Chipolopolo
JF-Expert Member
- Feb 14, 2012
- 1,432
- 746
Alisikika mlevi mmoja akisema...Mbwana Samata amenukuliwa akisema yupo tayari kuvaa viatu vya Lukaku.
Alisikika mlevi mmoja akisema...Mbwana Samata amenukuliwa akisema yupo tayari kuvaa viatu vya Lukaku.
Atakuwa flop kama tutaendelea kuwa na viungo waliokuwepo.Mbwana Samata amenukuliwa akisema yupo tayari kuvaa viatu vya Lukaku.
hahahaha mkuu nikipitiaga mawazo yako natamanigi kama niache kushabikia soka nihamie kwenye rugby tu.... Also Jovic to Madrid for Mil 70 is a done deal pending to medical hapo Madrid wametumia paun mil 120 kwa wachezaji wawili tu.... Edee militao kutoka Porto na Jovic bado hazard maybe bado naamini one midfielder hapo sisi tunatoa macho tu....big up bro....Liverpool FC wamethibitisha kuondoka kwa alberto moreno pamoja na daniel sturridge ifikapo mwishoni mwa mwezi huu.
picha hii haina uhusiano wowote na taarifa ya hapo juuView attachment 1117849
Tanayzer umemaliza kila kitu ,andiko lako limebeba dhima ya comment yangu hapo juu.hahahaha mkuu nikipitiaga mawazo yako natamanigi kama niache kushabikia soka nihamie kwenye rugby tu.... Also Jovic to Madrid for Mil 70 is a done deal pending to medical hapo Madrid wametumia paun mil 120 kwa wachezaji wawili tu.... Edee militao kutoka Porto na Jovic bado hazard maybe bado naamini one midfielder hapo sisi tunatoa macho tu....big up bro....
Tungekuwa na foitball director tungekuwa tunamatumaini kidogo ila toka mwaka jana mpaka leo huyo director hajapatikana na sidhan kama atapatikana
Let us cheer up our selves labda deals zetu zitakamilika tarehe 17 mwezi huu baada ya game za league of nations kuchua break fupi
Sasa kama wachezaji hawaitaki united unataka wafanyaje.. Hivi kwa akili yako mtu kama hazard anaweza kuacha kwenda Madrid ili aje united??... Anaweza kuja ila ni lazima mvunje pochi .. Hicho ndicho kimemfanya Herrera aondoke.. Alihitaji Pesa nono kwenye new contract ...Tanayzer umemaliza kila kitu ,andiko lako limebeba dhima ya comment yangu hapo juu.
liverpool wanavunja rasmi mahusiano na daniel sturridge ambaye msimu uliopita amecheza mechi 18 za ligi kuu ya uingereza huku kwetu man utd wanampa mkataba mpya phil jones ambaye msimu uliopita amecheza mechi 18 za ligi kuu ya uingereza.
tatizo si mechi sawa walizocheza bali jones na daniel sturridge ni ndugu wawili wasiojuana (majeruhi ya mara kwa mara kila msimu).
tofauti yao kubwa ni kwamba mmoja ameajiriwa sehemu ambayo uongozi wake una dhamira ya dhati kurudisha ubora wa taasisi yao na mmoja ameajiriwa ofisi ambayo uongozi wake bado unaamini kwa kutumia mbinu zile zile za kizamani licha ya kuelekea kushindwa wana uwezo wa kuirudisha kwenye kilele cha ubora taasisi yao.
timu inayombembeleza juan mata asaini mkataba mpya imepoteza muelekeo, arsenal wameachana aron ramsey, danny welbeck.
timu inayotumia wiki tatu kwa ajili ya kubembeleza usajili wa mchezaji mmoja wa daraja la kwanza imepoteza muelekeo.
timu inayomaliza msimu wa ligi kuu bila ya kuwa na target za uhakika imepoteza muelekeo.
hivi ulishawahi kusikia real madrid, man city, barcelona, bayern munich, juventus, psg kuvumishiwa kuwahitaji wachezaji takribani 60 kwa dirisha moja la usajili?
kama hoja ni umaarufu wa man utd unatumiwa vibaya na media ili kutengeza faida kupitia biashara zao hivi hao wengineo si maarufu?
madrid wamemdhamiria eder militao wamefanikiwa kumsajili katikati ya msimu, cha ajabu eder militao alivumishiwa kwanza kutakiwa na manchester united
madrid wamemdhamiria jovic wamefanikiwa kumsajili.
madrid wanaelekea kukamilisha usajili wa hazard muda wowote.
natamani madrid muda huu wamgeukie bruno fernandez badala ya pogba naamini watamsajili kuliko sisi.
man utd ndio timu inayoongoza kushindwa kufanikisha usajili wa target lengwa (target A) za kocha mkuu ndio maana kila kocha aliyeondoka ametoa malalamiko ya uendeshwaji mbovu wa klabu.
Yani hadi sasa hatujasajili mchezaji hata mmoja, halafu tuaambiwa eti kuna rebuild inafanyika.
Msimu ujao tusipo maliza nafasi ya kumi ni bahati.
Nafikiri man united imekosa futibol director ambaye Woodward anamtakahahahaha mkuu nikipitiaga mawazo yako natamanigi kama niache kushabikia soka nihamie kwenye rugby tu.... Also Jovic to Madrid for Mil 70 is a done deal pending to medical hapo Madrid wametumia paun mil 120 kwa wachezaji wawili tu.... Edee militao kutoka Porto na Jovic bado hazard maybe bado naamini one midfielder hapo sisi tunatoa macho tu....big up bro....
Tungekuwa na foitball director tungekuwa tunamatumaini kidogo ila toka mwaka jana mpaka leo huyo director hajapatikana na sidhan kama atapatikana
Let us cheer up our selves labda deals zetu zitakamilika tarehe 17 mwezi huu baada ya game za league of nations kuchua break fupi
😆😆😆😉Nafikiri man united imekosa futibol director ambaye Woodward anamtaka
Kama wamekosa huko Europe aje na afrika huenda akaridhishwa na CV ya Sunday Kayuni au Amy Ninje
Mkuu kuna watu wakazi sana wapo sehem ambayo man united ikienda hawawezi kataa ila je united inaprohect nzuri? Shida inaanzia hpa tunakosa wachezaji sababu ya project yetu mbaya na hatuwezi badilisha hyo project mpaka tuwapate watu sahihi katika vitengo sahihi (Football director na technical director) Au mpaka siku timu ionekane inapambana kushiriki Europa maana champions league itakuwa imeishaenda mbali na uwezo wetu.....Sasa kama wachezaji hawaitaki united unataka wafanyaje.. Hivi kwa akili yako mtu kama hazard anaweza kuacha kwenda Madrid ili aje united??... Anaweza kuja ila ni lazima mvunje pochi .. Hicho ndicho kimemfanya Herrera aondoke.. Alihitaji Pesa nono kwenye new contract ...
Ni rahisi sana kuongea
Kwanini uumie na wakati vizuri vipo hama timu mkuuInaumiza sana. Man united is gone
Kwanini uumie na wakati vizuri vipo hama timu mkuu