Pepe Lacazette Auba
Bado wana cebalos,Teirney na bado wanamdaka David Luiz
Hawa arsenal wanaweza kututimulia vumbi tu next season..acha tuone dirisha litakapofungwa..
Leo saa 5.59 usikuKwani dirisha linafungwa lini?
Pepe Lacazette Auba
Bado wana cebalos,Teirney na bado wanamdaka David Luiz
Hawa arsenal wanaweza kututimulia vumbi tu next season..acha tuone dirisha litakapofungwa..
Ni sehemu ya masihara piaInaki anakuja
Man u inaishi kwa historia siyo visionDavid Luiz is currently undergoing a medical with Arsenal and is set to seal his move from Chelsea shortly.
hii taarifa ina ukweli wowote?
mbona majirani wametukalia vibaya?
ndani ya mwaka mmoja kocha mkuu wa arsenal amefanikiwa kugundua matatizo sugu ya klabu yake ndio maana si ajabu kukuta target zote walizoziwekea dhamira ya kuzitafuta wamefanikiwa kuzipata kwa 80%.
mlinzi wa kushoto = Tierney
winga mshambuliaji = pepe
kiungo = dani ceballos.
mlinzi wa kati = William Saliba + david luis.
pia upo uwezekano wa kuleta wachezaji wengine kwa njia ya mkopo au cash siku ya leo.
lakini kuna timu ina mwaka wa sita haina habari ya kutafuta winga wa kulia.
bado wanajishauri kutafuta kiungo wa juu mwenye sifa za eriksen.
Sina uhakika na hizi tetesi kama ni za kwelitetesi:
Man Utd wapo kwenye mazungumzo ya kumnasa Mario Mandzukic kutoka Juventus kuziba pengo la Romelu Lukaku aliyetimkia Inter Milan.
baadhi ya wadau walitwambia ya kwamba bwana ole gunnar havutiwi na style ya uchezaji ya lukaku, swali la kujiuliza mario mandzukic ana utofauti gani na lukaku?
kama hizi tetesi za mario hazina ukweli wowote tafsiri yake ni kwamba tunagombania makombe manne kwa kutegemea huduma ya marcus rashford.Sina uhakika na hizi tetesi kama ni za kweli
1. Kuna tier system kwenye uvumi/taarifa na Kuna waandishi ambao Ni official wa club wanapata taarifa direct toka kwenye club, mfano Ni huyo Cooper niliemtaja kuhusu issue ya ole, hivyo si Kila mwandishi Ni uvumi wa Twitter wengine maneno Yao yana uzito zaidi.Mimi si mtaalamu wa Biashara coz sijasomea shule za Biashra.
Lakana Tukizungumzia Bajeti tunazungumzia kilichotengwa ambacho ndiyo kinachotumika kazi tayari kipo katika Mpango kazi.
Kwahiyo kinachoingia kwa kuuza wachezaji kinaingia moja kwa moja katika Account kwa ajili ya New Financial year!
Haimaanishi kiwa akiuzwa Pogba leo hela itaingizwa moja kwa moja kwa kuchanganywa na ile iliyobajetiwa £100m katika mfuko wa manunuzi bila ya kupita kwenye bodi ya Wakurugenzi kuidhinisha Matumizi.
Kwahiyo kilichobajetiwa ndiyo kinachotumika hata kama mutaingiza £200m.
Hakuna Kampuni/Taasisi/System yoyote inayotumia zaidi ya kilichobajetiwa kwenye Mfumo, lakini inaweza kutumia bila ya kufikia kilichobajetiwa.
Na habari za kuwa bajeti ni £100m hiyo sio kweli bali ni Rumours za twitter tu kwani Timu yoyote haitangazi Bajeti yake halisi kama vile Arsenal walipovumisha bajeti ya £45m.
Ukitangaza kuwa unabajeti ya £300m mawakala wanachangamkia Fursa kwani hata yule AWB wangetaka kumuuza kwa £80m, Maguire wangetaka £120m si time zitakuwa zinajua kuwa bajeti yenu ni kubwa!!
Lakini kitendo cha kuvumisha bajeti ya £100m timu zinajuwa wazi kiwa Hatakama nyinyi ni matajiri wakubwa lakini Hamuwezi kutumia nje ya Bajeti so, Wataishia kudai hela Ndefu huku wakitegeshea kwani wanajua kuwa Bajeti yenu sio £100m lakini hawajui ni ngapi.
Kwahiyo kulingana na Matumizi Bajeti yetu ni zaidi ya £150m au zaidi ya £200m.
Net spending haikalkuletiwi na mashabiki bali ni Mhasibu wa timu ndiye anayecalculate na kuiwasilisha kwa Bodi ya Wakurugenzi kila ifikapo new financial year ambapo ndiyo hutangazwa.
Kwahiyo mumeshazidi £100m katika hiyo bajeti yenu.
Mkuu mandzukic akija Ni aina ya mchezaji ambae hatachukia kukaa benchi, amebeba makombe yote club level, kacheza ligi mbalimbali, na ana fainali ya world cup, experience yake itawasaidia chipukizi kujifunza zaidi. Akija atakuwa tu impact sub na kucheza makombe ya mbuzi.tetesi:
Man Utd wapo kwenye mazungumzo ya kumnasa Mario Mandzukic kutoka Juventus kuziba pengo la Romelu Lukaku aliyetimkia Inter Milan.
baadhi ya wadau walitwambia ya kwamba bwana ole gunnar havutiwi na style ya uchezaji ya lukaku, swali la kujiuliza mario mandzukic ana utofauti gani na lukaku?
Naona alimaanisha 1966Duh Bob Charlton kacheza 1996
Kacheza world cup akiwa na miaka 58
Hii nayo kali
Kapata mapokez makubwa airport hadi raha , Mmepoteza jembe kweli kweliBolingoli kawasili Inter, kapokelewa na fans zaidi ya 200! It is great welcome, great pleasure!
DILI LIMEKUFA KIFO CHA MENDEHili dili la Dybala bado lina ukakasi sana kukamilika kwake aelekee Tot!
Wamekubaliana bei waliyokubaliana, ila challenge bado ni ile ile aliyopata united kuhusu mkataba wake Dybala, image rights zile pamoja na commissions!
mkuu umemzungumzia mandzukic kana kwamba anafanana kitabia na michael owen yule aliyesajiliwa na ferguson.Mkuu mandzukic akija Ni aina ya mchezaji ambae hatachukia kukaa benchi, amebeba makombe yote club level, kacheza ligi mbalimbali, na ana fainali ya world cup, experience yake itawasaidia chipukizi kujifunza zaidi. Akija atakuwa tu impact sub na kucheza makombe ya mbuzi.
Good analysis ,hujawahi kuniangusha , miaka ya nyuma nilikuwa naingia jf nakuja jukwaa la liver kusoma chambuz zako na Mosdef tuMimi si mtaalamu wa Biashara coz sijasomea shule za Biashra.
Lakana Tukizungumzia Bajeti tunazungumzia kilichotengwa ambacho ndiyo kinachotumika kazi tayari kipo katika Mpango kazi.
Kwahiyo kinachoingia kwa kuuza wachezaji kinaingia moja kwa moja katika Account kwa ajili ya New Financial year!
Haimaanishi kiwa akiuzwa Pogba leo hela itaingizwa moja kwa moja kwa kuchanganywa na ile iliyobajetiwa £100m katika mfuko wa manunuzi bila ya kupita kwenye bodi ya Wakurugenzi kuidhinisha Matumizi.
Kwahiyo kilichobajetiwa ndiyo kinachotumika hata kama mutaingiza £200m.
Hakuna Kampuni/Taasisi/System yoyote inayotumia zaidi ya kilichobajetiwa kwenye Mfumo, lakini inaweza kutumia bila ya kufikia kilichobajetiwa.
Na habari za kuwa bajeti ni £100m hiyo sio kweli bali ni Rumours za twitter tu kwani Timu yoyote haitangazi Bajeti yake halisi kama vile Arsenal walipovumisha bajeti ya £45m.
Ukitangaza kuwa unabajeti ya £300m mawakala wanachangamkia Fursa kwani hata yule AWB wangetaka kumuuza kwa £80m, Maguire wangetaka £120m si time zitakuwa zinajua kuwa bajeti yenu ni kubwa!!
Lakini kitendo cha kuvumisha bajeti ya £100m timu zinajuwa wazi kiwa Hatakama nyinyi ni matajiri wakubwa lakini Hamuwezi kutumia nje ya Bajeti so, Wataishia kudai hela Ndefu huku wakitegeshea kwani wanajua kuwa Bajeti yenu sio £100m lakini hawajui ni ngapi.
Kwahiyo kulingana na Matumizi Bajeti yetu ni zaidi ya £150m au zaidi ya £200m.
Net spending haikalkuletiwi na mashabiki bali ni Mhasibu wa timu ndiye anayecalculate na kuiwasilisha kwa Bodi ya Wakurugenzi kila ifikapo new financial year ambapo ndiyo hutangazwa.
Kwahiyo mumeshazidi £100m katika hiyo bajeti yenu.
Woodward ameshamaliza kusajili kama bado woodward atasajili litakuwa jambo la kushangaza sana.kama hizi tetesi za mario hazina ukweli wowote tafsiri yake ni kwamba tunagombania makombe manne kwa kutegemea huduma ya marcus rashford.
sidhani kama bwana ed woodward ana jeuri ya kutafuta mshambuliaji, kiungo mshambuliaji kwa usiku mmoja kama ameshindwa kufanya hivyo kwa miezi mitatu.
Mkuu uliyosema Ni sahihi lakini hoja Ni je unawezaje kuuza mfungaji aliyekua tegemezi kwako Kisha ukam replace kwa mchezaji atakayekuwa "impact sub na kucheza kombe la mbuzi"?!Mkuu mandzukic akija Ni aina ya mchezaji ambae hatachukia kukaa benchi, amebeba makombe yote club level, kacheza ligi mbalimbali, na ana fainali ya world cup, experience yake itawasaidia chipukizi kujifunza zaidi. Akija atakuwa tu impact sub na kucheza makombe ya mbuzi.