Rojo atleast. Baily ni.injury prone. Baily jones smalling wapite hiv wote
na litimu lenu la Cheltako libovu kama Coastal Union tu yaani ndani ya miezi 6 tu mtamchoka kocha wenu na.matusi juuGame ya kwanza vs Chelsea
Maguireeeeeeeeeee gooooooooaaal
it's OWN GOAL(in Peter Dury voice)
90'min
Manchester united 0 Chelsea 1
![]()
KweliFake news
Ni Arse-Anal huyu asikupe shida muda wao wa kujipiga BAN Umefika.na litimu lenu la Cheltako libovu kama Coastal Union tu yaani ndani ya miezi 6 tu mtamchoka kocha wenu na.matusi juu
Kombe watalisikia kwenye breakin newsNi Arse-Anal huyu asikupe shida muda wao wa kujipiga BAN Umefika.
Hayo mabomu kama hayaji kwenye timu yako unadataje mkuu?Mnamwaga pesa kwa mabomu
Game ya kwanza vs Chelsea
Maguireeeeeeeeeee gooooooooaaal
it's OWN GOAL(in Peter Dury voice)
90'min
Manchester united 0 Chelsea 1
![]()
Usajili wa maguire umewaumiza zaidi mashabiki wa arsenal sijui kwa nini?Mnamwaga pesa kwa mabomu
Kwani na wao hawajasajili?Usajili wa maguire umewaumiza zaidi mashabiki wa arsenal sijui kwa nini?
Mnamwaga pesa kwa mabomu
Kwani Phil Jones, Rojo na Bailly wanatofautiana nini ?
None of that money comes from your pocket.Mnamwaga pesa kwa mabomu
Hawa wote sio mabeki wabaya kihivyo wakiwa wako fit shida yao kubwa wanajitupia sana kichwa kichwa bila kutumia akili ndo maana wanaumia mara nyingiKwani Phil Jones, Rojo na Bailly wanatofautiana nini ?
Sasa mchezaji anajitupia tu bila safety precautions anamsaada gani kwa timu.Hawa wote sio mabeki wabaya kihivyo wakiwa wako fit shida yao kubwa wanajitupia sana kichwa kichwa bila kutumia akili ndo maana wanaumia mara nyingi
Hatujuani humu kaa utulie usiniletee utando wako wa makalio humu......Stress zako za maisha usiniletee hapa,samahani sana Dada nimeshaoa mke wa pili sitaki naona unatafuta mume kwanguvu sana, utachezewa uachwe shauri yako ila shobo zako kwangu sitaki.Wewe james Delicious unawashwawashwa hadi huku
Ukweli ni kwamba pamoja na uzuri wao hawamfikii Chris Smalling unless tuwe na chuki binafsi dhidi Smalling.Hawa wote sio mabeki wabaya kihivyo wakiwa wako fit shida yao kubwa wanajitupia sana kichwa kichwa bila kutumia akili ndo maana wanaumia mara nyingi
Mtachanganyikiwa sana, bado wengine wawili wanakuja (hahahahahahaha nacheka kama mazuri)Game ya kwanza vs Chelsea
Maguireeeeeeeeeee gooooooooaaal
it's OWN GOAL(in Peter Dury voice)
90'min
Manchester united 0 Chelsea 1
![]()