Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

hahaha Club yao nayo imeshaingiliwa na mdudu anaitwa uzawa hahahhahahah


Lazima waisome namba halafu tatizo la Waingereza huwa hawajali athari za uzawa, wenyewe wanataka wazawa wapewe kipaumbele tu hicho ndiyo wanachojali
 
Football business inaelekea pabaya sana.
Kwa kiwango fulani release clauses are unconscionable terms to players
Agents are turning into player owners and therefore players are bound to follow whatever their agents wish.
Pana wakati Adidas walitaka kumvuta mess kwenda Man utd kwa mil200. Ikakata kimyakimya
 
kwa mtazamo wangu ni maamuzi ya ovyo yatakayofanywa na klabu endapo itafikia maamuzi ya kumuondoa romelu lukaku.
nafahamu kama jamaa ana udhaifu mkubwa sana kwenye umiliki wa mpira hususan first touch lakini cha kujiuliza man utd kama klabu imemsaidia vipi romelu lukaku aondokane na udhaifu wake?

mbona romelu lukaku huyu huyu mwenye touch mbovu kama simu ya kichina akiwa belgium anafunga magoli anavyojisikia?
  • tuna winga wa ovyo wasioeleweka kwa msimu wa pili tokea asajiliwe lukaku, hivi martial, rashford, lingard, sanchez wametengeneza nafasi ngapi za magoli msimu huu?
  • tukumbuke james maddison wa leicester city peke yake ametengeneza nafasi za magoli takribani 100 msimu huu je hao wa kwetu wote kwa pamoja wanafikisha nafasi 100 walizotengeneza msimu mzima na wanalipwa mishahara ya kufuru?
  • tuna walinzi wa pembeni wa ovyo sana kwenye utoaji wa huduma za mashambulizi kuliko timu kubwa yoyote, luke shaw, young, darmian, dalot wote hawa wanazidiwa na mlinzi mmoja tu wa liverpool wa pembeni either robertson au arnold alexander kwa utoaji wa huduma za mashambulizi, unategemea lukaku afanye nini?
  • akichoka paul pogba na viungo wote wamechoka, hivi herrera, matic, na fred wamempa mipira mara ngapi romelu lukaku kwenye eneo la adui msimu huu?
tusidanganyane jamani kwa timu tulionao romelu lukaku ndiye mchezaji pekee mwenye uhakika wa kukupa magoli 25 kwa msimu mzima kama utampa huduma zake anazostahili.

umuuze lukaku then umbakishe rashford kwa kigezo cha umri ni zaidi ya usengee, halafu una uhakika gani kama mshambuliaji ajaye ataendana na vishindo vya ligi ya uingereza kwa muda mfupi?

kama tutaurudisha nyuma umri wa ruud van nistelrooy basi sawa acha tufanye hivyo then tumsajili tena ndipo tumuondoe romelu lukaku.​

tumejificha kwenye udhaifu wake wa first touch huku tukijisahaulisha matatizo makubwa yanayotukabili kama timu, chicharito, inzaghi, diego millito walikuwa na touch mbovu mbona walikuwa wanafunga?
unacheza na rooney, scholes, giggs, berbatov, kaka, sneijder, pirlo, seedorf, nani walio kwenye ubora kwa nini usifunge?​

nyakati za sir alex ferguson tulikuwa na washambuliaji wanne kwa msimu mmoja, kuna ubaya gani endapo klabu itambakisha lukaku baadae watafute mshambuliaji mwengine wa kuongeza nguvu?
Umeongea kwa hisia sana.

Nakuunga mkono.

Dunia ya sasa washambuliaji ni ngumu sana kuwapata tena wale wenye kukuhakikishia magoli 20 na kuendelea.

Sioni sababu ya kumuuza Lukaku na kumuacha Lingard au Rashford.
 
Huyu ni nani mbn kama anajipendekeza hiv!!


Ajax striker Dillon Hoogewerf has confirmed he will join Manchester United this summer.
The 16-year-old rejected an offer of a professional contract from Ajax in favour of a move abroad and announced via his Instagram page that he is going to Old Trafford.
 
What kind of achievements are you talking about mate? Loosing every single final they have reached? Hugging and jumping on touch line like headless chicken?

Jurgen Klopp has responded to your sarcastic comment
IMG_5168.JPG
 
What kind of achievements are you talking about mate? Loosing every single final they have reached? Hugging and jumping on touch line like headless chicken?
Loosing every final, yeah. Jumping on touch with UCL in them hands now!
 
Back
Top Bottom