Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Kwahio huyo robertson ndo anafaaa? Hao wachezaji uliwataja hawajawaahi kufika fainali champions league?
De light nasikia mlisema mwanzoni kwamba atakuja kua mnene tipwatipwa tetema..leo anatakiwa na klabu kubwa duniani..
Man utd bora inunuliwe tu ipate mwekezaji mwenye akili kama shekhe mansour na kocha anayejielewa kama pep
Robertson alisajiliwa kutokea Hull City leo hii anacheza Champions league tena fainal mbili mfululizo, unataka nikuambie kitu kuhusu Gini wa Liverpool??
Man United ilishasajili Di Maria kutoka Madrid, Pogba kutoka Juve, Ibrahimovic kutoka PSG, Schwensteiger kutoka Bayern, je wameifanyia nini United??
 
Shida jamaa hawataki kuuza timu...na wanaotakiwa kununua wawe waarabu kama yule mfalme wa saud arabia, wale wana hela, mansour cha mtoto kwa yule jamaa
 
Tumetokea kuwa timu moja ya kawaida sana sana. Aibu sana hii
 
Ni upuuz mkubwa..halafu kumbe Sir Alex alitoaga decision kwamba management wamchukue Pochetino ila wakampotoezea na Sir Alex alichukia sana
Tumetokea kuwa timu moja ya kawaida sana sana. Aibu sana hii
 
Ila mara ya mwisho yule mwarabu shekhe anaitwa nani alishaweka dau mezani kwamba anataka kuinunua sijui ikaishia wapi
Shida jamaa hawataki kuuza timu...na wanaotakiwa kununua wawe waarabu kama yule mfalme wa saud arabia, wale wana hela, mansour cha mtoto kwa yule jamaa
 
Ila mara ya mwisho yule mwarabu shekhe anaitwa nani alishaweka dau mezani kwamba anataka kuinunua sijui ikaishia wapi
Simkumbuki jina lake...wadau watamsema...ila jamaa aliweka mezani dau la maana haswa, sema ndy hivyo ile family walikataaa au pengn kuna mambo hawakuafikiana!! Hawa Glazer family labda ni wanataka tu kumlindia heshima mzee wao hlf pia ni kama vile wanaitegemea sana klabu kimapato pamoja na kwamba ni wafanya biashara wakubwa kuacha mpira
 
Robertson alisajiliwa kutokea Hull City leo hii anacheza Champions league tena fainal mbili mfululizo, unataka nikuambie kitu kuhusu Gini wa Liverpool??
Man United ilishasajili Di Maria kutoka Madrid, Pogba kutoka Juve, Ibrahimovic kutoka PSG, Schwensteiger kutoka Bayern, je wameifanyia nini United??
ACHENI KUTUMIA OUR PLAYERS AS AN EXAMPLE OUR PHILOSOPHY ARE NOT THE SAME .................Ndio maana mnazidi kufeli.
 
Hahaah acha kunichekesha...di maria aliondoka kaenda kua lulu huko psg, ibra unasema hajafanya kitu au kuiletea kitu man u,
stick to the point

si kwamba Ibrahimovic hajaifanyia kitu, alifanya kwa muda gani? turejee katika mada

swala la kusema United wanasajili mchezaji wa championship halafu tusitegemee uefa, mbona akina Westham na Everton hawachezi hiyo uefa wakati miaka nenda rudi wapo premier
 
ACHENI KUTUMIA OUR PLAYERS AS AN EXAMPLE OUR PHILOSOPHY ARE NOT THE SAME .................Ndio maana mnazidi kufeli.
kusajili wachezaji wenye potential kwa pesa ndogo hiyo ndo falsafa yetu sasa sijui ulikuwa unataka kusema nini.
 
Siku zinavyozidi kwenda kunazid kuyoyoma humu!! Watu wanapita zao kwa unyonge sana wanasoma comments kama zipo aone kama hata tumesajili, asipokuta chcht ndy hvy anaondok kasononeka moyon!! Man u fans wamenyongonyea sana ndani ya mioyo yan hawana furaha hata tone kweny mpira!! Yan ni kama yatima fln hiv
Liva anacheza zake final na tot, sipati picha ingekua ni Man U; ila ndy hivy tulikungutwa tukatoka!! Yan kifupi Fans wanazid nyongonyea tu mbele ya timu zingn
Kweny yuropa, Fans Wengn wa man u wanataka Arsenal abebe, wengn chelsea yan ni vituko!!
Kama tumetengwa hiv na club zingn! Hakuna dira wala nn! Tumenyongonyea sana kwa kweli!!
Mara wazeee ndy wanaletwa, panga pangua tu, mbaya zaidi hakuna mchezaji aliyeonesha nia ya kuja kucheza Man u amby ni mkubwa hiv
Comments zina huzuni tu daily..dah!!
 
Mimi nina tumaini we will raise again,this giant is just sleeping not dead
 
nimemuona dyabala, suso na eric lamela wa zamani kwa wakati mmoja humu ndani.

hivi ndio vipaji vya kutuma paundi millioni 60 na si wilfred zaha.

hivi ndio vipaji vinavyopaswa viwepo klabuni na sio lingard haijalishi watakuwa wachezaji wa hakiba.

hivi ndio vipaji vinavyopaswa kutishia kuondoka endapo hawataongezewa mshahara na si rashford.

nimesikia tottenham hotspurs wametuma offer ya paundi millioni 45 kwa huyu kijana kutoka real betis.

anahitaji mazoezi ya kuimarisha mwili zaidi ili aendane na vishindo vya uingereza wazee wa mbavu kwa mbavu.

kazi kwetu, nimeshaanza kutafuta kadi ya newcastle united.

huyu atakuwa ni mchezaji wa 90 kuvumishiwa anatakiwa man utd.
tetesi FC oyeee
 
Uvumi mwingi magazetini kuihusu man united si wa kweli unatengenezwa kukuza soko la wachezaji tu.
 
Back
Top Bottom