Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Namzungumizia nilivyomuona ktk ile mechi ,hizi statistics zitawaponzen, maana kwa statistics mustafi anakimbizanaga na kina vvd lkn ndio beki mbovu na aliyetemwa pale arsenal msimu huu, sasa ww kimbilia statistics wakati wahafidhina tunaangalia movement n.k ,Maguire ni mzito ,hiyo weakness yake ndio inanipa wasiwasi , subir baada ya mech 5 tu , nitakupa tathmin fupi.
Mkuu unasubiri mechi ya 5 ipi? Mbona ameonesha uwezo wake katika mechi zaidi ya 100,akiwa Shefield, Hull, Leicester, Three Lions na sasa United?
 
Ole muoga wa kucoach wachezaji wenye majina kama Pochettino.
Vituko anavyofanya Pogba unatamani hata auzwe tu timu ibaki na wachezaji wanaotamani kuwa pale.

Kiufupi Pogba analazimishwa kuwa pale tu,moyo wake haupo pale.

Timu yetu ni mbovu kwasababu iliona kabisa Pogba akili yake haipo pale lakini ikaacha kununua viungo watakaoweza kusimama Pogba atakapoleta mbwembwe.
 
Kuna wakati naona bora asiuzwe (angalau kwa msimu huu) ili apate maumivu ya kucheza timu anaidhalikisha

He should be punished some how for the way he is treating United
 
Vituko anavyofanya Pogba unatamani hata auzwe tu timu ibaki na wachezaji wanaotamani kuwa pale.

Kiufupi Pogba analazimishwa kuwa pale tu,moyo wake haupo pale.

Timu yetu ni mbovu kwasababu iliona kabisa Pogba akili yake haipo pale lakini ikaacha kununua viungo watakaoweza kusimama Pogba atakapoleta mbwembwe.
Pogba kafanyaje tena ?
 
Mwanaume wa shoka
FB_IMG_1566027356832.jpeg
 
Back
Top Bottom