Manchester United (Red Devils) | Special Thread

kucheza kwetu ligi ya europa sidhani kama ndio sababu inayopelekea kushindwa kwetu kusajili wachezaji walio bora mpaka muda huu ukiachana na hadithi za financial fair play,
  • tatizo letu lipo kwa bwana ed woodward amekosa nguvu ya ushawishi kwa wachezaji, udhaifu wa ed woodward kwa kiasi kikubwa ulifichwa na makocha wenye uzoefu kama vile louis van gaal pamoja na jose mourinho, nyakati za moyes alishindwa kusajili mchezaji mwenye kiwango cha kueleweka.
  • pia bwana ole gunnar solskjaer naye pia anasumbuliwa na tatizo la kukosa ushawishi kwa wachezaji na hili limetokana zaidi na matokeo yake ya mwishoni mwa msimu ukiachana na udhaifu wa CV yake.
msimu wa kwanza wa jose mourinho tulifanikiwa kuwasajili zlatan ibrahimovic, eric bailly, henrik mkhitaryan pamoja na paul pogba na tulicheza europa league.

mourinho, ancelotti, guardiola, klopp, ferguson ni makocha wenye uwezo wa kumtumia mchezaji ujumbe wa tafadhali nipigie na hatimaye mchezaji akapiga mwenyewe haijalishi kwa salio la mkopo.

usiku wa ndoa tumewakutanisha mabikira wawili kwa wakati mmoja hivyo basi makungwi tuendelee kuwa wavumilivu mpaka alfajiri.
Kama ulisoma habari zilizopita Fergie alipropose welsh aje kuwa Dof wetu. Huyu jamaa alikuwa responsible kuitoa Chelsea toka timu ya mchangani mpaka kuchukua ubingwa, mind nyuma ya Mafanikio ya Mou akiscout wachezaji kama Drogba na Essien.

Hakuishia Hapo alivyoenda Leicester akaleta watu kama Mahrez, kante na Vardy kwa bei chee, walichofanya wote tunajua.

Akaenda Everton, ambapo amefeli na kufukuzwa lakini still alisajili watu kama Gueye kwa 8m tu, kina pickford etc

Jamaa kila anapoenda anajua kutafuta bargain zinazokuja kuwa wachezaji wazuri ama hata World class.

Pamoja na fergie kuwa na influence kwenye Timu woodward amekataa na hadi leo hakuna Dof, usajili utaisha watakuja tu wachezaji randomly wasio na identity yoyote.
 
Halafu angalau hizo hela wange invest kwenye youth system, viwanja na miundombinu mingine, wanalipa deni lao personal lisilohusiana na timu, hali ya kuwa deni la timu (ambalo nalo ni wao walioleta kwa kukopa kwa kutumia Asset za Man u) lipo vile vile.

Inauma sana timu yetu inavyodondoka, something must be done kusema kweli.
Haya kasikia malalamiko yenu
Screenshot_2019-06-26-13-44-34.jpeg
 
Halafu angalau hizo hela wange invest kwenye youth system, viwanja na miundombinu mingine, wanalipa deni lao personal lisilohusiana na timu, hali ya kuwa deni la timu (ambalo nalo ni wao walioleta kwa kukopa kwa kutumia Asset za Man u) lipo vile vile.

Inauma sana timu yetu inavyodondoka, something must be done kusema kweli.
Tunaenda kuwa AC Milan!
 
That can’t be the case – the Glazers are not good for United and never have been…

Hopefully one day someone will see our message and act on it. The right person or group who will also put fans first.
 
kucheza kwetu ligi ya europa sidhani kama ndio sababu inayopelekea kushindwa kwetu kusajili wachezaji walio bora mpaka muda huu ukiachana na hadithi za financial fair play,
  • tatizo letu lipo kwa bwana ed woodward amekosa nguvu ya ushawishi kwa wachezaji, udhaifu wa ed woodward kwa kiasi kikubwa ulifichwa na makocha wenye uzoefu kama vile louis van gaal pamoja na jose mourinho, nyakati za moyes alishindwa kusajili mchezaji mwenye kiwango cha kueleweka.
  • pia bwana ole gunnar solskjaer naye pia anasumbuliwa na tatizo la kukosa ushawishi kwa wachezaji na hili limetokana zaidi na matokeo yake ya mwishoni mwa msimu ukiachana na udhaifu wa CV yake.
msimu wa kwanza wa jose mourinho tulifanikiwa kuwasajili zlatan ibrahimovic, eric bailly, henrik mkhitaryan pamoja na paul pogba na tulicheza europa league.

mourinho, ancelotti, guardiola, klopp, ferguson ni makocha wenye uwezo wa kumtumia mchezaji ujumbe wa tafadhali nipigie na hatimaye mchezaji akapiga mwenyewe haijalishi kwa salio la mkopo.

usiku wa ndoa tumewakutanisha mabikira wawili kwa wakati mmoja hivyo basi makungwi tuendelee kuwa wavumilivu mpaka alfajiri.
Hahaaah
 
Ole anatiatia tu huruma..nothing big to expect from him
 
Kama ulisoma habari zilizopita Fergie alipropose welsh aje kuwa Dof wetu. Huyu jamaa alikuwa responsible kuitoa Chelsea toka timu ya mchangani mpaka kuchukua ubingwa, mind nyuma ya Mafanikio ya Mou akiscout wachezaji kama Drogba na Essien.

Hakuishia Hapo alivyoenda Leicester akaleta watu kama Mahrez, kante na Vardy kwa bei chee, walichofanya wote tunajua.

Akaenda Everton, ambapo amefeli na kufukuzwa lakini still alisajili watu kama Gueye kwa 8m tu, kina pickford etc

Jamaa kila anapoenda anajua kutafuta bargain zinazokuja kuwa wachezaji wazuri ama hata World class.

Pamoja na fergie kuwa na influence kwenye Timu woodward amekataa na hadi leo hakuna Dof, usajili utaisha watakuja tu wachezaji randomly wasio na identity yoyote.
Niliona hii habari nikaconclude kuwa Ed Woordward anatuharibia timu uwanjani..
 
Nshawahi kusema mchawi wa Man Utd ni edo. Ni mwanga aliyetumwa kuroga sijui shida iko wapi. Nasapoti #Graizerout# kwa sabb moja tu.

Wao ndio wangemuogoza Edo...tena wanasikia kilio chetu kilasiku wamenyamaza wanamuona edo kwa anamaana
 
Hapo kwen
kucheza kwetu ligi ya europa sidhani kama ndio sababu inayopelekea kushindwa kwetu kusajili wachezaji walio bora mpaka muda huu ukiachana na hadithi za financial fair play,
  • tatizo letu lipo kwa bwana ed woodward amekosa nguvu ya ushawishi kwa wachezaji, udhaifu wa ed woodward kwa kiasi kikubwa ulifichwa na makocha wenye uzoefu kama vile louis van gaal pamoja na jose mourinho, nyakati za moyes alishindwa kusajili mchezaji mwenye kiwango cha kueleweka.
  • pia bwana ole gunnar solskjaer naye pia anasumbuliwa na tatizo la kukosa ushawishi kwa wachezaji na hili limetokana zaidi na matokeo yake ya mwishoni mwa msimu ukiachana na udhaifu wa CV yake.
msimu wa kwanza wa jose mourinho tulifanikiwa kuwasajili zlatan ibrahimovic, eric bailly, henrik mkhitaryan pamoja na paul pogba na tulicheza europa league.

mourinho, ancelotti, guardiola, klopp, ferguson ni makocha wenye uwezo wa kumtumia mchezaji ujumbe wa tafadhali nipigie na hatimaye mchezaji akapiga mwenyewe haijalishi kwa salio la mkopo.

usiku wa ndoa tumewakutanisha mabikira wawili kwa wakati mmoja hivyo basi makungwi tuendelee kuwa wavumilivu mpaka alfajiri.
kwenye makungwi umenichekesha..
 
Back
Top Bottom