Eti swala

Mkuu bado unapenda usajili wa Galacticos

Chong anahitaji angalau msimu 1 au 2 aende mkopo japo hata akibaki klabuni na kupata mechi kadhaa sio mbaya
Nilaangalia Jana mechi mbili ambazo Tahith Chong alikuwa anacheza so aggressive and so creative sasa kumletea huyu swala itambana tu .

Mbona Barcelona walimwamini Messi akiwa 17 tu ?
 
Hahahaha. Siioni tofauti yake na Chong
Daniel James ana potential ya kuwa mchezaji mzuri sana

Kung'ara championship sio mchezo, ile ligi ni ngumu halafu mabeki wapo very agressive

Cha msingi tufahamu kwamba kusajili mchezaji yoyote wa miaka chini ya 21 ni gamble na ndio maana Jose alikuwa anapenda proven players

Cha msingi tusajili na wachezaji wengine tusiishie kwa akina Daniel James tu
 
Nilaangalia Jana mechi mbili ambazo Tahith Chong alikuwa anacheza so aggressive and so creative sasa kumletea huyu swala itambana tu .

Mbona Barcelona walimwamini Messi akiwa 17 tu ?
Kuhusu Messi, Ronaldo, Pele, Rooney, Neyamar ni exceptional cases mkuu
 
Yeah.
Naona tetesi za Fernandez kusajiliwa jumapili pamoja na Rabiot tusubiri tuone
Daniel James ana potential ya kuwa mchezaji mzuri sana

Kung'ara championship sio mchezo, ile ligi ni ngumu halafu mabeki wapo very agressive

Cha msingi tufahamu kwamba kusajili mchezaji yoyote wa miaka chini ya 21 ni gamble na ndio maana Jose alikuwa anapenda proven players

Cha msingi tusajili na wachezaji wengine tusiishie kwa akina Daniel James tu
 
Huu usajili wa James unashindwa kuamua ama ufurahie au ukasirike zaidi,ila kuna tetesi kuwa bruno fernandez naye atatangazwa baada ya michuano ya ulaya kuisha.
usajili wa kweli unapaswa uanzie kwa huyo bwana bruno fernandez.
kama tungelikuwa ni waumini wa pressing style basi huyo swala james angelitufaa sana​

tuachane na hizi habari za ujio wa wachezaji wapya watakaowasili klabuni, hivi hawa vilaza wetu kama vile matteo darmian, ashley young, phil jones, marcos rojo, jesse lingard, mata, alex sanchez tutamuuzia nani?

wenzetu liverpool wameshasafisha mtaro wao kwa kumuondoa daniel sturridge na albert moreno pia huenda wakamuuza nathaniel clyne
 
usajili wa kweli unapaswa uanzie kwa huyo bwana bruno fernandez.
kama tungelikuwa ni waumini wa pressing style basi huyo swala angelitufaa sana​

Yaani hawa vilaza ndo wanaoniboa zaidi aisee..sitaki hata kuamini kwamba msimu ujao bado tutakuwa nao
 
Naamini tukinunua wachezaji wa kutosha nafasi zikaenea vizuri,hata kwa mkopo tutawatoa tu.
Kesi yangu mimi ni rashford kuwa main target kwenye mashambulizi,nitaumia balaa.
 
Yaani hawa vilaza ndo wanaoniboa zaidi aisee..sitaki hata kuamini kwamba msimu ujao bado tutakuwa nao
huwezi kukimbilia kujaza wachezaji klabuni haliyakuwa waliopo hwajapata sehemu ya kujisitiri, kufanya hivyo ni kuongeza kiwango cha gharama za matumizi ya mishahara.

huwezi kukimbilia kumnunua wan bissaka au mounir haliyakuwa hufahamu mustakabali wa matteo darmian, kama ataondoka itakuwa ni faida kubwa sana kwa sababu gharama zake za huduma zitahamia kwa mchezaji mwengine.

inter milan wanahitaji kwanza kumuondoa mauro icardi ndipo watafute mbadala wake kati ya lukaku au edin dzeko, ndio maana wapo tayari kufanya swap deal mbele ya man utd au AS Roma.

juventus wanavutiwa na huduma ya pogba lakini wapo tayari kutupa dyabala na mchezaji mwengine kwa mujibu wa taarifa.
real madrid kama kawaida yao wanafanya biashara ya ununuzi kwanza then ndio watafanya biashara ya kuuza,ujio wa hazard, jovic, mendy na wengineo utaondoka na bale, james rodriguez, navas na wenngineo.

barcelona wameganda kwenye usajili wa antoine griezmann, unamleta griezman na de ligt lakini umtiti, coutinho, dembele, rakitik, malcom, vermaelen bado wamegoma kuondoka na release clause ni kubwa.
ina maana gharama za mishahara zitaongezeka klabuni kwao kama wote watakusanyika kwa pamoja.

ukija kwetu ni nani anayemuhitaji sanchez?​
 
Ed Woodward has nothing to do with their flop.. Only poor management and coaching ndiyo vilivyofanya waflop.
Mashabiki wa Manchester United tumekumbwa na ugonjwa wa Upofu hatujui nini tunataka ... Mpaka sasa hatujui sababu ya kuyumba timu ni nini :

Kuna muda mizigo aliangushiwa Paul Labine Pogba "Pogdance", wengine wakawatuhumu wakina rashford... Masikini ya mungu jamaa yangu Lukaku akatupiwa mzigo nae pia... Wengine wanamtumpia lawama Mkurugenzi Ed Woodward mpaka katika kushuka kwa viwango vya wakina Sanchez.. Hiki ni kichekesho...

Niliwahi kuandika humu labda kwa ambao ni wageni mnaweza fukua makaburi.. Nilisema tangu ujio wa Mou kuwa yeye ndio atakaekuja kuiua united despite mafanikio atakayopata united.. Ukimuondoa Van Gal Mou alikosa hata mikakati ya timu kwa miaka miwili ijayo ... Van Gal ndio aliwaibua wakina rashford, Paddy macnaire n.k ambao wamekuja kuuzwa na kushushwa kiwango na mou ...

Mbaya zaidi mou kaacha kaigawa timu kwa mashabiki .. Haijwahi kutokea mashabiki wa Manchester united washinikize wachezaji wao wauzwe .. Tumewahi kuwa na wachezaji wa viwango vya kawaida zaidi ya Pogba ila hatukuwahi kusikia mashabiki wanashinikiza waondoke .. Hii mbegu aliipanda mou .. Watu wakubali wakatae...

Nina mengi ya kusema ila nawaomba tu mashabiki zangu ukiichukulia Manchester united na changamoto zake kwa kuziegemeza kwa ED unaweza dhani timu ina matatizo nafuu, .. United Ina changamoto kubwa zaidi ya ED...

Tatizo la Manchester limeaNzia kwa Mou, najua wadau wa mou mtaniambishambulia... Pili kubadilika kwa sera za usajili , kusajili mastaa ambao walikuwa chini ya kocha muhuni alieshindwa kuishi nao ...
 
Hahaha hao ndiyo Wanapaswa kuondoka kabla ya kuanza kukusanya maana ukimuangalia Darmian, Rojo na Phil Jones msimu wa tatu sasa hawajawahi kucheza zaidi ya mechi mbili mfululizo
usajili wa kweli unapaswa uanzie kwa huyo bwana bruno fernandez.
kama tungelikuwa ni waumini wa pressing style basi huyo swala angelitufaa sana​

tuachane na hizi habari za ujio wa wachezaji wapya watakaowasili klabuni, hivi hawa vilaza wetu kama vile matteo darmian, ashley young, phil jones, marcos rojo, jesse lingard, mata, alex sanchez tutamuuzia nani?

wenzetu liverpool wameshasafisha mtaro wao kwa kumuondoa daniel sturridge na albert moreno pia huenda wakamuuza nathaniel clyne
 
Anatokea wp?
swansea city
1119583
 
Back
Top Bottom