Kabisa mkuu, Everton wapo serious sana sasa hiviBila kusahau Everton msimu uliopita wamespend kushinda Man U. Wao wanatafuta Top 4 na sio kushuka daraja, Timu inayospend zaidi ya 100m sio ya kushuka daraja.
Khalidou KouliballySijui ni kwanini but sioni kama Maguire ni upgrade kubwa kwa CBs tulionao.
Offcourse tunahitaji centerback wa kuwaongoza vichwa panzi(kimpira) tulionao.
Hao kina ndombele, Ndidi wanafanya nini mbona tunawaangalia tu? Tunahangaika tu na vikina longstaff sijui vya kazi ganiNaungana na wewe mkuu..tunahitaji namba sita mkali kuliko kitu chochote..
Tatizo lake ni hadi aamueMkuu Paul asiondoke aisee. Star wengi wanashine kutegemea ubora wa kikosi alichomo. Jamaa linajua na utalipenda km timu nzima iko njema. Ni aina ya wachezaji ambao anaweza kukunyanyua kitini
Kwa koulibally hata hela ikiwa kubwa sawa tu. Hao kina Maguire viwango vyao vipo kwenye vyombo vya habari tuUmtiti yuko vizuri, ninamuhofia kwamba ni mtu wa majeruhi sana
United wapo serious na muingereza (sijui ile ni timu ya taifa ya uingereza) Maquire kwenye beki ya Kati kuliko Umtiti
Pia Koullibally tunamtaka, changamoto ni kwamba Napoli wamepanga bei ya kutukomoa
Hili lizee hata tusilisikilize siyo Mara ya kwanza kuropoka hivyo na mwisho Wa siku likaja vizia mchezaji Mkubwa dk za majeruhi na hatimae kushindwa au kuleta third au fourth targets
Everything is possible..tumekuwa kama wendawazimu these days..Hivi ni kweli Man U watasaini na Rashford mkataba Wa malipo ya £ 300,000 kwa wiki ili asiondoke mbona kama ni utani hivi?
DaaahEverything is possible..tumekuwa kama wendawazimu these days..
Huyu jamaa si kama united walijitoa kweny signing raceKwa koulibally hata hela ikiwa kubwa sawa tu. Hao kina Maguire viwango vyao vipo kwenye vyombo vya habari tu
Timu imefika pabaya asee mi mwenyewe nimeshangaa sana.Hivi ni kweli Man U watasaini na Rashford mkataba Wa malipo ya £ 300,000 kwa wiki ili asiondoke mbona kama ni utani hivi?
Mhuuu pengine ni media tu wakuu,kwa kipi alichokifanya yule dogo hadi apewe mshahara Wa hivo. Yaani rashford hata kumpa 150 kwa sasa ni matumizi mabaya ya hela,bado hajaonyesha kama ana thamani hiyo. Wakimpa hata 200 kwa wiki basi Herrera alitakiwa apewe mia nne. Mana Herrera alitaka hyo mia mbili watu macho yakawatoka hadi wakamwambia kama ndo hvo milango iko wazi unaweza kuondokaTimu imefika pabaya asee mi mwenyewe nimeshangaa sana.
top player gani ataenda kucheza europa?? ukipata jibu hapo utapata jibu la swali lako.Nadhani kwa wanaojua kwanini rebuild ya man utd imeegemea zaidi kwa waingereza anaweza kutusaidia. Labda ni kwa sababu za kibiashara zaidi au kuna lingine?
Tunakumbatia wachezaji average sana halafu wanatuambia REBUILD my foot!
Mkuu timu yetu inafaa wachezaji wa uingereza/ulaya zaidi sababu ya hall ya hewa, Manchester kuna baridi Sana ndio maana wachezaji wa America kusini hawakai Sana pale.Nadhani kwa wanaojua kwanini rebuild ya man utd imeegemea zaidi kwa waingereza anaweza kutusaidia. Labda ni kwa sababu za kibiashara zaidi au kuna lingine?
Tunakumbatia wachezaji average sana halafu wanatuambia REBUILD my foot!