Evra yupo sahihi, dyabala ana wakati mgumu Sana, Juventus hatakiwi na Hakuna Timu inayomtaka na Deni lake, mwisho wa siku sitashangaa akiangukia timu Level za Kina Everton.
Lukaku atakuwa amepanick na kuanza kumisbehave baada ya kuona haitajiki. Sasa inasemekana haliruhusiwa kufanyia mazoezi Belgium siku moja tu,alitakiwa arudi lakini hakurudi, sasa anapigwa fine ya utoroNdio maana masema, awekwe sokoni.
Mchezaji wa £80M ni huge deal.
Ulitaka auze timu yote ?
Nadhani OGS anatumia lukaku kama mfano wa namna his smiling face can become tough.
It's business, you make some now you lose some tomorrow.Huu mtindo wa kuweka release clauses unaumiza wachezaji wengi sana.
#Lukaku to #Inter for 65 M plus 13 of bonuses (some of them easy to reach, others more difficult) #MUFC @DiMarzioIshu ya lukaku inabdi iwe solved kesho completely kama united inataka kufaidika kibiashara na kama wamenuia kweli kumtoa lukaku kweny mipango ya timu!
Nahic kama lukaku mustakabal wake hautapatikana kesho wakat dirisha la usajili kwa engalnd linafungwa compared na wa ligi zingine, kwa namna moja au nyingine basi "Market value" ya lukaku inaweza kuathirika kama united hawana mpango naye really!
Hii ishu wa-sort out mapema lukaku aondoke kama wamenuia! La sivyo, atauzwa £60m-£50m tena kwa kuomba wakat haikua plan zao kwa bei hiyo!
Haohao inter lukaku atanganganiza aende kwao akijua value ime-flop na hataki kubaki pale Theatre!
Sometimes unawapa favour wachezaji piaHuu mtindo wa kuweka release clauses unaumiza wachezaji wengi sana.