Chief-Mkwawa
Platinum Member
- May 25, 2011
- 32,225
- 44,217
Halafu tuclarify kitu kimoja Hapa.Inaonekana hujaelewa. Man city wameanza kuweka serious investment lini kwenye academy? wana best facilties in England mpaka watoto wa former United players wanapelekwa pale. hapa nazungumzia Investment ya Mansour na tangu aingie ndio kwanza miaka 11 kama sikosei, na hio academy tangu aweke investment sina uhakika ni miaka mingapi, wait and see.
Shida ya Man city hawana kocha anaepend kuwapa gametime makinda.
Na hao uliowataja ni wachezaji wa kawaida tu perfomance yao ni average, hawana uwikaji mmoja ulaya. Hata lingard kuna kipindi alifananishwa na Messi. English medias bana!!
Alirudi MUFC kwa sababu ya mapenzi yake ya Club na aliondoka MUFC kwa sababu ya Mapenzi yake kwa Club, au sio? Yaani mpaka anabembelezwa bado kaondoka halafu unatwambia ana mapenzi ya Club.1. Fergie hakumuacha asepe, mwenyewe kwenye kitabu chake anasema alimfuata Evra akambembeleze pogba asiondoke, na Evra Kama rafiki wa karibu wa Pogba pia amethibitisha hili ukitaka ushahidi nitatoa mpaka page za kitabu.
Yap Mina Raiola alisema ivi au sio2. Kuna Kauli za Raiola na Kauli za Pogba usichanganye, Pogba Ni mchezaji wa man U na ana mkataba pale, na Ni mmoja Kati ya wachezaji ambao walikuwa na raha pre season, na hata Attitude aliyoonyesha Ime impress wachezaji wenzake, sio maneno yangu Ni stone anaongea
- Kasper Schmeichel - Leceister3. Halafu we Jamaa wa ajabu Sana, nimekutajia wachezaji zaidi ya 20 wa academy ya man U wanaocheza Timu mbali mbali ligi ya Uingereza, wewe umeshindwa kutaja hata mmoja halafu unakazania Man U wanabebwa na Media,
Kama unajua unajua tu na uutakapoenda uta perform vizur? Coutinho aliperform vizuri Liverfools, kaenda Barca tafrani tu. Hii Logic ni nonsense.... kwamba eti kama unajua unajua tu?Na kazi ya Academy Ni kukuza vipaji, Kama unajua unajua tu utakapoenda utaperform vizuri, Michael Kean aliondolewa na LVG kaenda Burnley kacheza vizuri mpaka kasajiliwa Everton, hao kina Simpson, drinkwater, Heaton etc sio kwamba walikuwa na namba man U, walivyomuuza academy wakatafuta Timu wacheze.
Mimi nadhani tuwape nafasi makinda wanaweza kutusogeza mbele kidogo kuliko kutegemea wachezaji kama Dyabala ambao hawako tayari kupigania team.
Ole kajitahidi kusajili sehemu zenye mapungufu hasa eneo la ulinzi,bado kiungo na mshambuliaji wa kulia.Pia tukumbuke usajili ulikuwa mgumu kweli kweli hasa bei za wachezaji zipo juu sana.
Tumefanikiwa kuziba pengo mlinzi wa pembeni kulia na baki wa kati,naamini Fred,Pereira,Fosu Mensah na McTominary wana uwezo wa kuziba pengo la Hereira na Manywele.Sehemu pekee bado tutaumiza kichwa ni mshambuliaji wa kulia.
Lukaku sidhani kama kaacha pengo kubwa kinda Mason ana uwezo mkubwa kuliko kubwajinga Lukaku.Sijui kwanini mpaka sasa naamini Sanchez anaweza kutusaidia msimu huu.
Tupe team yetu moyo badala ya kulalama.
Kwa hio unatwambia kuwa Academy kazi yao kusign players TU, sio kwamba ni shule ile unapeleka mtoto wako akiwa mdogo anajaribiwa na kutizamwa kama kuna potential yoyote ya kisoka? - Ofcourse sio bure-Halafu tuclarify kitu kimoja Hapa.
Academy inasajili wachezaji na sio wazazi wanapeleka wachezaji kwenye academies.
Hao wachezaji wa zamani unaoona watoto wao wapo city Ni sababu hawana viwango, vya kuingia United, mfano mzuri Harvey Mtoto wa Neville alitrain kwenye academy ya city, alipokuza kiwango mwaka Jana ndio amekubaliwa kujiunga na academy ya man UTD.
Ingekuwa wazazi wanapeleka watoto wao academies basi watu wenye hela ndio watoto wao ungewaona academies kubwa duniani.
Hapo hatujagusa class of 1992Tunacompare Man UTD na man city,
Hebu nitajie man city toka club ianzishwe mchezaji mmoja tu Kama Pogba au pique ama Rossi.
Pique Moja ya beki Bora duniani,
Pogba Moja ya midfield Bora duniani
Rossi Moja ya striker Bora duniani (top scorer Serie A na la Liga Mara kibao Kasumbuana na Kina Ronaldo na Messi). Sema Majeruhi tu yameharibu career yake.
Mbona hutaji mifano mzeeInaonekana hujaelewa. Man city wameanza kuweka serious investment lini kwenye academy? wana best facilties in England mpaka watoto wa former United players wanapelekwa pale. hapa nazungumzia Investment ya Mansour na tangu aingie ndio kwanza miaka 11 kama sikosei, na hio academy tangu aweke investment sina uhakika ni miaka mingapi, wait and see.
Shida ya Man city hawana kocha anaepend kuwapa gametime makinda.
Na hao uliowataja ni wachezaji wa kawaida tu perfomance yao ni average, hawana uwikaji mmoja ulaya. Hata lingard kuna kipindi alifananishwa na Messi. English medias bana!!
Ndio academy Ina scout na kusajili na sio unapeleka tu mtoto na kukubaliwa hasa kwa academies kubwa.Kwa hio unatwambia kuwa Academy kazi yao kusign players TU, sio kwamba ni shule ile unapeleka mtoto wako akiwa mdogo anajaribiwa na kutizamwa kama kuna potential yoyote ya kisoka? - Ofcourse sio bure-
Kwaio City walimsign mtoto wa Neville, walimsaign mtoto wa Van persie na sio kwamba hawa waliwapeleka watoto wao huko?
Alirudi MUFC kwa sababu ya mapenzi yake ya Club na aliondoka MUFC kwa sababu ya Mapenzi yake kwa Club, au sio? Yaani mpaka anabembelezwa bado kaondoka halafu unatwambia ana mapenzi ya Club.
Yap Mina Raiola alisema ivi au sio
"
‘For me I have been for three years in Manchester and have been doing great, some good moments and some bad moments, like everybody. Like everywhere else. ‘After everything that happened this season, with my season being my best season as well… I think for me it could be a good time to have a new challenge somewhere else. I am thinking of this: to have a new challenge somewhere else.’
"
- Kasper Schmeichel - Leceister
- Angelino - PSV
- Ben Mee - Burnley
- Jason Denayer - Lyon
- Kirena Trippier - Tottenham
Just to name some...
As i said, ishu ya Man city ni kutowapa makinda mda uwanjani.
Kama unajua unajua tu na uutakapoenda uta perform vizur? Coutinho aliperform vizuri Liverfools, kaenda Barca tafrani tu. Hii Logic ni nonsense.... kwamba eti kama unajua unajua tu?
Hio Ni logic yako ambayo imekufanya uelewe ivo. Nnachokwambia ni kuwa wachezaji wa Man city from Academy hawapit game time kama wanavopata MUFC na ndio maana mnawasikia sikia kwenye media.
Kumbuka kuwa mfumo wa kocha unachangia sana kwenye kukuza au kubomoa kiwango cha mchezaji haijaalishi academy ulotoka ni ipi.
Halafu kitu kingine ujue, now Only the media na fans ndio inaibeba MUFC over MCFC, siku Medias zikiacha kuzungumzia MUFC na kuwa fair, hii timu itasubiri sana kurudisha heshima yake.
Huyu ndo mchezaji ambae ameweka wazi wazi kuwa anataka kuondoka? 😀 Be serious! Fergie alimjua mapema na ndio maana akamuacha asepe zake. Eti mapenzi yake ya MUFC ndio yamemfanya arudi. Duh! Haya basi
Naiombea timu mafanikio!
Watano tu mkuu? Nimekutajia 26 toka academy mbovu, wewe academy nzuri umepata watano tu? Tena Hakuna hata mmoja ambae unaweza sema Ni world class.
Mimi nimeamua kumpunguzia atutajie walau mmoja tu world class
mkuu nimeielewa hoja yako unayoisimamia ila sielewi kwa nini hao wengine wameshindwa kuielewa hoja yako.Inaonekana hujaelewa. Man city wameanza kuweka serious investment lini kwenye academy? wana best facilties in England mpaka watoto wa former United players wanapelekwa pale. hapa nazungumzia Investment ya Mansour na tangu aingie ndio kwanza miaka 11 kama sikosei, na hio academy tangu aweke investment sina uhakika ni miaka mingapi, wait and see.
Shida ya Man city hawana kocha anaepend kuwapa gametime makinda.
manchester united ni bora wafanye mipango ya kuanzisha kikundi cha ulinzi shirikishi, timu ina walinzi 13 lakini ni walinzi watatu tu ndio wana muelekeo wa kupata namba kikosi cha kwanza kwenye timu kubwa kama vile manchester city na liverpool.
tokea dirisha la usajili halijaanza mpaka limemaliza kama tungelikuwa tunatafuta mchangiaji asiyekuwa na chembe ya uoga wa kusimamia anachokiamini basi kura yangu ningelimpa bwana PTER .
vidic, ferdinand, jonny evans, brown, oshea (kiraka), neville / rafael, evra. maguire, smalling, jones, bailly, lindelof, rojo, darmian, dalot, young, tuanzebe, shaw, bissaka.
Nimesikia tetesi zinadai ya kwamba FA wameamua kuiongezea muda wa kufanya usajili klabu ya manchester united kwa sababu CEO ed woodward alikuwa na likizo ya kazi kwa takribani wiki mbili.
mkuu kucheza kwao kiungo si tatizo ila cha kujiuliza wanafikia matarajio ya sehemu husika wanazocheza?Kuna baadhi ya wachezaji upande wa ulinzi wana uwezo wa kucheza nafasi ya kiungo.
1.Timothy Fosu Mensah
2.Diogo Dalot
3.Phil Jones
4.Ashley Young
Plastic fans Hao achana naoNaona washabiki wa Manchester united tumegeuka kuwa watabiri
Maneno kama,
*kwa kikosi chetu hatuendi popote
*kocha hatafika january
*hatutashinda kombe kwa kumtengemea rashford
*tutafungwa hadi na watford
*tutamkumbuka mourinho
*tutaishia kugombania top four
Yamesikika sana.
Kwangu hali ni tofauti, ninaamini katika teamwork na nimejipanga kuwashuhudia vijana wetu wakisakata kabumbu kwa moyo wao wote, ninaipenda timu yangu
GGMU
Pereira yupo smart sana, sijui kwa nini yupo underratedHuyo perreira atasimama na kdb? Lingard atabishana na silva? Looooo
msimu uliopita marcus rashford na antony martial kwa pamoja wamefunga magoli 20 kwenye ligi kuu ya uingereza kama nitakuwa nipo sahihi.But for me, I'm very confident that we'll get goals from Anthony Martial, Rashford... Dan James will come in and create, Jesse Lingard will get more.