Masamila
JF-Expert Member
- Jun 22, 2014
- 6,411
- 7,306
Kikubwa cha ajabu alichofanya Pep ni kuleta Dominance kama ya PSG au Bayern au Juventus ligi kuu ya Uingereza kitu ambacho Fergie alishindwa maana mara ya kwanza alikutana na upinzani wa Wenger kisha wakaja ChelseaHuku akifundisha timu ambazo hata yeye asingekuwepo Zina uwezo wa kuchukua ubingwa.
Mfano niambie Kuna wonders ngapi pep anaefanya kwa kuipa timu ubingwa ama ku improve kitu Fulani ambacho mwanzo watu waliona Kama Ni impossible. Mfano nakupa
-Sir Alex Ferguson aliipa ubingwa wa ulaya Aberdeen ambayo huko Scotland kwenyewe Ni kibonde, akizifunga timu Kama Madrid na Bayern.
-Lvg Akiipa Ajax ubingwa wa ulaya mara mbili na Vitoto vyake.
-Lvg huyo huyo akaondoa Ubabe wa kina Ajax, psv na Faynoord kwa kuipa ubingwa Az Alkmaar ambayo hata hawakuwa favourite.
-Mou kuipa Ubingwa wa ulaya Porto.
-Mou huyo huyo kuwapa ubingwa Chelsea (japo nae Hapa alispend vya kutosha)
-Ranieri na Leicester yake
-klop na ligi ya ujerumani alipokuwa Borussia
In short mkuu with evidence naweza kupa toka pep aje Man city hajawahi kupanga watoto/Team B asifungwe, Ashajaribu Sana Uefa ama Fa/Efl akipanga tu watoto anafungwa. Hii inaonesha kabisa philosophy zake zinahitaji world class players na sio kocha mzuri Kama watu wanavyomnadi.
Mourinho ni kocha bora wa pili duniani baada ya Pep ila ni kocha mwenye mpira mbovu usiovutia. Na Pep kuchukua UCL na Man City sio kitu kikubwa ambapo naimani sio muda tutashuhudia Manchester city chini ya Pep wakichua Ubingwa wa UEFA