Tanayzer
JF-Expert Member
- Apr 13, 2017
- 3,005
- 7,383
Yes we got the money to spend, timu yenu usajili dhahabu basi tuone
Mnamwaga pesa kwa mabomu
Mnamwaga pesa kwa mabomu
Kuna aina mbili za mabeki wa kati. Kuna beki kiongozi na Beki mpambanaji (Dog Fighter). Ili timu iwe vizuri inahitaji kuwa na mabeki wenye hizo sifa. Beki mpambanaji ana kazi ya kuhakikisha anashiriki katika kukaba hatari zote za mwanzo na beki kiongozi kazi yake ni kuziba pengo litakapojitokeza na kupanga timu. Rojo, Baily, Johns hawa ni mabeki wapambanaji hivyo ukiwapanga pamoja tegemea maumivu kwa kuwa wote watakimbilia kukaba na hakuna wa kuziba nafasi. Smalling ni beki kiongozi role yake ni tofauti kabisa na hao wengine.Ukweli ni kwamba pamoja na uzuri wao hawamfikii Chris Smalling unless tuwe na chuki binafsi dhidi Smalling.
Ameshalisema hili kuwa Dalot atapewa majukumu mengine uwanjani ukizingatia his versatility.Dalot kasajiliwa kama Beki 2 lakini yule dogo naona kama ana uwezo wa kucheza position nyingi ikiwemo winga kwa kuwa ana uwezo wa kumiliki mpira. Kwa kuwa yupo AWB beki 2 ni vyema kocha aangalie nafasi nyingi ya kumtumia Dalot kwa baadhi ya mechi dogo ana potential kubwa sana
Labda Martial, Rash hakuna kituRashford akiacha utoto na Martial akaacha ubishoo ni madogo hatari sana wana uwezo mkubwa sana wa kucheza kama wings au washambuliaji wa kati. Inabidi kocha awe mkali sana na wapatiwe ushauri
Acha ndio na utoke umu iv bila man u amuishi
Nenda jukwaa lako la arsenal
Kwa iyo munamfananisha uyo magwaya na beki bora duniani VVD?? huh!!Miaka miwili iloyopita mliwacheka liverpool waliomwaga 75m kwa Vvd. Wakati huo hana jina na alikuwa south ampton. Leo ndio beki bora dunian
Hakuna chuki binafsi.Ukweli ni kwamba pamoja na uzuri wao hawamfikii Chris Smalling unless tuwe na chuki binafsi dhidi Smalling.
Huo muda wa kusubiri waache utoto unao?Rashford akiacha utoto na Martial akaacha ubishoo ni madogo hatari sana wana uwezo mkubwa sana wa kucheza kama wings au washambuliaji wa kati. Inabidi kocha awe mkali sana na wapatiwe ushauri
Kwa iyo munamfananisha uyo magwaya na beki bora duniani VVD?? huh!!
Dalot is more off attacking than defending back. Na sito shangaa akibadilishwa kuwa winga. Maana hata bale alianza kama beki wa kushoto kabla ya kuwa wingerAmeshalisema hili kuwa Dalot atapewa majukumu mengine uwanjani ukizingatia his versatility.