Rajab_Omar
JF-Expert Member
- May 15, 2016
- 16,481
- 27,185
Kwahiyo flop ya Hao wachezaji ni Ed Woodward??
Ed Woodward has nothing to do with their flop.. Only poor management and coaching ndiyo vilivyofanya waflop.
Kwahiyo flop ya Hao wachezaji ni Ed Woodward??
Makocha si wapo wamezagaa jaman , tafuteni kocha basi mzuri aje awarudishe kwenye peak....sidhan kama United inaweza kosa kocha inayemtaka .....Timu haina dira afu unasingizia kocha....!!Ed Woodward has nothing to do with their flop.. Only poor management and coaching ndiyo vilivyofanya waflop.
Kivipi mkuu?Neymar ni kama ana mkosi wa asili
Kaumia tena, ataikosa Copa America.Kivipi mkuu?
Kapata Ankle injury jana kweny mech ya kirafiki dhidi ya katari na atakosa kbs mashindano ya Copa America...yan amekua akiunga unga sana kushiriki kweny mashindano makubwa mana ndy sehem anataka kuonekanaKivipi mkuu?
DAH!! (UEFA, WORLD CUP 2014,COPA AMERICA).. Huu kweli mkosi.Kaumia tena, ataikosa Copa America.
Hata thamani yake itakuwa inashuka kwa majeruhi haya.Kapata Ankle injury jana kweny mech ya kirafiki dhidi ya katari na atakosa kbs mashindano ya Copa America...yan amekua akiunga unga sana kushiriki kweny mashindano makubwa mana ndy sehem anataka kuonekana
World cup 2016DAH!! (UEFA, WORLD CUP 2016,COPA AMERICA).. Huu kweli mkosi.
2016 world cup Neymar alicheza..DAH!! (UEFA, WORLD CUP 2016,COPA AMERICA).. Huu kweli mkosi.
Sorry ni 2014,aliumia pia kwenye hayo mashindano.2016 world cup Neymar alicheza..
2014.World cup 2016
Teh
Ninaweza kubisha ila sina fact kuhusu Wc 2016 lilichezwa wapi. Nikipata nakuita tubishane.Absolutely
Nikajua utabisha ...Code:blue colour
Kabsa..ni pancha yule jamaaa..na lengo lake ilikua ni kubeba B'..d'or kitu ambacho ni kama hakiwezekani tenaHata thamani yake itakuwa inashuka kwa majeruhi haya.
Teh ...Ninaweza kubisha ila sina fact kuhusu Wc 2016 lilichezwa wapi. Nikipata nakuita tubishane.
Bora tununue hata huyo kuliko kukaa kwa tetesi kila siku.Daniel James medical at Carrington, today
First signing?