Hata ya Maguire si mlisema itakamilika within 48 hrs?

'UNITED AGREE FERNANDES FEE'
Manchester United
have agreed a fee of close to £70m for Sporting Lisbon midfielder Bruno Fernandes, according to Sport.
Apparently the Portugal international’s move to Old Trafford could be confirmed in the next 48 hours.
 
Kwan huyo lukaku si ameflop msimu mmoja tu, unakumbuka msimu wa 2017/2018 alivyokuwa akitupia magoli. Ngoja wamuuze lukaku wabaki na rashidi, tutaelewana tu.
Lukaku nahisi anataka acheze kwa ku relax. Timu zenye pressure zinamshinda. Msimu wa kwanza Man Utd alitumia ngivu nyingi mno atleast kuwa prove watu wrong msimu wa pili akarelax ndio maana ame flop mno.

Wote ni wachezaji wazuri ila Lukaku ni swala la pszchology tu kujua tatizo ni nn huyu Dybala ni machine nyingine.
 
Kwanini wanachomoa kuuza club kwani ni yao kumamazao hao si waliikuta watuachie klabu yetu bana maana si kwa mateso haya tunayopatA....
Kitu kama kilishanunuliwa ni mali ya huyo aliekinunua kwa maana ya kwamba huwezi mpangia atachoamua

Makosa ilikuwa kuwauzia timu hao Glazers family, bora hata wangeuziwa wachina au matajiri wowote kutoka Asia
 
Hawajainunua Ghafla bin vu, walinunua share kidogo kidogo mpaka wakawa Monopoly,
 
Lukaku nahisi anataka acheze kwa ku relax. Timu zenye pressure zinamshinda. Msimu wa kwanza Man Utd alitumia ngivu nyingi mno atleast kuwa prove watu wrong msimu wa pili akarelax ndio maana ame flop mno.

Wote ni wachezaji wazuri ila Lukaku ni swala la pszchology tu kujua tatizo ni nn huyu Dybala ni machine nyingine.
Siyo yeye tu, timu nzima ilipoteana, degea, pogba, matic,baily, mabeki wa kati except lindeloef na hata washambuliaji wengine. Lukaku ni bonge la striker kama ukimtuliza na akapata huduma nzuri, na hilo dili la dybala, ni juve watakao faidika na siyo man u.
Huyo dybala atakuewa kama fred, dimaria na sanchez
 
Huko duniani hawajaamua tu ila wenye nazo wakiamua dakika sifuri tu huyo glazer timu anaitema hata kama ni mali yake pimbi huyo
Kitu kama kilishanunuliwa ni mali ya huyo aliekinunua kwa maana ya kwamba huwezi mpangia atachoamua

Makosa ilikuwa kuwauzia timu hao Glazers family, bora hata wangeuziwa wachina au matajiri wowote kutoka Asia
 
Siyo yeye tu, timu nzima ilipoteana, degea, pogba, matic,baily, mabeki wa kati except lindeloef na hata washambuliaji wengine. Lukaku ni bonge la striker kama ukimtuliza na akapata huduma nzuri, na hilo dili la dybala, ni juve watakao faidika na siyo man u.
Huyo dybala atakuewa kama fred, dimaria na sanchez
Mkuu hiyo ni win-win business. Kule Lukaku anaenda kuwaongezea nguvu kina Ronaldo na Moise Kean huku nyie mnakuja kufaidika na maudambwi dambwi ya kiArgentina hasa akicheza nyuma ya striker. Wakina Lingard ndio washashindwa kazi.
 
MAN U kwenye soko la usajiri mnalipuliwagwa,

Sky Italy: Lazio waiting for official offer from Manchester United for Sergej Milinkovic-Savic. They want €90m for 24-year-old Serbian midfielder
Screenshot_2019-07-28-23-32-44.jpeg
 
Huyo na bruno nani bora? Pesa mingi sana hiyo
Sms ni clone ya Pogba, sio mzuri Kama Pogba lakini in reality Kama Pogba Anaondoka Huyo ndio replacement inayo make sense.

Bruno ni Kama Paul Scholes anayejua kushambulia, Maarufu Sana kwa Mashuti ya mbali, anafanya tackilling Sana, anapiga cross nzuri na pasi ndefu, Kama Kuna kiungo mkabaji mzuri anaweza kucheza na Pogba ama SMS pamoja.
 
Back
Top Bottom