GenuineMan
JF-Expert Member
- Jun 13, 2017
- 7,068
- 16,381
Tatizo woodward anatafuta "yes man" ,Inashangaza sana unatafuta employee mmoja kwa miaka mitatu katika ulimwengu wa wasomi wengi na wanasoka mahili kama ulaya na usipate.
Aje hata tz tunao mafutibol director wazuri tu kina Salum madadi na kayuni na ninje
