Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Fergie atabaki kuwa fergie tu.Nidhamu kwanza
 
Cha kukusaidia hapo "" kwamba mkono ulizidi Wakati anatoa pasi ya goli""
Offside Inakuwa pale tu kiungo ambacho kinaweza kufunga kikizidi.
Sasa mkono Hauwezi kufunga ndo mana haikuwa offside.
So mkono unapozidi sio offside.
 
Hata kama tukifungwa mia..lukaku hakuwa mtu sahihi kubaki MAN U..ni bora alivyouzwa.

Lukaku hakuweza kuonelana kwny mechi ngumu kama hizi..huwa anapotea kabisa.!!
Usimtetee mkuu.
 
Binafsi nina machache ya kuzungumza..

1.Sikubaliani na Kocha kumchezesha Martial kama striker..jamaa hajitumi vya kutosha..out of 3 open chances huwa anafunga moja..au asifunge kabisa! He's not good enough kumuamini..ni mara mia Rashford acheze pale mbele.!

2.Lingard hamna kitu pale kabisa!! Sijajua kwann mpk leo anacheza zaidi ya dk 70.
Adreas pereira ni bora kuliko yeye..maana hata kwny ggame ya Chelsea alitoa assist moja nzuri..huyu lingard dahh!! Hamna kitu.

3.Kocha amrudishe Daniel James kwenye position yake(hii ni mara ya tatu nasema)..dogo hayupo comfortable kwenye RW..hata yeye alishaaema amezoea kucheza LW!

4.Back 4 yetu iko vizuri pia DeGea yuko poa..sina shida nao.

5.Wakati umefika ss FRED arudi kikosini..tuone uwezo wake msimu huu..maana Scot anajitahidi ila hes not YET good enough to create a good partnership with POGBA.

6.Kuhusu pogba kukosa penalt;Takwimu zinasema Pogba ndo mchezaji aliyekosa penalties nyingi(4) tangu msimu uliopita uanze...je wakuu mnahisi ni wakati muafaka kumtumia Rashford kupiga penalt!?cuz sijawahi kuona akikosa so far..


Mwisho; Wolves ni wagumu sana wakiwa kwao..tumejitahidi kuoata point moja BUT we DESERVED MORE!! we deserved all 3 points basi tu Attackers wetu hawakuwa makini..

GGMU GGMU
 

Katika sheria za offside kuzidi mkono sio offside but viungo vengine vyote (Kichwa, Mguu, tumbo, mgongo n.k.) vikizidi ni offside.
 
Still lingard is worse kulingana na options zilizo kwenye soko.

He's not a United Standards.
 
Umegusa sehemu zote muhimu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…