Hizi ndoto zako mbona hatari sana sidhani kama hao wachezaji wote watakuja United.mimi naamini Daniel James, Wan Bissaka, Matthijs de Ligt hizi dili tayari zimekamilika kinachosubiriwa ni statements za pande zote.
Bruno Fernandez hii dili ipo hatua za mwisho.
mimi naamini
Hizi ndoto zako mbona hatari sana sidhani kama hao wachezaji wote watakuja United.
Huenda Delight na James ikawa sawa ila hao wengine I doubt
tusubiri tuone itakuwaje maana haieleweki mpaka sasa kama woodward katoa mpunga au lah.MIMI NAAMINI
Ni Win- win situationMatthijs De Ligt inasemekana anataka kusajiliwa na man united lkn jambo linalo niuzi kuwa inasemekana anakuja kwa ajili ya kudevelope na wameona United ni sehem sahihi kwake kwa kudevelope kabla hajkwenda Spain hasa Barcelona.
Kwanza inaonyesha akienda kwa sasa Barcelona akitokea Ajax kama captain lkn akifika Barca ataenda kuishia mpasha joto benchi sabab Gerard Pique hayupo tayari kuiacha au kustaaf karibuni ndani ya Barca.
Pia anaenda united kwasabab Pique alikuwa developed united kabla ya kwenda Barca kuwa regular starter.
Anataka kuja kwetu kama daraja au option ya malengo yake ya kwenda Barca sabab united atakua regular starter.
Na-underestimate au ndo ukweliHaha Mkuu. Uki underestimate man u hivo hapana Mkuu, hadhi ya man utd ni 1,2....na ndio maana akikaa Mwl amabe haipandishi anafukuzwa. Kabla ya Ferguson, na baada ya kustaafu Mwl mmoja, walikaa makocha wakatimuliwa hovyo hovyo. Baadaya ya Ferguson the same. Ni ishara kuwa anatakiwa akae Mwl wa ukweli
Kwa ukimya huu,nadhani Ed anasubiri afcon aibue vipaji kwa bei chee!
Mwaka mgumu sana huu kwetu.

..Afanye kusagura kama mnadani sio??romero
bissaka alderwield lindelof shaw
odegaard neves ndombele
pepe lukaku d.james
My dream team..lakini naona hiki kikosi hakiwezekani
Unaweza kuishusha daraja timu hahahahahahahahahahromero
bissaka alderwield lindelof shaw
odegaard neves ndombele
pepe lukaku d.james
My dream team..lakini naona hiki kikosi hakiwezekani
Punguza uoga na hofu,believe me atakua regular based on perfomance,Vipi hupendi mchezaji a-develop?Matthijs De Ligt inasemekana anataka kusajiliwa na man united lkn jambo linalo niuzi kuwa inasemekana anakuja kwa ajili ya kudevelope na wameona United ni sehem sahihi kwake kwa kudevelope kabla hajkwenda Spain hasa Barcelona.
Kwanza inaonyesha akienda kwa sasa Barcelona akitokea Ajax kama captain lkn akifika Barca ataenda kuishia mpasha joto benchi sabab Gerard Pique hayupo tayari kuiacha au kustaaf karibuni ndani ya Barca.
Pia anaenda united kwasabab Pique alikuwa developed united kabla ya kwenda Barca kuwa regular starter.
Anataka kuja kwetu kama daraja au option ya malengo yake ya kwenda Barca sabab united atakua regular starter.
Mbona vyura fc wamenunua saba kwa wakati mmojawachezaji hawanunuliwi kama vocha it's all about process, hakuna msimu umepita bila United kusajili just relax
stay tuned

Kwa ukimya huu,nadhani Ed anasubiri afcon aibue vipaji kwa bei chee!
Mwaka mgumu sana huu kwetu.