D A E M U S H I N
JF-Expert Member
- Dec 15, 2015
- 22,646
- 121,057
ili pengo la lukaku lisionekane hao watakaoziba nafasi yake wanapaswa wafunge magoli yao pamoja na magoli ya lukaku.Wakuu Licha ya wengi kulaumu kuhusu kuuzwa lukaku Mimi nilivyomuelewa solskjaer ni kuwa lukaku hakuwadanganya anafutilia kwenye pressing style yetu, kocha anahaki ya kumkubali na kumkataa mchezaji kwasababu anazoona yeye zinafaa.....mwisho tusubiri ligi ianze ndo tulaumu maamuzi ya solskjaer ila Mimi naamini pengo la lukaku halitaonekana labda pengo katika midfield
ronny,ronald na revez walikuwa wanarotate hicho ndiyo anachotaka ogsili pengo la lukaku lisionekane hao watakaoziba nafasi yake wanapaswa wafunge magoli yao pamoja na magoli ya lukaku.
ishu iko hivi:
kama rashford, martial, greenwood wana uwezo wa kufunga magoli 15 kwa msimu kwa kila mmoja pia wanatakiwa wamfungie lukaku magoli yake 25 ya msimu.
je uwezo huo wanao kwa kuangalia hizo mechi za preseason pamoja na kiwango vyao vya msimu uliopita?
kama uwezo huo wanao basi tutakuwa na safu kali ya ushambuliaji kuliko utatu mtakatifu wa liverpool ambao kabla ya lukaku kuondoka hatukuweza kuwafikia kwa magoli.
siwezi kuishi na mgonjwa kwa kuhofia nitasababisha apoteze uhai wake mapema kwa kukata kwangu tamaa
hao tulionao wanafikia uwezo wa rooney , ronaldo na tevez?ronny,ronald na revez walikuwa wanarotate hicho ndiyo anachotaka ogs
9 aende 11 na 10 aende 7 wazunguke hivyo
hao tulionao wanafikia uwezo wa rooney , ronaldo na tevez?
rashford = kiwango hiki alichonacho kinafanana na kiwango cha tevez yule wa manchester united?mkuu Hata huyo teve
Mkuu hata huyo tevez, ronny na ronald leo hii hawana uwezo ule
City academy yao hainusi vumbi la academy ya Real MadridHapa duniani ukitoa Academy ya Barca inayofuata nyuma yake ni ya Man city kwa ubora. Majirani zetu wameekeza kisawasawa kwenye mpira.
Tunacompare Man UTD na man city,
Hebu nitajie man city toka club ianzishwe mchezaji mmoja tu Kama Pogba au pique ama Rossi.
Pique Moja ya beki Bora duniani,
Pogba Moja ya midfield Bora duniani
Rossi Moja ya striker Bora duniani (top scorer Serie A na la Liga Mara kibao Kasumbuana na Kina Ronaldo na Messi). Sema Majeruhi tu yameharibu career yake.
Huyu ambae kawa Babu ama pique yule ambae alikuwa hakosi kikosi Cha Dunia?Pique ni beki average mno
Pique kazidiwa hata na Rudiger
Kuna watu naona kabisa wameyumbishwa na vijembe vya akina ollachuga sasa na wao wanaanza kiukashfu timu yao wenyewePlastic fans Hao achana nao
Martial kuvaa tu hii jezi, itampa confidence ya kutosha hata kama mechi hazijaanza bado!
Mmemrudishia jezi yake,pendwaMartial kuvaa tu hii jezi, itampa confidence ya kutosha hata kama mechi hazijaanza bado!
Sure..kipind kile alivyoanza tu ile mechi nahic ilikua ya Liverpool na ilikua pale Theatre of Dreams, kaingia tu na kupata pasi, wayaaa..kama sijakosea mech kama 4-6 alifunga mfululizo!Mmemrudishia jezi yake,pendwa
Anaanza na goli jumapili
Sure..kipind kile alivyoanza tu ile mechi nahic ilikua ya Liverpool na ilikua pale Theatre of Dreams, kaingia tu na kupata pasi, wayaaa..kama sijakosea mech kama 4-6 alifunga mfululizo!
tulia wewe ..Hivi hii manure tangu asepe mzee fargie kuna mchezaji aliyefikisha goli 20??Kuna watu naona kabisa wameyumbishwa na vijembe vya akina ollachuga sasa na wao wanaanza kiukashfu timu yao wenyewe
Yani unakua mgeni nyumbani kwako
Enyi mashabiki wenzangu wa man u ni nani aliye waroga?
Uwepo wa Alves na Puyol ulim'beba sana Peque.Pique ni beki average mno
Pique kazidiwa hata na Rudiger
First half mechi ya kwanza ya ligi wajinga wa anfield wanaongoza 4-0.
Tuna kazi kubwa kuifikia Liverpool ilipo sasa