Masamila
JF-Expert Member
- Jun 22, 2014
- 6,505
- 7,465
Bora tununue hata huyo kuliko kukaa kwa tetesi kila siku.
Man U mshakuwa wanyonge siku hizi hahahahaha
Bora tununue hata huyo kuliko kukaa kwa tetesi kila siku.
Hata tukichukua makombe yote bado United inaudhi sana siku hizi.Yani hadi sasa hatujasajili mchezaji hata mmoja, halafu tuaambiwa eti kuna rebuild inafanyika.
Msimu ujao tusipo maliza nafasi ya kumi ni bahati.
Timu inaongozwa na CEO ambaye hajui chochote kuhusu Mpira....Van gaal kamwanga nyongo juzi, https://www.google.com/amp/s/www.standard.co.uk/sport/football/manchesterunited/man-utd-louis-van-gaal-jose-mourinho-tactics-ed-woodward-knows-zero-about-football-a4157571.html?amp
Neymar tatizo lake ni kuendelea kuwa mtoto japo alishavuka hiyo hatuaNeymar ni kama ana mkosi wa asili
Alipigwa goti la mgongoni na christian Zapata akashindwa kucheza semi finalSorry ni 2014,aliumia pia kwenye hayo mashindano.
Haitakuja kutokea yule akawa mshindi wa ballon d orKabsa..ni pancha yule jamaaa..na lengo lake ilikua ni kubeba B'..d'or kitu ambacho ni kama hakiwezekani tena
Asante boss.Alipigwa goti la mgongoni na christian Zapata akashindwa kucheza semi final
Anajiendekeza tu.Neymar ni kama ana mkosi wa asili
nidhamu ya soka inamuharibia Neymar future yake..... Majeruhi ya wachezaji wakati mwengine yanahusishwa na anasa na kutozingatia mazoezi na kuwa psychological unfit....Neymar bata sana zinafanya mwili ushindwe kurespond ipasavyo ndo maana unaambiwa wachezaji wakubwa inabidi wacontrol Sana maisha na nyenendo zaoNeymar tatizo lake ni kuendelea kuwa mtoto japo alishavuka hiyo hatua
Absolutely YesDaniel James medical at Carrington, today
First signing?
Nilimkubali before ila kwa sasa naona huwa anachelewesha ubingwa tu brazil nikipewa yeye na deogratius costa bora nimchukue costaNeymar ni kama ana mkosi wa asili
Nani yupo mbele kwenye kuajiri technical staff??Hakuna uhusuiano wowote wa wa position ya CEO na kujua mpira.
Hakuna uhusiano wowote wa CEO na vipaji vya wachezaji kupanda au kushuka.
Hakuna uhusiano wowote wa CEO na Benchi la ufundi.
CEO wa Liverpool ni Peter Moore hakuwahi Kucheza mpira, kuujua mpira, wala hakuwahi kujishughulisha na Chochote kinachohusu mpira kabla ya kuteuliwa CEO na Liverpool mwaka 2017.
Ni mfanya biashara tu na si vyenginevyo! Kutokujua kwake mpira hakuhusiani na Vipaji vya Kina Mane, Salah, VVD and co.
Kwa historia Yake fupi unaweza hata ukapitia hapa → https://en.m.wikipedia.org/wiki/Peter_Moore_(businessman)
Na hawa CEO wa timu nyingi huteuliwa/Huajiriwa kwa taaluma za Kibiashara na si kwa kujua mpira kwani Mpira ni biashara, na cheo cha CEO ni cha kibiashara kusimamia mapato ya timu.
Narudia tena kuboronga/Kuporoka Vipaji kwa Wachezaji ni Poor coaching and Management kwa kocha.
Ni jambo la ajabu kumlaumu Woodward na kusema hajui mpira kwa Kushuka kiwango Martial au Pogba!! Ed anahusikaje na vipaji vya wachezaji? Is he Coach? Psychologist?
Huwezi kusema Ed hajui mpira wakati yeye ni Mfanya biashara! Hata kama ataondoshwa leo hii, basi mwengine atakayepewa nafasi si Cantons wala Dwight Yorke bali ni Mfanya biashara mwengine mwenye uwezo wa kumanage Business in best way kuingiza more profits, na si kuajiri mjuzi wa Mpira.
Sawala la kutoa hela za kunulia Wachezaje ni Chairman ndiye anayehusika kwa 100% na si only Ed kama watu wanavyojiaminisha.
Hivi Chairman/Mmiliki atenge Budget ya £300m kwa ajili ya Wachezaji then Ed anaoubavu wa kusema hatozitoa? Aende nazo wapi?
Sasa Kama Chairman/Mmiliki katoa £150m kwa ajili ya usajili, Ed afanyeje unadhani? Atatumia alichopewa.
Lazima watu wafahamu na kueka mipaka majukumu ya CEO na Technical Staffs.
nidhamu ya soka inamuharibia Neymar future yake..... Majeruhi ya wachezaji wakati mwengine yanahusishwa na anasa na kutozingatia mazoezi na kuwa psychological unfit....Neymar bata sana zinafanya mwili ushindwe kurespond ipasavyo ndo maana unaambiwa wachezaji wakubwa inabidi wacontrol Sana maisha na nyenendo zao
Huu usajili wa James unashindwa kuamua ama ufurahie au ukasirike zaidi,ila kuna tetesi kuwa bruno fernandez naye atatangazwa baada ya michuano ya ulaya kuisha.
CEO ana nguvu sana katika mafanikio ya soka ya timu husika na ni muhimu sana kuwa mtu wa mpira (sijasema mchezaji wa zamani wa mpira)Hakuna uhusuiano wowote wa wa position ya CEO na kujua mpira.
Hakuna uhusiano wowote wa CEO na vipaji vya wachezaji kupanda au kushuka.
Hakuna uhusiano wowote wa CEO na Benchi la ufundi.
CEO wa Liverpool ni Peter Moore hakuwahi Kucheza mpira, kuujua mpira, wala hakuwahi kujishughulisha na Chochote kinachohusu mpira kabla ya kuteuliwa CEO na Liverpool mwaka 2017.
Ni mfanya biashara tu na si vyenginevyo! Kutokujua kwake mpira hakuhusiani na Vipaji vya Kina Mane, Salah, VVD and co.
Kwa historia Yake fupi unaweza hata ukapitia hapa → https://en.m.wikipedia.org/wiki/Peter_Moore_(businessman)
Na hawa CEO wa timu nyingi huteuliwa/Huajiriwa kwa taaluma za Kibiashara na si kwa kujua mpira kwani Mpira ni biashara, na cheo cha CEO ni cha kibiashara kusimamia mapato ya timu.
Narudia tena kuboronga/Kuporoka Vipaji kwa Wachezaji ni Poor coaching and Management kwa kocha.
Ni jambo la ajabu kumlaumu Woodward na kusema hajui mpira kwa Kushuka kiwango Martial au Pogba!! Ed anahusikaje na vipaji vya wachezaji? Is he Coach? Psychologist?
Huwezi kusema Ed hajui mpira wakati yeye ni Mfanya biashara! Hata kama ataondoshwa leo hii, basi mwengine atakayepewa nafasi si Cantons wala Dwight Yorke bali ni Mfanya biashara mwengine mwenye uwezo wa kumanage Business in best way kuingiza more profits, na si kuajiri mjuzi wa Mpira.
Sawala la kutoa hela za kunulia Wachezaje ni Chairman ndiye anayehusika kwa 100% na si only Ed kama watu wanavyojiaminisha.
Hivi Chairman/Mmiliki atenge Budget ya £300m kwa ajili ya Wachezaji then Ed anaoubavu wa kusema hatozitoa? Aende nazo wapi?
Sasa Kama Chairman/Mmiliki katoa £150m kwa ajili ya usajili, Ed afanyeje unadhani? Atatumia alichopewa.
Lazima watu wafahamu na kueka mipaka majukumu ya CEO na Technical Staffs.
Aisee nilikuwa nataka kumjibu nikasema ngoja nipitie comment ili nione kama kuna mtu amejibu au wote wameridhika na uchambuz wake,umemjibu vile vile ambavyo nilitaka kumjibu, tatizo la Edwoord ni kufanya kazi zinazohtaji professional ya mpira, inyaoumia in coaching management, mana ndo inatakuwa kutoa endproduct, kocha anaangalia uwanjani yeye CEO anaangalia business, mtu wa kulink hvi vitu ni Sporting director ambaye hayupo,Ila CEO ndo anafanya kaz hyo wakat ni zero kwenye football, kwa vyovyote vile lazma kocha uchengane na gari la mshahara,.....King Ngwaba kwenye andiko lako hapo juu kwa nini hujamtaja michael edwards anayehudumu nafasi ya sporting director wa liverpool.
je wajua ya kwamba man utd hawana sporting director/ director of football na mchakato wa kumtafuta director of football umeshachukua takribani miezi 8 na bado hajapatikana DOF?
tafsiri yake ni kwamba kazi zote zinazoihusu klabu upande wa sekta ya fedha na hata sera na mikakati ya uwanjani msimamizi mkuu ni ed woodward tofauti na liverpool na tatizo ndio lipo hapo kwa sasa.
zamani tulikuwa na david gill kama CEO ambaye hakucheza soka lakini tulikuwa na manager mwenye nguvu na anayefahamu anachokifanya kwenye marketing hatimaye kazi kubwa ya david gill ikabaki kwenye ishu za ndani za uendeshaji wa klabu.
naamini huwezi kuzungumzia mafanikio ya liverpool bila ya kumtaja michael edward, liverpool katikati ya msimu mumefanya biashara nzuri ya kumuuza solanke kwa paundi millioni 19, coutinho kwa zaidi ya paundi millioni 90, juzi mumeamua kuachana na daniel sturridge na alberto moreno.
kuna mchezaji yeyote muliyemsajili miaka ya karibuni akashindwa kuendana na falsafa na misingi ilioanzishwa na klopp klabuni kwenu?
kwa manchester united hali ni tofauti bwana CEO anamuondoa louis van gaal muumini wa total football anamleta jose mourinho muumini wa kuweka ukuta. hii ina maana ya kwamba kila kocha anayewasili huasisi mfumo mpya wa kiuchezaji anaouamini yeye huku misingi ya man utd iliojengwa kwa miaka 26 ikizikwa rasmi kwa kufanya panic transfers baadhi ya nyakati.
bwana X anamsajili fellaini hatimaye bwana Y akija anasema fellaini hanifai.
bwana X anamsajili memphis depay hatimaye bwana W anamuondoa.
bwana Y anamsajili lukaku hatimaye bwana Z akija anasema rashford ni bora kuliko lukaku.
bwana X anamtaka perisic bwana CEO anasema perisic simuhitaji kwa sababu hana mvuto ni bora sanchez
bwana Z anasema martial hanifai bwana mwenyekiti anasema martial ndiye pele wetu mweusi.
bwana W anahitaji mlinzi wa kati hatimaye bwana CEO anamleta kwanza fred the red.
View attachment 1119493
Hahahahaha, ila kweli wakati mwingine naona ni bora kuwekeza kwa Tahith Chong kuliko huyu swala

Eti swalaHahahaha. Siioni tofauti yake na ChongEti swala
Mkuu bado unapenda usajili wa Galacticos
Chong anahitaji angalau msimu 1 au 2 aende mkopo japo hata akibaki klabuni na kupata mechi kadhaa sio mbaya