavyoteseka season hii? ...
Huyo Kepa anafukuzana na kipa wa West ham kuruhusu magoli... labda awe kipa namba moja wa Spain ya London.
Zouma anamueka benchi P.JONES kule nje kwenye benchi kusogeza matako foleni ya sub.
Mm naamin Chelsea kwa kikosi chenu mtamaliza nafas ya 10Man United:
Two home games
One away game
4 points.
Chelsea:
One home game
Two away games
4 points.
Noise makers! Tuendelee ama tusiendelee?
Hapo kwenye beki kuna vituko sana.. timu ambayo haitapata magoli kwa ukuta ule basi wajitathmini.Sio wanne tu, Chelsea haina quality players wakupambana hata na Everton, Leicester , wolves , achilia big 6, Ollachuga anajifariji tu, ila hakawii kujipiga Ban ,
Ukweli Chelsea kupata point kiuhakika ni kwa timu zilizopanda daraja tu, ukimuangalia Burney ,wolves ,Leicester , Watford ,Everton , hata astonvilla unaona kabisa Chelsea hawez kuchukua point kwa hao kirahisi .
Ndio maana kabla ya msimu niliwaambia Chelsea wakikaza watamaliza nafas ya 10
Wakikubali vipigo ovyo bas watakuwa wanagombania nafas ya 15 .
Chelsea wanamtegea William ambaye hana historia ya kuvuka magoli 5 kwa msimu, toka aanze KUCHEZA, ni Mara moja tu alifikisha goli 8.
Wanamtegemea Abraham ambaye game tafu kama za kina wolves , Everton , itakuwa ngumu kuwabeba , tukija beki yao inavuja , ndio maana mpaka sasa wameruhusu goli 7 ,
Muda utaongea zaidi
Lukaku hajawahi kuwa deadwood kwenye premier league stats ziko wazi ,the issue ni OGS hamtakiYani mkuu Rashford na martial sio namba 9 halisi kuliko Sanchez?
Japo Sanchez ndio alikuwa mzuri na kiwango kikubwa Ila sio namba 9, anachezeshwa tu hio namba Ila sio natural position yake. Siku zote kuanzia udinese, Barcelona Hadi arsenal alikuwa anatokea pembeni.
Na sisi tulikuwa tunataka ole atoe deadwoods kamtoa Lukaku, Sanchez, Sasa Hivi hata Jones na Smalling benchi tu hawakai, kwenye picking order Tuanzebe yupo juu Yao, si ndo Ole anafanya kazi yake?
Hizi mechi 2 za wolves na palace zisitufanye tupanick, mechi zote tumecheza vizuri zaidi ya wapinzani na Ni bahati mbaya tumepoteza point kwa kukosa penalty kila mechi, pamoja na maamuzi mabovu ya marefa.
Timu yetu ipo muelekeo mzuri na kutokea Hapa Sasa tutaanza kusajili kwa ku improve timu na sio kubadili wachezaji kama miaka iliopita.
Mkuu mlaumu Woodward, ole wachezaji wake aliowataka hawajakuja sio kosa lake. Tume flirt na dybala, mandzukic, Bruno, longstaff na wengi tu mwisho wa siku hajakuja yoyote.Lukaku hajawahi kuwa deadwood kwenye premier league stats ziko wazi ,the issue ni OGS hamtaki
Namkubali OGS anavyoendelea kufanya clearence but alipaswa kuwa na altenative/short time altenative especially kwenye foward it will be disaster kama key 3 players wakipata majeruhi hali itakuwa mbaya sana.Currently Martial ni majeruhi ikitokea Rashford nae akapata injury ni disaster.United ilipaswa kusajili backup striker
kepa hamna goal keeper hapoApo sawa lakini ukweli ni kwamba Chelsea tuna vijana ambao wanaingia moja kwa moja tena bila kupingwa kwenye first XI ya Ole ...
Mcheki Mount, ata Rashid anapigwa bench apa jpo yeye ana uzoefu na ligi.
Mcheki Kova apo ata Pogba anaeza pigwa benchi.
Mcheki Tammy ..Marshal apa anaeza kaa bench
Kwa upande Beki muko vizuri ..ila Magwaya anakalishwa vizuri tu na Zouma[emoji3][emoji3]
Apo kati ndo usiseme Joghihno, Kante nani wa kuwaweka benchi apo Man u? Jibu ni hatuna..
Kepa anaeza mkompiti vizuri tu De gea na soon anachukua kipa namba moja Uspain..
Kila la kheri Chelsea[emoji170][emoji170][emoji170]
sawamk&nd*kuw*kaHawazidi wa'4 hao wengine ni level ya DANIEL JAMES wetu.
Yaani Chelsea kupigwa 4-0 na hao akina Rashid we hukuona mtakavyoteseka season hii? ...
Huyo Kepa anafukuzana na kipa wa West ham kuruhusu magoli... labda awe kipa namba moja wa Spain ya London.
Zouma anamueka benchi P.JONES kule nje kwenye benchi kusogeza matako foleni ya sub.
Pia arsenal hawez shinda kombe lolote msimu huuMm naamin Chelsea kwa kikosi chenu mtamaliza nafas ya 10
Mkuu mlaumu Woodward, ole wachezaji wake aliowataka hawajakuja sio kosa lake. Tume flirt na dybala, mandzukic, Bruno, longstaff na wengi tu mwisho wa siku hajakuja yoyote.
Na Lukaku msimu wa pili kacheza mechi takriban 45 na goli 15 na performance yake haikuridhisha na mwishoni akazidi kubweteka. Kwenye Uefa ana goli 2 ambazo zote kafunga mechi ya psg, jumla ya mechi alizocheza Ni 9. Mimi pia nampenda Lukaku lakini Kuna vitu anafanya vya kijinga Sana.
1. Ameongezeka kilo Hadi kufikia 104, Hivi mchezaji gani unajisahau kiasi hiki? Watu walidhani Garry Neville anatania lakini medical za inter zilithibitisha jamaa ana kilo 104. Angalia hii picha Lukaku anakuja Man U na anaondokaje, alikuja Kuna utofauti wa tumbo na kifua anaondoka bila huo utofauti.
View attachment 1192743
2. Kuvujisha data za mazoezini, na kujinadi kwamba yeye ana speed.
3. Kuwapiga vijembe wachezaji wenzake Twitter Kama alivyomponda martial kwa kutochaguliwa kombe la Dunia etc
Unaweza kuangalia full article Hapa
What is Lukaku’s problem? - Republik Of Mancunia: A Manchester United Blog
Romelu Lukaku sealed a move away to Inter Milan this summer after a disappointing second season at Manchester United, where it became clear he wasn't going to be Ole Gunnar Solskjaer's first choice striker. He scored just 15 goals in 45 appearances last year after what was a largely frustrating...therepublikofmancunia.com
Kwani Ole mlichaguliwa na nani?Hatujapata majeruhi tupo hivi tukiyapata itakuwaje? Sijui.
Tatizo sio kuwa na depth ndogo ya wachezaji, hata hao wachache hawana hizo quality za kuwa hapo.
Liverpool nao wana depth ndogo ila wanaitumia vizuri sana.
1. Hatuna quality players.
2. Hatuna kocha mwenye quality ya Man Utd.
3. Hatuna management supportive. Hakuna DoF, hata akija kocha mwingine ataleta squad yake yote mpya na kufukuza hawa waliopo.
Garasa Luiz tumeliondoa.MAJIRAN VIPI TENA ,AU NDIO SAFISHASAFISHA IMEANZA...KAMA TUNAVYOFANYA SISI, ...MWENYE MAGARASA SI ATABAKI CHELSEA PEKE YAKE SASA
Chris Smalling to AS Roma from Man United, here we go! Total agreement for a simple loan (€3M to Man Utd) without buy option. The player has accepted. [emoji837] #MUFC #Roma #transfers